Hii ndio utakuwa muonekano wa iPhone 16 Pro, Kampuni ya Apple imeishiwa ubunifu

Swadakta.

Kuna mtu ananunua soda ya takeaway kwa elfu 5 ambapo soda hiyo hiyo unainunua buku kwa Mangi.

Kila kitu ni uwezo tu ila makapuku wa kuweka rehani miili yao ili wapate iphone wakizipata sasa, wanahisi hata Elon Musk ni Matonya.
Unaedit edit sana
Hujiamini na comment uliyoanza kuiweka? 🀣🀣🀣
 
Hajakutana bado na wanawake wenye wanamake hela zao. Hajawahi kupewa hela akanunue cadet, circle yake tia maji tia maji unadhani mawazo mema atayatoa wapi
wanawake wenye hela si ndio tunawaita mishangazi eeh.. akipata mshangazi mmoja huenda akafuta kauli.. unakuta mshangazi umekupa ticket ya kwenda dubai ukale bata, unarudi home parking unakuta S350 Mercede Benz.. mishangazi iishi sanaa
 
Sipendi kabisa kuhusishwa na iPhone kwa kuwa mmiliki mkubwa wa Apple Inc ni shoga aliyejitangaza, Tim Cook.

Ndiyo maana simu inapendwa na wanawake na mashoga
 
wanawake wenye hela si ndio tunawaita mishangazi eeh.. akipata mshangazi mmoja huenda akafuta kauli.. unakuta mshangazi umekupa ticket ya kwenda dubai ukale bata, unarudi home parking unakuta S350 Mercede Benz.. mishangazi iishi sanaa
🀣🀣🀣 si ndio babu
Lishangazi limejipata limejimaliza. Kabakiza kupokea raha za kukojozwa tu,, sio shida zake kukulaza SA week nzima ufanye kazi ya kumkanda mgongo
 
Kama ndiyo hayo, mbona hata android phones zina vikolokolo vingi tu ambavyo watu hawavitumii. Hizo ulizotaja hata huko duniani kuna watu hawatumii pia.

Simu ni kama kompyuta tu, mtu unaitumia vile unaona inakutoshelezea mahitaji yako.
 
Kumbe akimaanisha iMessage, nikajua ni massage kama alivyoandika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had baas. Woiiiiiih
 
Nimeshangaa sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ataje vingine labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…