Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

JPM hakuwa na mipango endelevu, haswa kwenye econimic development, ingefika kipindi angekata pumzi tu. Mikopo aliyokuwa anakopa bila ya kuendeleza vyanzo vipya vya makusanyo, asingetoboa mbali kabisa.
 
Duh kufika huko inawezekana kabisa ila sasa kwa hii aina ya watawala wetu sio sasa labda baada ya miaka 2000 ipite......
Mkuu hiyo kitu gharama za kuijenga ndio changamoto kwa uchumi wetu. Agalia gharama za kujengatu kwa mile 1 (km 1.6) tu ni USD 60 million (kama bilioni 150 za kitanzania). Hatuwezi leo wala kesho.
The Shanghai Maglev, which happens to be the fastest train in the world, cost a whopping $1.2 billion dollars to build. At only 20 miles long, that is an incredible amount of capital cost. At that cost, it is about $60 million dollars per mile of track.
 
Kwa kasi hiyo, hivyo vyuma si vitawaka moto. Msuguano utakaokuwapo hapo si wa kitoto.

Wachina ni watu wa vitendo sio theory

Waliogundua physics na engineering degree wenyewe hawana hiyo treni. Hao waliokufundisha msuguano walikudanganya tu. Mchina ana akili yake ya vitendo vya ukweli

Wenye Havard , oxford , MIT wenyewe hawana hiyo treni..
 
Niko na wewe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…