Mnachihanguu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 266
- 331
Ndio inahesabika hivyo na hilo ni suala la asili kwahiyo hakuna mwenye uwezo wa kulibadilisha..... ila bali watakuwepo mavuvuzela tu ambao hawawezi kubadilisha chechoteNdiyo Kiranga kauliza body count inahesabika kwa Ke tu ila kwa Me ni sahihi, Me tuna unafki mkubwa mno.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Huna mjukuu hapo babu nije nioe angalai age gape miaka 10?Acheni kuwatisha Vijana wanaotegemea kuoa karibuni
Sio Wanawake wote hawaheshimu ndoa zao kama huyo aliyesemewa na mtoa mada
Ninao zaidi ya watatu, niambie kwanza shughuli zako za kiuchumi kabla sijakupatia Mjukuu mmojaHuna mjukuu hapo babu nije nioe angalai age gape miaka 10?
Mwenye utu ba utulivu?
Je mzee wangu hauoni kama unaweza kumuuzia kijana mbuzi kwenye gunia kwasababu usikute mjukuu sio mpyaNinao zaidi ya watatu, niambie kwanza shughuli zako za kiuchumi kabla sijakupatia Mjukuu mmoja
Ila suala la ndoa tutalipa kipaumbele, na hakuna kumuonja mjukuu hadi ndoa π€
Wajukuu wako njema, labda itokee walikuwa wakiruka ukuta usiku wa mananeJe mzee wangu hauoni kama unaweza kumuuzia kijana mbuzi kwenye gunia kwasababu usikute mjukuu sio mpya
Mzee wangu mbona kama uhakika ni mdogo mno?Wajukuu wako njema, labda itokee walikuwa wakiruka ukuta usiku wa manane
Kwahiyo kama jamaa ni muoaji, ajiandae kuniletea zawadi Kiko na koti la babu tu π
π πMzee wangu mbona kama uhakika ni mdogo mno?
Mie kanuni yangu ni hii, Anayemfata mwenzake anatakiwa kuwajibika, haijalishi ni nani, na jinsia ipi.Hakuna aliekataa kuwajibika, kinachoongelewa ni ile equation inayoleta balance. Anaewajibika kuna rewards lazima azipate ili equation iwepo mfano wa hizo rewards ni submission na loyalty. Hivyo basi anaewajibikiwa kabla hajapokea chochote lazima akubali kupoteza uhuru wake
Mie kanuni yangu ni hii, Anayemfata mwenzake anatakiwa kuwajibika, haijalishi ni nani, na jinsia ipi.
Hiyo unasema wewe, em elewa, anaye mfata mwenzake anatakiwa au paswa kuwajibikaYes, na matokeo ya kanuni yako ni kwamba. Anaewajibikiwa lazima akubali kupoteza uhuru wake.
Hiyo unasema wewe, em elewa, anaye mfata mwenzake anatakiwa au paswa kuwajibika
Hapa umeweka vizuri sasa, sikupingi, kwani umepigaje eti?Sisemi mimi, uhalisia tunauona mtaani. Said kule Mwanza alimpiga risasi mkewe baada ya kutomkuta nyumbani. Alipompigia simu iliita bila kupokelewa.
Jose hapo goba akimkata mpenzi wake Penina na mapanga. Baada ya kuhisi kusalitiwa na kujibiwa hovyo alipohoji
Mikasa ya wanawake kufanyiwa ukatili baada kusomeshwa na mwanaume na kuamua kuvunja mahusiano baada ya kuhitimu au kupata kazi ndio ipo mingi sana.
Hizi ni story ambazo zinavuma mitandaoni lakini zipo nyingi sana haziwekwi kwenye spotlight.
Msingi wa haya yote ni uwekezaji wa kifedha ambao mwanaume anaufanya. Hao wanawake wangekataa kugharamiwa chochote wasingefika kwenye kuuana. Ndio maana nikasema mwanamke anapokubali provision kutoka kwa mwanaume lazima akubali kupoteza uhuru wake.