Hii nguo Kila nikiivaa nakutana na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia

Bei ni shilingi ngapi mzeya? Unajua ni bora ununue nguo ya mtumba iliyovaliwa na mzungu ulaya,kuliko kuvaa mtumba uliovaliwa na mmatumbi wa Tanzania, hakuna rangi utaacha kuona.
SIiuzi mkuu hapo mchawi nauli yako tu uje uichukue
 
Kwani hujui🀣🀣🀣
Sasa akakodi alafu uende ukutane na nondo na nyundo kweli?
Sasa akikuta misumeno chumbani si ndiyo namjengea Bure malipo utelezi 🀣
Kuna jamaa tulienda kufanya kazi kibaha, yeye alikuwa analipwa na boss cuma tu usiku anaenda kuichapa
 
Duh sasa nikitoka huku Chqnikq hadi hapo Kigogo nquli si itqzidi bei ya hio nguo?
 
Nunua nguo mtumbani
Au za bei ghali.

Lakini shida yangu ipo kwenye hiyo nyundo.
Inafanyaje hapo?
Kidogo kwenye mtumba anaweza kupata ya peke yake lakini siyo kwenye za bei gari. Unaweza kununua nguo ya bei gari na Original lakini nguo kama hiyo low Quality ikauzwa mtaani kwa bei rahisi na watu wakaimudu kuipata, ukawa hauna tofauti wewe ulionunua shati ya elf 70 na yule aliyenunua shati hilo hilo kwa elfu 8000 Dukani kariakoo.
 
Kweli kabisa
 
Bei GHALI sio gari. Gari ni motokaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…