Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

Taaluma ya uandishi na utangazaji wa habari,inanajisiwa na vihiyo.Tasnia kama inabodi,ichukue hatua kwa watu wanao aibisha taaluma
 
Acha wasiwasi na ubaguzi. Iamini serikali. Hawawezi kifanya mambo ya kimangungo miaka hii. Acha dharau na heshimu viongozi wako.
 
Mkuu DPW mliwaita waarabu, mkabagua rais kwa kumuita mwarabu anayeiuza nchi leo unakuja na hoja za rushwa.

Muda wa upigaji hapo bandarini unaelekea mwisho. Rais anataka akiwa ofisi kwake ikulu asome moja kwa moja ripoti zote za kinachoendelea bandarini maana yake magumashi yote ndio yanafikia mwisho.
 
Akiondoka Samia tunavunja huo mkataba
 
Humaanishi ulichokiandika hapa! Waandishi wako wapi hapo? Kitenge au zimbwela ndio wa kufanya documentary? Kwa uelewa gani na exposure ipi waliyonayo?
Huu ujinga wa kuanzisha vyombo ya habari na kuajiri watu wasio na taaluma ya habari ni janga!
Kitenge ni mwandishi wa habari mwenye elimu pana ya uandishi, ni rahisi sana kukejeli taaluma ya mtu anayetumia jina lake halisi kuliko mimi na wewe tuliojificha kwenye majina na ID fake.
 
Hawa wangese niliwasikia tangu mwanzo wa sakata wanapigia debe li-DP World.
 
Sehemu zote zenye ukakasi nchi hii Maulid lazima awepo,refer ile issue ya Loliondo alifanya hivi hivi
 
Kitenge ni mwandishi wa habari mwenye elimu pana ya uandishi, ni rahisi sana kukejeli taaluma ya mtu anayetumia jina lake halisi kuliko mimi na wewe tuliojificha kwenye majina na ID fake.
Una uhakika kuwa Hilo siyo kina langu halisi? Nibatize wewe Basi eeh! Nikupe namba ya nida uridhike?
Narudia tena kusema kuwa, hata Kama ana shahada za kutosha za uandishi wa habari bado anakosa ethics za mwandishi wa habari na uwezo wake ni mdogo Sana ndio maana amechagua upande laini!
 
Unahamisha hoja...
Ebu jibu maswali usilete hoja mpya!
 
Hawa ni malaya kitasnia ambao hata hawakusomea wala kuiendeleza
 
Unataka kusema ni mashoga au ni Matowashi wa makanisa ??
Inawezekana kabisa. Mungu kawapa nafasi ya kuwa nyuma ya mic ,badala watumie kuwasanua wananchi ukweli, wanaitumia nafasi vibaya kupotosha. Imagine hao jamaa wameamua kabisa kufunga safari kwenda DP World kuutetea mkataba wa ambao Watz wanaukataa. Kama sio kufikiri Kwa kutumia makalio ni Nini brother.
 
Mbona Rais amekuwa kimya sana katika hili?
 
Kws hizo mikoba mmewekewa zawadi za kuwaziba mdomo au tueleweje!?
WaTz bado tuna safari ndefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…