unashangaaa nini hata wewe kesho tu ukiwa mkuu wa wilaya mpaka mwenye cheo cha major watakupigia salute mkuu wa mkoa mpaka magenerali wanakupigia salute ukiwa rais woteeeeeeeeee wanakupigia salute na huku hujapita hata mgamboPicha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili?
Hivi Hili ni jeshi au mgambo wa jiji maana polisi anayaelekeza na yenyewe yamekaa yanamsikiliza kweli nchi imeoza yaani jitu kabisa na gwanda zake linamsikiliza polisi hii ni maajabu π€£π€£π€£π€£π€£
View attachment 3509291
Hakika..!Hakuna jeshi tanzania
Wanaburuzwa tu na wanasiasa viongozi wanavyotaka
Ova
Hao ni uvccm sio wanajeshiIpe maneno hii picha,
View attachment 3509331
Mimi Mjanja M1 naanza na, "Nenda kaninunulie Maji, na sigara mbili"
Endelea nawewe kwa kuipa maneno...
πππππUle mtaa mbele kuna watu/ raia wananijua bro, siwezi kwenda watanipiga nife au kama vipi nipe silaha yako π
Fateni maelekezo ya policcm hamna jipya tenaWatu mnajidanganya sana. Si kila mwanajeshi yupo juu ya polisi wote.
Umchukue Private wa JWTZ useme yupo juu kwa cheo kwa Inspector wa jeshi la polisi?
Unaelewa kwanza maana ya cheo?Watu mnajidanganya sana. Si kila mwanajeshi yupo juu ya polisi wote.
Umchukue Private wa JWTZ useme yupo juu kwa cheo kwa Inspector wa jeshi la polisi?
Private ni sawa na assistant inspector, koplo ni sawa na inspector, sajenti ni sawa na ASPWatu mnajidanganya sana. Si kila mwanajeshi yupo juu ya polisi wote.
Umchukue Private wa JWTZ useme yupo juu kwa cheo kwa Inspector wa jeshi la polisi?