Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Nchi irudibkwa wananchi Gani wakati simba na yanga ni Mali ya ccm sio Mali yakoHuyo tajiri wenu wa vipindi hana maneno mengi sababu anajua hizo pesa anatoa wapi ukizingatia serikali ya sasa ni ya kujilia kwa urefu wa kamba, kwani alikuwa wapi kipindi yanga inatembeza bakuli enzi za magufuli ambazo mafisadi waliisoma namba, ninyi tulieni tu siku nchi ikirudi kwa wananchi tutegemee vilio kurudi huko utopoloni simba haina wawekezaji mafisadi wanaotegemea uwepo wa serikali fulani
Mbona Mo hajakaziwa na mamlaka, anafyatua bidhaa apendavyoHuyo tajiri wenu wa vipindi hana maneno mengi sababu anajua hizo pesa anatoa wapi ukizingatia serikali ya sasa ni ya kujilia kwa urefu wa kamba, kwani alikuwa wapi kipindi yanga inatembeza bakuli enzi za magufuli ambazo mafisadi waliisoma namba, ninyi tulieni tu siku nchi ikirudi kwa wananchi tutegemee vilio kurudi huko utopoloni simba haina wawekezaji mafisadi wanaotegemea uwepo wa serikali fulani
HahahaaaPuuzi! Kuna ku comment na kuna ku challenge, kama hilo hulielewi una tofauti gani na wasemavyo Wakenya kuwa ni maiti?
Kikubwa lengo litimie, japo kuishia makundi 😃Kufa Kiume FC.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Vitendo vichache? mtu anatoa mabilioni unadai vitendo vichache?Mo ana maneno mengi vitendo vichache
Subiri ukishakuwa utaelewaNchi irudibkwa wananchi Gani wakati simba na yanga ni Mali ya ccm sio Mali yako
Ofcourse hajakaziwa lakini angalau yeye utajiri wake hauna makandokando, haibi kodi za wananchi anatoa pesa mfukoni mwake, ndio maana timu ikifanya vibaya hawezi kuacha kulalamika sababu anajua uchungu wakeMbona Mo hajakaziwa na mamlaka, anafyatua bidhaa apendavyo
Kipindi kile Manji walimkabia juu kabisa, huyu tajiri yenu janjajanja nyingi ndio maana anajitetea sana.
Gsm amefanya ufisadi wapi?Subiri ukishakuwa utaelewa
Ofcourse hajakaziwa lakini angalau yeye utajiri wake hauna makandokando, haibi kodi za wananchi anatoa pesa mfukoni mwake, ndio maana timu ikifanya vibaya hawezi kuacha kulalamika sababu anajua uchungu wake
Wote tunajua nchi hii bila ufisadi na utapeli ngumu kutoboa hasa kwa hao wafanyabiashara wakubwa, ndio maana wengi wanaamua kuwa machawa wa wanasiasa ili mambo yao yaende maana kwa akili ya kawaida tu watu kama kina gsm na rostam aziz tunasikia tu ni matajiri, ila hawaeleweki wanatoa wapi pesa zisizoendana na biashara zao maana net worth zao ni za kubumba tu hazipo hata kwenye vyanzo rasmi kama forbes kulinganisha na mo na bakhresa
Huyo manji naye walimkabia juu sababu utajiri wake ulikuwa na konakona yani matajiri wote walioyumba kipindi cha magufuli basi ujue walikuwa makanjanja, sababu matajiri wa ukweli mfano wa hao niliowataja wala hawakuyumba na ndio maana hao matajiri feki baada ya magufuli kufariki, baadhi wameibuka kwa kasi ya ajabu kwenye huu utawala wa kujilia kwa urefu wa kamba na wanatakatisha fedha kwenye mambo kama mpira na sanaa ili wasihojiwe sana sababu wanawapa furaha wananchi
Mnaanzisha mijadala mizuri sana kwa lengo la kujifunza lakini mnaiharibu kwa ujinga wa USIMBA na UYANGA?bila kusahau lengo la kuishia makundi 🤣🤣🤣
Una shahidi za ufisadi wa GSM??Subiri ukishakuwa utaelewa
Ofcourse hajakaziwa lakini angalau yeye utajiri wake hauna makandokando, haibi kodi za wananchi anatoa pesa mfukoni mwake, ndio maana timu ikifanya vibaya hawezi kuacha kulalamika sababu anajua uchungu wake
Wote tunajua nchi hii bila ufisadi na utapeli ngumu kutoboa hasa kwa hao wafanyabiashara wakubwa, ndio maana wengi wanaamua kuwa machawa wa wanasiasa ili mambo yao yaende maana kwa akili ya kawaida tu watu kama kina gsm na rostam aziz tunasikia tu ni matajiri, ila hawaeleweki wanatoa wapi pesa zisizoendana na biashara zao maana net worth zao ni za kubumba tu hazipo hata kwenye vyanzo rasmi kama forbes kulinganisha na mo na bakhresa
Huyo manji naye walimkabia juu sababu utajiri wake ulikuwa na konakona yani matajiri wote walioyumba kipindi cha magufuli basi ujue walikuwa makanjanja, sababu matajiri wa ukweli mfano wa hao niliowataja wala hawakuyumba na ndio maana hao matajiri feki baada ya magufuli kufariki, baadhi wameibuka kwa kasi ya ajabu kwenye huu utawala wa kujilia kwa urefu wa kamba na wanatakatisha fedha kwenye mambo kama mpira na sanaa ili wasihojiwe sana sababu wanawapa furaha wananchi
Ndio wanaambiana hivyo kwenye vijiwe vyao vya gahwa.Gsm amefanya ufisadi wapi?
Gsm amefanya ufisadi wapi?
Una shahidi za ufisadi wa GSM??
Yaani Magufuli ndio benchmark ya utajiri wa mtu eidha ni fisadi au sio fisadi.
Na hao matajiri wengi walimlaumu Makonda (mnazi wa msimbazi) kua ndie kinara wa huo uharamia wa kupora mali zao.
Leo hii nchi iko huru kila mfanyabiashara na afanye kilicho ndani ya uwezo wake, mmeanza kutema bungo mapema sana.
Yanga ilipokua inatembeza bakuli bado iliisumbua mno Simba nzuri ila hii Simba isiyotembeza bakuli(simba janjajanja) ni mteja wa wananchi.
Mind you hizi klabu zote 2 zinatumiwa kisiasa, zikikwama wanasiasa wanaingilia kati. Ila kuna mambo wanaachiwa waaminiwe wenyewe.
Ila kwasasa Kolo kuna namna mnachezewa kanyambazongo na viongozi wenu kwa kuwapa sababu za hovyo.
Ndio wanaambiana hivyo kwenye vijiwe vyao vya gahwa.
Oohh poleni kumbe naongea na watu ambao hawajui kinachoendelea basi hilo linathibitisha maneno ya mwisho niliyomalizia kwenye hiyo comment yangu iliyopita anyway endeleeni kusubiri ushahidi, kama hamna lolote mnalolijua basi sina cha kuwasaidia maana kama mngekuwa wafuatiliaji wa mambo kwenye hii nchi msingeniuliza maswali ya kijinga kama hayo, msidhani kila mtu anaokota story za vijiweni kama ninyi unaweza ukawa unambishia mtu kwa sababu tu hufahamu kitu ambacho yeye anakifahamu na hawezi kukisema ila wanaojua wanajua na wasiojua waache waendelee kujifanya hawajui labda nikikutana na mtu anayejua ndio tunaweza tukaelewana na kujadiliana kuhusu hilo na si mtu asiyejua loloteMimi nataka aniletee ushahidi utajiri wa gsm ni wakifisadi
Jibu swali gsm kafisadi nini mbona unajielezea sana hujui hata GSM kaingia yanga magufuli akiwa hai aisee kweli hapa hamna kitu kichwaniOohh poleni kumbe naongea na watu ambao hawajui kinachoendelea basi hilo linathibitisha maneno ya mwisho niliyomalizia kwenye hiyo comment yangu iliyopita anyway endeleeni kusubiri ushahidi, kama hamna lolote mnalolijua basi sina cha kuwasaidia maana kama mngekuwa wafuatiliaji wa mambo kwenye hii nchi msingeniuliza maswali ya kijinga kama hayo, msidhani kila mtu anaokota story za vijiweni kama ninyi unaweza ukawa unambishia mtu kwa sababu tu hufahamu kitu ambacho yeye anakifahamu na hawezi kukisema ila wanaojua wanajua na wasiojua waache waendelee kujifanya hawajui labda nikikutana na mtu anayejua ndio tunaweza tukaelewana na kujadiliana kuhusu hilo
Kwamba nikishindwa kujibu ndio nakuwa muongo au unataka kusemaje, anyway siyo kila swali linahitaji jibu tuendelee kujadili kuhusu kile unachokijua wewe, hili limeshakuzidi uwezo au unaonajeJibu swali gsm kafisadi nini mbona unajielezea sana?
Sawa limenizidi uwezo ndio uniambie GSM kafisadi wapi mpaka kapata utajili maana kaingia yanga huyo magufuli akiwa hai na wewe umesema ameibuka ndio maana nasema wewe hujui unachokiongeaKwamba nikishindwa kujibu ndio nakuwa muongo au unataka kusemaje, anyway siyo kila swali linahitaji jibu tuendelee kujadili kuhusu kile unachokijua wewe, hili limeshakuzidi uwezo au unaonaje
Hebu nikumbushe yanga imeanza kubeba makombe lini vile kabla ya simba kuchukua mara ya nne mfululizo ukinijibu hili utakuwa umepiga hatua moja kuelekea kujibu maswali yako mengine kama una uelewa mkubwa, maana ili nikueleze unielewe kuhusu hii ishu itanibidi nianze kwa kukuuliza maswali kadhaa ambayo kwa uelewa wako naona kabisa utashindwa kunijibu, anyway au tufanye sijui ninachokiongea au siyo maana hata hivyo wewe siyo mara ya kwanza kubishana kuhusu mpira sema umebadili tu id ila uandishi wako ni ule ule na nakumbuka hata mara ya mwisho tulivyo bishana uliishiwa hoja ukaishia kunijibu shitSawa limenizidi uwezo ndio unaimbie GSM kafisadi wapi maana kaingia yanga huyo magufuli akiwa hai na wewe umesema ameibuka ndio maana nasema wewe hujui unachokiongea
Kwahiyo gsm alikuja yanga akiwa masikini baada ya magufuli kufa akawa tajiri hivi unafikiri unazungumza na wajinga humu na kuhusu makombe je ulitaka kufika na kufika abebe makombe bila kujenga timu iliyopotea miaka mingi hivi unaakili timamu kweli unajua hata kampuni ya GSM imeanzisha hata magufuli hajawa rais we kiazi ?Hebu nikumbushe yanga imeanza kubeba makombe lini vile kabla ya simba kuchukua mara ya nne mfululizo ukinijibu hili utakuwa umepiga hatua moja kuelekea kujibu maswali yako mengine kama una uelewa mkubwa, maana ili nikueleze unielewe kuhusu hii ishu itanibidi nianze kwa kukuuliza maswali kadhaa ambayo kwa uelewa wako naona kabisa utashindwa kunijibu, anyway au tufanye sijui ninachokiongea au siyo maana hata hivyo wewe siyo mara ya kwanza kubishana kuhusu mpira sema umebadili tu id ila uandishi wako ni ule ule na nakumbuka hata mara ya mwisho tulivyo bishana uliishiwa hoja ukaishia kunijibu shit
Yakowapi sasa?Vitendo vichache? mtu anatoa mabilioni unadai vitendo vichache?
Duuh hivi wewe unajua hata kusoma kwa ufahamu kweli yani mwanzo nilijua najadiliana na mtu mwenye akili ila sasa ndio umenithibitishia kuwa najadiliana na mjinga, ni wapi nimesema gsm alienda yanga akiwa masikini hebu onesha hiyo sehemu yani kumbe hata ile comment yangu ya kwanza ulinibishia kitu ambacho hukukielewa masikini, unajibu kwa mbwembwe na kwa kujiamini oo mara sijui lete ushahidi mara sijui acha kujielezea sasa ulikuwa unataka ushahidi wa nini maana ni kama ulikuwa unadai ushahidi wa kitu usichokielewa kabisaKwahiyo gsm alikuja yanga akiwa masikini baada ya magufuli kufa akawa tajiri hivi unafikiri unazungumza na wajinga humu na kuhusu makombe je ulitaka kufika na kufika abebe makombe bila kujenga timu iliyopotea miaka mingi hivi unaakili timamu kweli ?