Sio tu anaipa yanga 1,300 sema anaipa yanga 1,300 pamoja na ubingwa😂😂😂Tofauti nyingine ni kwamba hela za mauzo ya jezi Mo hachukui na zote zinaenda Simba, wakati hela za jezi za Yanga GCM anachukua zote na kuipa Yanga sh. 1,300/= ( elfu moja mia tatu)
Hahahaaa na kuikanda Simba mara 5 mtawalia.Sio tu anaipa yanga 1,300 sema anaipa yanga 1,300 pamoja na ubingwa😂😂😂
We kiazi si umesema GSM kaonekana baada ya magufuli kufa ndio akaanza kufanya ufisadi yaani unaandika kama umekatwa kichwa unasahau dakika 1 kwahiyo GSM alienda yanga akiwa tajiri sio njaa zako zisikufanye uone Kila mtu kapata pesa kiharamu unaona unaumbuka huna jibu zaidi ya kuhangaikaDuuh hivi wewe unajua hata kusoma kwa ufahamu kweli yani mwanzo nilijua najadiliana na mtu mwenye akili ila sasa ndio umenithibitishia kuwa najadiliana na mjinga, ni wapi nimesema gsm alienda yanga akiwa masikini hebu onesha hiyo sehemu yani kumbe hata ile comment yangu ya kwanza ulinibishia kitu ambacho hukukielewa masikini, unajibu kwa mbwembwe na kwa kujiamini oo mara sijui lete ushahidi mara sijui acha kujielezea sasa ulikuwa unataka ushahidi wa nini maana ni kama ulikuwa unadai ushahidi wa kitu usichokielewa kabisa
Nasisitiza nioneshe kwanza ni wapi nimeandika hayoWe kiazi si umesema GSM kaonekana baada ya magufuli kufa ndio akaanza kufanya ufisadi yaani unaandika kama umekatwa kichwa unasahau dakika 1 kwahiyo GSM alienda yanga akiwa tajiri sio
We umeleta ushahidi kwamba pesa za GSM ni za kifisadi ?Nasisitiza nioneshe kwanza ni wapi nimeandika hayo
Hahaha! Aisee..GSM: "Yanga Bingwa"
MO: Unajua hii timu inanimalizia sana pesa zangu, tangu 2017 nimewekeza bilioni 87 na hakuna chochote ninacho pata. Nimewanunulia wachezaji boxer mpya za kuvaa, nanunuaga mchicha, jana nimemnunulia kocha vitumbua vya buku na bado kiungo mshambuliaji anadaiwa bagia za mia nane natakiwa kulipa kwa mangi.
Naam.Hahaha! Aisee..
Yeye anazungumza kwa upande wake.Halafu chakushangaza zaidi yeye hasemi ananufaika vipi na Simba sports club
Mo ashazoea kufanya kazi na wajinga wengi ili awapige. Matokeo yake timu haisogei popote imekua kama kijiwe cha kahawa kila siku birika mbili na vikombe kumi. Mwenzake GSM amechagua kwenda kisasa na mpira wa kisasa.GSM: "Yanga Bingwa"
MO: Unajua hii timu inanimalizia sana pesa zangu, tangu 2017 nimewekeza bilioni 87 na hakuna chochote ninacho pata. Nimewanunulia wachezaji boxer mpya za kuvaa, nanunuaga mchicha, jana nimemnunulia kocha vitumbua vya buku na bado kiungo mshambuliaji anadaiwa bagia za mia nane natakiwa kulipa kwa mangi.
Upande wa wanachama Professor Mangungu anasema hana kosa.Yeye anazungumza kwa upande wake.
Mangungu ndio alitakiwa kuzingumza kwa upande wa wanachama.
Mo anafoa oesa kwa upande wake wa Mwekezaji.
Upande wa Wanachama mbona kimya.
Noma sanaMo ashazoea kufanya kazi na wajinga wengi ili awapige. Matokeo yake timu haisogei popote imekua kama kijiwe cha kahawa kila siku birika mbili na vikombe kumi. Mwenzake GSM amechagua kwenda kisasa na mpira wa kisasa.
Ubingwa wa bongo hata Majimaji alishauchukua. Toa sh. 1,300/= na ubingwa wa CAF basi, sio wa Majimaji 🤣🤣🤣Sio tu anaipa yanga 1,300 sema anaipa yanga 1,300 pamoja na ubingwa😂😂😂
huwezi kuona mabilioni aliyotoa kweli? buwezi kuona mo.arena ambayo kajenga yeye?Yakowapi sasa?
Sasa mbona umebadili gia angani tena au ndio kama kawaida umeshindwa kujibu hoja, anyway unaonekana mgeni humu jf kwa kukusaidia tu kuna nyuzi nyingi zilianzishwa kuhusu ufisadi wake nenda kazitafute, mimi siwezi kukufanyia hiyo kazi maana ni za muda mrefu kama kweli unataka huo ushahidi basi utautafutaWe umeleta ushahidi kwamba pesa za GSM ni za kifisadi ?
ukimaanisha wapewe wali au wao ndo wanaliwa?Wajinga ndio waliwao
Kumbe mo anandoto sio kufanya basi acha aendelee kuota aisee kweli kazi ipo mbumbumbu kuwa na akili🤣🤣🤣🤣🤣🤣GSM hana ndoto ya ubingwa wa CAF Africa. Yeye ni ubingwa wa Bara na CRDB. Huko CAF anasema ndoto ni kuishia makundi 😃
Fanya kazi acha ujinga umasikini wako usifanye uchukie matajiri full stop siku jibu tena nimegundua kumbe ni chuki binafsi Kwa umasikini ulionaoSasa mbona umebadili gia angani tena au ndio kama kawaida umeshindwa kujibu hoja, anyway unaonekana mgeni humu jf kwa kukusaidia tu kuna nyuzi nyingi zilianzishwa kuhusu ufisadi wake nenda kazitafute, mimi siwezi kukufanyia hiyo kazi maana ni za muda mrefu kama kweli unataka huo ushahidi basi utautafuta
Mbona Dewji alitekwa na utawala wa jiweKwamba nikishindwa kujibu ndio nakuwa muongo au unataka kusemaje, anyway siyo kila swali linahitaji jibu tuendelee kujadili kuhusu kile unachokijua wewe, hili limeshakuzidi uwezo au unaonaje
Nilitaka kushangaa ubishane bila matusi ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia unadhani kila mtu ni masikini kama wewe, huyo gsm ana pesa gani za kuchukiwa mbona hawajachukiwa kina mo na bakhresa na matajiri wengine wenye utajiri halali, siku nyingine usirudie kubishana ukiona mada inakuzidi uwezo usipende kudhihirisha upumbavu wako mbele za watuFanya kazi acha ujinga umasikini wako usifanye uchukie matajiri full stop siku jibu tena nimegundua kumbe ni chuki binafsi Kwa umasikini ulionao