Ndio maana nasema utopolo mnaona ubingwa wa CAF ni jambo lisilowezekana kabisa Tanzania. Hatuwezi kuwazuia upeo wenu. Sijawahi kumsikia GSM anazungumzia michuano ya CAF 😃Kumbe mo anandoto sio kufanya basi acha aendelee kuota
😂Bado bill ya ice cream wakati wa jua kali
Kwamba hujui aliyemteka mo ni nani, na je uliona anasumbuliwa kwenye uchumi wake, au na wewe ndio wale waleMbona Dewji alitekwa na utawala wa jiwe
Hahahaha wewe kweli ni Ponjoro wa Kinondoni5-1
2-1
1-0
1-0
2-0
GSM: "Yanga Bingwa"
MO: Unajua hii timu inanimalizia sana pesa zangu, tangu 2017 nimewekeza bilioni 87 na hakuna chochote ninacho pata. Nimewanunulia wachezaji boxer mpya za kuvaa, nanunuaga mchicha, jana nimemnunulia kocha vitumbua vya buku na bado kiungo mshambuliaji anadaiwa bagia za mia nane natakiwa kulipa kwa mangi.MO NI TAPELI MBONA UWA HASEMI ROI YA INVESTMENT KWENYE TIMU
Mo mjanja sana na kagundua yupo kwenye timu ya wajinga na masikini namsifu Kwa kutumia akili nyingi kuvuna mapesaNdio maana nasema utopolo mnaona ubingwa wa CAF ni jambo lisilowezekana kabisa Tanzania. Hatuwezi kuwazuia upeo wenu. Sijawahi kumsikia GSM anazungumzia michuano ya CAF 😃
View attachment 3406650
Unahamisha magoli tu.Hebu nikumbushe yanga imeanza kubeba makombe lini vile kabla ya simba kuchukua mara ya nne mfululizo ukinijibu hili utakuwa umepiga hatua moja kuelekea kujibu maswali yako mengine kama una uelewa mkubwa, maana ili nikueleze unielewe kuhusu hii ishu itanibidi nianze kwa kukuuliza maswali kadhaa ambayo kwa uelewa wako naona kabisa utashindwa kunijibu, anyway au tufanye sijui ninachokiongea au siyo maana hata hivyo wewe siyo mara ya kwanza kubishana kuhusu mpira sema umebadili tu id ila uandishi wako ni ule ule na nakumbuka hata mara ya mwisho tulivyo bishana uliishiwa hoja ukaishia kunijibu shit
???NRNE
Ni timu gani yakwanza kufika fainali kombe la shirikisho?Ndio maana nasema utopolo mnaona ubingwa wa CAF ni jambo lisilowezekana kabisa Tanzania. Hatuwezi kuwazuia upeo wenu. Sijawahi kumsikia GSM anazungumzia michuano ya CAF 😃
View attachment 3406650
Una challenge ujinga?wewe ni maiti mjinga🤣🤣Puuzi! Kuna ku comment na kuna ku challenge, kama hilo hulielewi una tofauti gani na wasemavyo Wakenya kuwa ni maiti?
Ujinga unakuwa challenged ili mtu aerevuke! Tumia muda wako mwingi kijana kusoma ili uelimike utoke kwenye hilo dim-witted la ujinga unaokupeleka kwenye upumbavuUna challenge ujinga?wewe ni maiti mjinga🤣🤣
Hearts of Oak na Asante Kotoko, zote za GhanaNi timu gani yakwanza kufika fainali kombe la shirikisho?
Hujui hata context ya uzi? Kweli hamnazo ni hamnazo tu.Hearts of Oak na Asante Kotoko, zote za Ghana
Wacha porojo kama raisi wako wa heshima, leta ushahidi hapa.Oohh poleni kumbe naongea na watu ambao hawajui kinachoendelea basi hilo linathibitisha maneno ya mwisho niliyomalizia kwenye hiyo comment yangu iliyopita anyway endeleeni kusubiri ushahidi, kama hamna lolote mnalolijua basi sina cha kuwasaidia maana kama mngekuwa wafuatiliaji wa mambo kwenye hii nchi msingeniuliza maswali ya kijinga kama hayo, msidhani kila mtu anaokota story za vijiweni kama ninyi unaweza ukawa unambishia mtu kwa sababu tu hufahamu kitu ambacho yeye anakifahamu na hawezi kukisema ila wanaojua wanajua na wasiojua waache waendelee kujifanya hawajui labda nikikutana na mtu anayejua ndio tunaweza tukaelewana na kujadiliana kuhusu hilo na si mtu asiyejua lolote
Oya huyo mnazi wa kolo kwake kila kitu yuko -ve kuhusu Yanga.Kwahiyo gsm alikuja yanga akiwa masikini baada ya magufuli kufa akawa tajiri hivi unafikiri unazungumza na wajinga humu na kuhusu makombe je ulitaka kufika na kufika abebe makombe bila kujenga timu iliyopotea miaka mingi hivi unaakili timamu kweli unajua hata kampuni ya GSM imeanzisha hata magufuli hajawa rais we kiazi ?
Mtu mwenye Shahada ya Umahiri siwezi kuwa hamnazoHujui hata context ya uzi? Kweli hamnazo ni hamnazo tu.