Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Naona vijijini wanafika bilioni 6Hawa jamaa wanachukua maeneo makubwa sana yaani.
Ipo siku utawaelewa wazenji , wazungu wanajua biashara wanaweza kununua maeneo makubwa halafu wakuaza wakapta faida mara 10 ...Wakishika maeneo mengi wao wanabadiliki na kuanza kuuza viwanja kwa bei yao.Minaona sheria haina mashiko na bora ifutwe then wageni wakodi ardhi na sio kununua.
Kuna nchi zinazo zitolea macho tanzania ilivyo barikiwa na kila kitu
kama ni ujinga naomba uniambie kwa nini mnawatoa wamasai mkawapa wageni na ni mali yaoHuu ujinga mmejazwa wabongo ndo umefanya akili zenu zigande muogope kila kitu.
Hakuna nchi inatolea macho TZ. Mtolewe macho kwa lipi hasa? Nini mnazalisha ambacho nchi zingine hawana? Mafuta, gas, dhahabu, coal, copper nchi kibao zinazalisha na reserve zaidi ...
Soma vizuri huo mpango, hakuna mgeni au Mtanzania yeyote anaemilikishwa ardhi, uwe mtanzania au mgeni, ardhi ya Tanzania inabaki kuwa chini ya Serikali ya Tanzania, kama unavyokodishwa wewe Mtanzania na mgeni aaewekeza Tanzania na aanakidhi vigezo vypte vya uwekezaji atakuwa na haki ya kukodishwa kwa muiibu wa sheria, miaka 33 au 66 au 99.Hongera waziri wa ardhi Jerry Silaa nili kunukuu kuhusu swala la wageni mnafanya maboresho kuhusu wageni kumiliki ardhi.
Tatizo linaweza kutokea mbeleni kwenye sheria hii sababu wananchi wengi wako kwenye wimbi la umaskini ususani vijijini ambapo ndio maeneo yenye rasilimali kama madini,kilimo na biashara....
Mmasai anatolewa Ngorongoro, Ngorongoro ni hifadhi ya dunia kwa sasa na si ya Tanzania. Na hapewi mgeni yeyote, wacha uongo.kama ni ujinga naomba uniambie kwa nini mnawatoa wamasai mkawapa wageni na ni mali yao
Ukiuza ardhi we na wananchi wako mnakua mmepangaHuu ujinga mmejazwa wabongo ndo umefanya akili zenu zigande muogope kila kitu...
we ulishawai kuwatoa wachina maporini kwaoMmasai anatolewa Ngorongoro, Ngorongoro ni hifadhi ya dunia kwa sasa na si ya Tanzania. Na hapewi mgeni yeyote, wacha uongo.
Akili za madrasa hiziMmasai anatolewa Ngorongoro, Ngorongoro ni hifadhi ya dunia kwa sasa na si ya Tanzania. Na hapewi mgeni yeyote, wacha uongo.
Mi nilijua una akili kumbe hauna!
Ukiuza ardhi we na wananchi wako mnakua mmepanga
tatizo lako sio mtangamyikaHuu ujinga mmejazwa wabongo ndo umefanya akili zenu zigande muogope kila kitu.
Hakuna nchi inatolea macho TZ. Mtolewe macho kwa lipi hasa? Nini mnazalisha ambacho nchi zingine hawana? Mafuta, gas, dhahabu, coal, copper nchi kibao zinazalisha na reserve zaidi ya TZ.
Wabongo mnajionaga special wakati hamna uspecial wowote ule. Huo ujinga mliojazwa ndo mnafanya muogope wageni na kushindana on the global stage, mmebaki kujifungia ndani na kutawaliwa kiboya. Watu wengi hawaijui kabisa bongo let alone kuitolea macho, fungueni bongo zenu nyie mitanganyi
Hawa jamaa wanachukua maeneo makubwa sana yaani.
Ma shaa Allah, ambazo wewe huzipati mpaka ushahadie.Akili za madrasa hizi
na kisha waka kopee kwenye nchi zaoAcha uoga, ni jambo la kuangalia ardhi inanunuliwa kwa matumizi gani
sheria na taratibu znaweza kuwekwa na zikaleta tija
wageni wakiwa huru kununua ardhi waleta maendeleo ktk ujenzi, ajira, kipato kwa raia na serikali.
Madrasa inaingiaje hapa mkuu?Akili za madrasa hizi
na kisha waka kopee kwenye nchi zao