Hii Taarifa ya NHIF kama ni ya kweli basi Tanzania tuna tatizo

Hivi vinchi vyetu haviendi bila ubabe! Wataoumia ni wananchi wengi maskini!
 
Mtanikumbuka!!sio kwa mabaya bali kwa jinsi "nimesakrifise"maisha yangu kwa ajili yenu!
R.I.P #CHUMAJPM#
 
#mtanikumbuka.. bado tuna miaka mitatu mbele kama sio 7 hapo hatujajua atapandikizwa mtoto wa mfalme yupi [emoji23] [emoji23] [emoji23]

#katibampya ndo suluhisho wa hizi changamoto zote.. maana kwenye katiba mpya iliyopendekezwa na team ya Warioba mpaka mikataba wananchi watakuwa waijua kiuwazi tofauti na ilivyo sasahivi
 
Mfuko umeongeza control lakini kwa kweli sio jambo jema. Mishahara ni midogo na gharama za matibabu ni kubwa.
Wafanyakazi wengi wanalipwa chini ya milioni moja kwa mwezi(400000+ hadi 900000+) majaority. Wastani wa makato ya bima ni elfu 20 kwa mwezi. Matumizi ni makubwa.
Lakini pia nahisi NHIF walichelewa kutega uchumi. Pengine walikuwa wanabaki na paper money kwa muda mrefu kwa hofu ya cash crisis.
 
Nawaunga mkono NHIF, maana Kuna wateja ambao ni wazururaji kwenye vituo vya afya, leo yuko huku, kesho kule , kesho kutwa kule, yaan daily yeye ni kuugua kweli?

Hawa wateja wa namna hii wanatia hasara Sana katika vituo vya afya kwa makosa ya double claiming!

Unakuta katoka kituo A Jana na shida ambayo kesho anakwenda nayo kituo B, na dawa anapewa zilezile, matokeo yake kituo B kinakatwa!

Kwenye hili halihusiani na Mama Samia!


NB: hata hiyo mara 3 kwa mwezi Ni offer nzuri naomba mlio katik utumishi wa umma mpokee hivyo hivyo, maana dawa so chakula, pengine wamefanya hivyo kudhibiti matumizi ya dawa hovyo

HONGERA NHIF KWA KULIONA HILI, hayo mengine simo
 
NHIF ilikuwa inaendeshwa kwa hasara
 
Kila kitu kina utaratibu wake ndugu, hapo mh. Madame presidaa hausiki
Mkuu wa nchi anahusika kwa kila kitu ndani ya nchi yake. Kama NHIF wamefanya mabadiliko bila kupeleka brief kwa tuliyempigia kura, basi ni hujuma dhidi ya madaraka ya umma.
 
Zamani NHIF ilikuwa inawaita wadau wanachakata mambo magumu kama haya kabla ya kuyapeleka Kwa walaji wa Mwisho. Sasa sielewi mfuko siku hizi umeelewa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…