Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Mama anaupiga mwingi[emoji81][emoji81]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi vinchi vyetu haviendi bila ubabe! Wataoumia ni wananchi wengi maskini!Habari za mchana wapendwa.
Habari za kusikitisha - NHIF wamebadilisha mifumo yao ya matumizi ya card.
1- Tegemezi wengi wameondolewa,
2- Card itumike x 3 tu kwa mwezi.
3- Kama umetibiwa Jana au juzi, ukienda hospitali nyingine utatakiwa uende na Referral toka hiyo hospitali ulikotibiwa mara ya mwisho.
Makorokoro kibao yamebadilika. Tunaendelea kuwasikiliza. Ni shida tupu.
HII SIO HAKI MTU ANACHANGIA AFU HUDUMA ANAPANGIWA ATIBIWE KTK KITUO KIMOJA TU KWA MWEZI NA NA MARA TATU TU KWA MWEZ HII SIO HAKI. BASI WATUMISHI WARUHUSIWE KUJIUNGA NA MIFUKO MINGINE ISIWE LAZIMA NHIF ILI AFUATE HUDUMA SEHEMU ANAYOONA INAFAA
Mtanikumbuka!!sio kwa mabaya bali kwa jinsi "nimesakrifise"maisha yangu kwa ajili yenu!TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA AUTHORISED KWENYE MFUMO
Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu
Kuanzia sasa mteja atakua na nafasi ya VISIT 3 TU KWA MWEZI kwa kituo husika na mteja hawezi kujiamulia kuhama Kituo cha kutolea huduma(Hosp,H/na disp) moja kwenda nyingine kwa kujiamulia, mfano mgonjwa akianza kutibiwa Kituo X basi atakua wa X tu mpaka pale X tutakapo amua sisi mrefer mgonjwa kwenda sehemu nyingine la sivyo mgonjwa hataweza kwenda sehemu nyingine ,kama kuna emergency kutakua kuna utaratibu kwenye mfumo wa kuruhusu huduma ziendelee
Aidha mfuko utaweka pia utaratibu wa wale wagonjwa ambao ni wa refill ili kama amekuja kwa ajili ya refill asiweze kuchomekea kitu kingine cha kimatibabu
Kwa huduma za physio, meno kutawekwa utaratibu maalumu ili huduma kama hizo ziendelee
Mfuko unataka kubana wale wa watu wanaozunguka kila kituo kufanya vipimo, kuona madaktari na kulinganisha huduma za madaktari
Ni hayo tu ndugu zangu,muwe ka kazi njema.
Watu wa mapokezi mutakua munawaelekeza kwa upole wateja ambao kadi zao zimepata changamoto hizo.
NHIF.
#mtanikumbuka.. bado tuna miaka mitatu mbele kama sio 7 hapo hatujajua atapandikizwa mtoto wa mfalme yupi [emoji23] [emoji23] [emoji23]TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA AUTHORISED KWENYE MFUMO
Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu
Kuanzia sasa mteja atakua na nafasi ya VISIT 3 TU KWA MWEZI kwa kituo husika na mteja hawezi kujiamulia kuhama Kituo cha kutolea huduma(Hosp,H/na disp) moja kwenda nyingine kwa kujiamulia, mfano mgonjwa akianza kutibiwa Kituo X basi atakua wa X tu mpaka pale X tutakapo amua sisi mrefer mgonjwa kwenda sehemu nyingine la sivyo mgonjwa hataweza kwenda sehemu nyingine ,kama kuna emergency kutakua kuna utaratibu kwenye mfumo wa kuruhusu huduma ziendelee
Aidha mfuko utaweka pia utaratibu wa wale wagonjwa ambao ni wa refill ili kama amekuja kwa ajili ya refill asiweze kuchomekea kitu kingine cha kimatibabu
Kwa huduma za physio, meno kutawekwa utaratibu maalumu ili huduma kama hizo ziendelee
Mfuko unataka kubana wale wa watu wanaozunguka kila kituo kufanya vipimo, kuona madaktari na kulinganisha huduma za madaktari
Ni hayo tu ndugu zangu,muwe ka kazi njema.
Watu wa mapokezi mutakua munawaelekeza kwa upole wateja ambao kadi zao zimepata changamoto hizo.
NHIF.
Mfuko umeongeza control lakini kwa kweli sio jambo jema. Mishahara ni midogo na gharama za matibabu ni kubwa.TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA AUTHORISED KWENYE MFUMO
Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu
Kuanzia sasa mteja atakua na nafasi ya VISIT 3 TU KWA MWEZI kwa kituo husika na mteja hawezi kujiamulia kuhama Kituo cha kutolea huduma(Hosp,H/na disp) moja kwenda nyingine kwa kujiamulia, mfano mgonjwa akianza kutibiwa Kituo X basi atakua wa X tu mpaka pale X tutakapo amua sisi mrefer mgonjwa kwenda sehemu nyingine la sivyo mgonjwa hataweza kwenda sehemu nyingine ,kama kuna emergency kutakua kuna utaratibu kwenye mfumo wa kuruhusu huduma ziendelee
Aidha mfuko utaweka pia utaratibu wa wale wagonjwa ambao ni wa refill ili kama amekuja kwa ajili ya refill asiweze kuchomekea kitu kingine cha kimatibabu
Kwa huduma za physio, meno kutawekwa utaratibu maalumu ili huduma kama hizo ziendelee
Mfuko unataka kubana wale wa watu wanaozunguka kila kituo kufanya vipimo, kuona madaktari na kulinganisha huduma za madaktari
Ni hayo tu ndugu zangu,muwe ka kazi njema.
Watu wa mapokezi mutakua munawaelekeza kwa upole wateja ambao kadi zao zimepata changamoto hizo.
NHIF.
Nawaunga mkono NHIF, maana Kuna wateja ambao ni wazururaji kwenye vituo vya afya, leo yuko huku, kesho kule , kesho kutwa kule, yaan daily yeye ni kuugua kweli?TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA AUTHORISED KWENYE MFUMO
Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu
Kuanzia sasa mteja atakua na nafasi ya VISIT 3 TU KWA MWEZI kwa kituo husika na mteja hawezi kujiamulia kuhama Kituo cha kutolea huduma(Hosp,H/na disp) moja kwenda nyingine kwa kujiamulia, mfano mgonjwa akianza kutibiwa Kituo X basi atakua wa X tu mpaka pale X tutakapo amua sisi mrefer mgonjwa kwenda sehemu nyingine la sivyo mgonjwa hataweza kwenda sehemu nyingine ,kama kuna emergency kutakua kuna utaratibu kwenye mfumo wa kuruhusu huduma ziendelee
Aidha mfuko utaweka pia utaratibu wa wale wagonjwa ambao ni wa refill ili kama amekuja kwa ajili ya refill asiweze kuchomekea kitu kingine cha kimatibabu
Kwa huduma za physio, meno kutawekwa utaratibu maalumu ili huduma kama hizo ziendelee
Mfuko unataka kubana wale wa watu wanaozunguka kila kituo kufanya vipimo, kuona madaktari na kulinganisha huduma za madaktari
Ni hayo tu ndugu zangu,muwe ka kazi njema.
Watu wa mapokezi mutakua munawaelekeza kwa upole wateja ambao kadi zao zimepata changamoto hizo.
NHIF.
NHIF ilikuwa inaendeshwa kwa hasaraMfuko umeongeza control lakini kwa kweli sio jambo jema. Mishahara ni midogo na gharama za matibabu ni kubwa.
Wafanyakazi wengi wanalipwa chini ya milioni moja kwa mwezi(400000+ hadi 900000+) majaority. Wastani wa makato ya bima ni elfu 20 kwa mwezi. Matumizi ni makubwa.
Lakini pia nahisi NHIF walichelewa kutega uchumi. Pengine walikuwa wanabaki na paper money kwa muda mrefu kwa hofu ya cash crisis.
AAR , Strategies wote wanaingia kwenye mfumo wa udhibiti muda si mrefu, Ni suala la muda tu!“Hamieni AAR” Alisikika mataga mmoja
Kila kitu kina utaratibu wake ndugu, hapo mh. Madame presidaa hausikiWe have toothless President!
Mkuu wa nchi anahusika kwa kila kitu ndani ya nchi yake. Kama NHIF wamefanya mabadiliko bila kupeleka brief kwa tuliyempigia kura, basi ni hujuma dhidi ya madaraka ya umma.Kila kitu kina utaratibu wake ndugu, hapo mh. Madame presidaa hausiki
Hivi unamdhibiti vipi mtu kuumwa??AAR , Strategies wote wanaingia kwenye mfumo wa udhibiti muda si mrefu, Ni suala la muda tu!