Hii tabia ya kutukanwa Hayati Magufuli na wasaka vyeo kwa Samia ukiendelea tunawaonya tutakipasua CCM humu mitandaoni

Siku zao zinahesabika, weshasahau kwamba kabla ya JPM hata kuvaa uniform za CCM na kupita mtaani ilikuwa ni aibu kubwa.
 
nani alikuambia mwendazake alikuwa hapendi rushwa,jiulize chato vile vi appartment alijenga na nini, jiulize nyumba za serikali alizompa hawara yake KABUTA hela alipiga wapi, kwa taarifa tu barabara za mwendo kasi alipiga mkubwa,
Ukitaka taifa liondokane na rushwa lazima liwe taifa la uwazi, tueleze 1.5trilion zilienda wapi, tueleze usiri uliokuwa kwenye manunuzi ya ndege ni wa nini.
Ndugu yenu alikuwa hamnazo na hata mnye kuanzia chato hadi dodoma hainuki tena
 
Hizi propaganda mfu tuna uwezo wa kuzichanganua na sio jinsi mnavyotaka tuelewe. Kama unadhani kila mtu aliamini sifa za kijinga alizokuwa anamwagiwa basi umeukalia. Alikuwa dhalimu na mlevi wa madaraka fullstop.
Pia alikuwa mnafiki mkubwa jumapili yupo kanisani jumatatu anauwa na kuteka watu jumapili yupo kanisani jumanne linaiba kura ndio maana limekufa limeoza kwasasa limebaki mifupa shimoni na roho iko motoni mbwa yule.
 
Napendekeza.
Kuwe na
Magufuli Day
Rasmi kumkumbuka Marehemu.
Na
Iwe ya Mapumziko kabisa

Ili japo kufuta Machozi ya waliowengi wetu.
Mwizi wa kura akumbukwe kwa lipi kwamba ccm ilishinda 99% sherwani magufuli.
 
Vumilia zamu kwa zamu mlifurahi kuhuzunika zamu yenu.
Msiba anaomba mchango mpe

 
Yoote haya kwa kuwa Nape kasema mikopo aliyokopa kisiri ichunguzwe ?!. Unahangaika na gunia la misumari .
Kwa hiyo Nape amekuwa shujaa wako leo, unakijua vzr Anachokipigania au humjui Nape, na wewe una uhakika kuwa amemanisha alichokisema? Odhis unaniangusha, umeanza kumwamini mlamba miguu, Jana alikuwa analamba miguu ya Magu Hadi anapiga magoti, saa hizi anaanza kulamba ya Samia tena unamuona ni hero, hujajua anachokitafta?

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
 
Sema ulikuwa unampania jiwe na wala sio CCM ndio maana unapanic watu kumponda jiwe kama ungekuwa unaipambania CCM kama chama mbona CCM bado kipo tena kama mnavyosemaga wenyewe CCM ni ile ile,jiwe lazima apomdwe maana hata wana CCM wenzake walikuwa hawampendi.
 
Alikuwa ni dhalimu na mshamba wa kutupa, tunashukuru Mungu Kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika.
Kweli alikuwa mshamba.
Wajanja ni wale wanaoyaacha mafisadi yajimwambafai na kuzurumu hadi kuuwa RAIA masikini
 
Alikuwa ni mwizi kwa wezi..
Alikuwa mshenzi kwa washenzi
kwann mnafanya upumbavu wa kumponda JPM?

Kwann mnataka kumsifia kwa kuponda wengine?

UPUMBAVU

JPM alipoingia madarakani aliingia ikulu ambayo hakujenga yeye, alitumia magari ambayo hakununua yeye, hakujilea bali alililewa na wanasiasa ambao hakuwalea yeye, chama kilimpitisha ambacho hakuanzisha yeye na alilindwa na majeshi ambayo hakuyatengeneza yeye wala kuyalipa mshahara yeye mpaka alipopata madaraka.

Yeye naye akafanya sehemu yake na sasa kapumzika, Tuache huu ujinga. Hakuna raisi wa chama pinzani aliyetawala hii nchi, maraisi wote walifata ilani ya ccm.
 
Sijakuangusha na sitakuangusha . Kikubwa tuwe na taifa linaloweza kuhoji utendaji kazi wa Rais na viongozi wa chini yake. Hili la kumfanya Rais Mungu HAPANA . Katiba ya Tz imemuumba mungumutu anaeitwa Rais .

Jiulize ni kwanini Mkapa haongelewi sana kwa mazuri na mabaya aliotenda akiwa madarakani isipokuwa Maghufuli . Wote hawa wamekufa majuzi tu.
 
Watu wanalipa kisasi sasa.
Kutesa kwa zamu.
 
Magufuli alishakufa, kuzikwa na kuoza, wewe bado unampambania nini sasa?

Ndugu nakushauri sasa anza kupambania maisha yako kwanza, hayo ya kupambania wafu hayatakusaidia kitu, utajichosha bure.
Ndio waliokuwa wakimpa hadhi ya utukufu au hadhi sawa na mungu km alikuwa binadamu mwache asemwe watu wajifunze mema na mabaya toka kwake
 
Dawa ni kugawana mbao tu.
 
Na ndo kafa yeye katuacha.
CCM ilikuwa na utamaduni wa kuheshimiana, yeye ndo kaja kaanzisha tabia ya kutukana viongozi wastaafu, rejea kina Musiba, Hapi....sasa kibao kimemgeukia alale Kwa kutulia huko kaburini ale mitusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…