Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Hapana sitaki kuamini uumizwe na mwanaume mmoja au wawili urukie kwenye usagaji?labda tu uwe na hamu ya kutest hiyo kitu maana sio wanaume wote ni wabqya kuna wanaume wema na wamejaa mapenzi mpaka yanamwagika
Maumivu ya kuumizwa na mwanaume dawa yake mwanaume waache kusingizia ujinga
 
Ni nguvu ya shetani. Wadada wanashiriki sana mahusiano ya kimapenzi wao wenyewe. Na wanatumia kivuli cha BFF(Best Friend Forever) au kuasili( Kulea mtoto wa kike).

Hapa ndo maana unaona wadada wawili karibu walingane, mda wote wanafuatana na kupostiana kwenye mitandao ya kijamii, ukiwauliza wanasema huyu ni mwanangu, huyu ni mama yangu. Ni nguvu na maelekezo ya Shetani yaliyo nyuma yake.
 
Wanawake wanasagana sanaa..
Pia kuna midume ni mishoga inafukunyuliwa na Wanawake....

Miezi 3 nyuma nilipata kushuhudia hii issue ya usagaji aloo! Dunia imepinduka chini juu
 
Nilisikia Lindi hii na huyo dada Tomboy anakiri kuwa wanawake wengi wanajihusisha na na hii tabia na wengi wao ni wake za watu
 
Hiyo namba 2 unaona ni sahihi kwa huyo mtu aliyezaliwa na homoni tofauti na muonekano wako kushiriki ngono na jinsia anayofanana nayo kimuonekano ?
 
Hiyo namba 2 unaona ni sahihi kwa huyo mtu aliyezaliwa na homoni tofauti na muonekano wako kushiriki ngono na jinsia anayofanana nayo kimuonekano ?
Hayo ni mambo ya kibiolojia zaidi. Unavyovutiwa na mwanamke na usivyo vutiwa na mwanaume kwake inakuwa hivyo hivyo. Kwa mujibu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…