Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

That was comedy, wewe vipiii???
 
Mweeeeee huu sasa ni upumbavu mkubwa, yaani hata kilichoandikwa na kusikika hapo hujaona? Sawa hakuna shida, twende kazi
 
Sioni cha ajabu, kwasababu context (event yenyewe) ni sahihi. Material ya comedian ni vyote vinavyomzunguka! Hata Rais wa Marekani hugeuka kuwa comedian siku ya annual White House Correspondents' Dinner!
Tunahitaji comedy zenye akili
 
Hii naisave Google drive kwa kumbukizi jf wanaifuta kesho
 
Kuna mchekeshaji alisema wameambiwa na wale wa suti nyeusi, kuwa wawe huru waongee chochote ili mama acheke sana
Ila sijaelewa Said Said alimwambia nini mwisho Rais na kucheka sana mpaka akamgongea na mkono
Dogo alichojibu sijui ila nawaza yangu tu 😄
Lakini ni comedians walioruhusiwa na kukubaliwa
Wakati mwingine hata Rais anahitaji kufurahi

Zamani wafalme walikuwa na watu wa kuwachekesha
 
Mkuu mm simkubali huyu Maza ila kuna vitu vingine tunazidisha sasa aise, hiyo ilikua ni sehemu ya kuburudika na kufurahia yaani kucheka. Hata yeye pia ni binadamu aise embu tupunguze chuki.
 
Comedy isiyoakisi uchizi wa mwananchi wa kawaida mitaani siyo comedy!
Siasa ndio ina content kubwa zaidi ya comedy.
Comedy iliyofaa kwenye hiyo hadhira ni punching up, sio punching down, tatizo ni uchawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…