Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Bwana Hafidh AmeirMzee wetu Hana wivu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana Hafidh AmeirMzee wetu Hana wivu,
Huko utawaudhi Watu.......Ipo ile akiwa na RC wa Arusha enzi zao
That was comedy, wewe vipiii???Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
View attachment 3246880
Pole sana Ndugu yanguTumepigwa
Okay hakuna shida! Hio ni comedy kwa Rais wa CCM sio wa NchiThat was comedy, wewe vipiii???
Mweeeeee huu sasa ni upumbavu mkubwa, yaani hata kilichoandikwa na kusikika hapo hujaona? Sawa hakuna shida, twende kaziWewe ndio umetafsiri kipuuzi... Hakuna mahali amemaanisha anataka kupiga picha na Rais ili kumringishia mpenzi eti sababu ya uanamke wa Rais. No way acha ujinga. Anaomba kupiga sababu na mamlaka ya utaasisi wa rais, ili mpenzi wake ajue jamaa kwa sasa yupo juu au kimjini mjini ni system.. Umeelewa we tikiti... Tumpe heshima Rais wetu wakati mwingine.
Tunahitaji comedy zenye akiliSioni cha ajabu, kwasababu context (event yenyewe) ni sahihi. Material ya comedian ni vyote vinavyomzunguka! Hata Rais wa Marekani hugeuka kuwa comedian siku ya annual White House Correspondents' Dinner!
Hii naisave Google drive kwa kumbukizi jf wanaifuta keshoSijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
View attachment 3246880
Comedy isiyoakisi uchizi wa mwananchi wa kawaida mitaani siyo comedy!Tunahitaji comedy zenye akili
Mkuu mm simkubali huyu Maza ila kuna vitu vingine tunazidisha sasa aise, hiyo ilikua ni sehemu ya kuburudika na kufurahia yaani kucheka. Hata yeye pia ni binadamu aise embu tupunguze chuki.Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
View attachment 3246880
Siasa ndio ina content kubwa zaidi ya comedy.Comedy isiyoakisi uchizi wa mwananchi wa kawaida mitaani siyo comedy!