Hiki ndicho kinachotuponza sisi Yanga. Tuambiane ukweli tu

Kwani mpaka mantolewa kwnye mashindano ya Club Bingwa hatua ya makundi mlikuwa bado hamjaimarika...??
Kwani ni mara zote timu bora huwa inachukua kombe?

Jambo zuri umesema vizuri "Club bingwa." Hapa hujazungumzia shirikisho maana huko kwingine uwezo wa kuwepo hamkuwa nao.

By the way hilo kombe inatakiwa mbebe hakuna kisingizio.
 
Sasa kwani yanga inatatizo gani Hadi sasa
 
Safari hii tunatega kila kona hata mpite hewani hahaahahhah
Na hamshindwi nyinyi.

Ila kombe la shirikisho chukueni aisee. Nchi yetu kwa sasa imepiga hatua kubwa sana kimpira. Ukikutana na hizi timu zinazoshika nafasi ya nne kwenye ligi zao ni kupiga kipigo cha mbwa mwizi.
 
Kumbe hata Real Madrid SC nayo huwa inalegezewa ndiyomaana imekuwa Baba lao Klabu Bingwa wa dunia, UEFA CL, Europa L, La Liga, Copa De Ray hadi mwaka huu ilitolewa na Arse8?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Na hamshindwi nyinyi.

Ila kombe la shirikisho chukueni aisee. Nchi yetu kwa sasa imepiga hatua kubwa sana kimpira. Ukikutana na hizi timu zinazoshika nafasi ya nne kwenye ligi zao ni kupiga kipigo cha mbwa mwizi.
Hawa Mikia wametuweka kwenye Raman Africa.
 
Pale yanga wenye akili walikua wawili ....sasa naona na ww umeongeza idadi mmekua watatu wengine wote ni mabwege tu ....umewashauri vizuri sana mwiko nyuma fc
 
Mkipatikana watu kumi yanga wenye akili kama yako yanga anacheza fainal Africa na ubingwa bara asahau...
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
 
Na hamshindwi nyinyi.

Ila kombe la shirikisho chukueni aisee. Nchi yetu kwa sasa imepiga hatua kubwa sana kimpira. Ukikutana na hizi timu zinazoshika nafasi ya nne kwenye ligi zao ni kupiga kipigo cha mbwa mwizi.
Kabisa kabida mtani na support hyo para ya mwisho...hyo ya hatushindwi ngoja tuone kwanza upepo wa vilingeni ukoje...
 
Dogo mi naelewa. Hasara inakuwa kwetu. Na tumeona kilichotukuta Caf CL. ni mambo haya haya ....
Dogo akili yako ni kama ya Simba jike,
Sikiliza, timu yetu niz nzuri, usajili ni excellent, sio kweli kuwa tunalegezewa, matokeo ya CAF mwaka huu ilikuwa ni bahati mbaya, lakini usisahahu mechi zetu zote tunazocheza Kwa Mkapa Vibwengo lazima watie mkono.
Kumbuka tulicheza mpaka robo Klabu Bingwa, Fainali ya Shirikisho, bado unalialia? Wewe lazima utakuwa Simba jike.
 
Mi nazungumzia makundi ya CAF CL au hukuwa una uelewa mpira?unaleta ushabiki maandazi.
Kelele we Makolokolo Mwandamizi, Real Madrid SC na Al Ahal wametolewa kwenye mashindano ya UEFA CL na CAF CL, nao huwa wanalwgezewa miaka yote au ukubwa na ubora wao ulikuwa wa kila mwaka?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Upuuzi wa wapuuzi kutoka mwamposa fc?, Yaani simba usisemwe kununua mechi kwa coast kuwazawadia gori 8 huku Saido anafunga gori 5!!
Bora hata utopoloni tuko wenye akili wawili, huko umbumbumbuni unatwanga maji kwenye kinu tu maana Aden Rage alithibitisha wote ni zero upstairs.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Watu wanaongelea msimu huu wewe unaleta habari za kale, kwani kikosi cha sasa ndio kile kile kilichofika fainali cafcc, na kama mlikuwa na kikosi bora mlishindwa vipi kuchukua kombe lile
So ulitaka kila mwaka tufike unapo taka wewe?
 
Kabisa kabida mtani na support hyo para ya mwisho...hyo ya hatushindwi ngoja tuone kwanza upepo wa vilingeni ukoje...
Unakuwa na MVP toka Ivory coast, Cameroon, Ubrikinabe, wachezaji bora Tanzania halafu usumbuliwe na vitimu vya hovyo vinavyoshika nafasi ya tano kwenye ligi? Timu kubwa zikidondekea huko bahati mbaya tu unazikuta fainali. Simba ilichofanya ndio kinatakiwa kiwe siku zote. Ukidondokea huko ni kuhakikisha kufeli kwako ni nusu no excuses.

Hilo kombe chukueni au mkishindwa iwe kwa mbinde au kikanuni vinginevyo tutadai kodi za wananchi mnazotumia.
 
💉🔨Makolokolo wasipokuelewa hapa basi ni viziwi waliochangamka.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kumbuka tu mashabiki wa Yanga siyo mbumbumbu kama ulivyo wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…