Hiki ndicho kinachotuponza sisi Yanga. Tuambiane ukweli tu

Ubora wetu sio kwa ken gold tu hata tukikutana na simba tunauonyesha ndo maana tumewafunga mara nne mfululizo, kutolewa mashindano ya caf ni matokeo tu ya mpira.
Oohh kwahiyo ninyi kutolewa caf ni matokeo ya mpira ila kuwafunga yanga mara nne mfululizo ndio siyo matokeo ya mpira bali simba ni wabovu, by the way una habari kwamba msimu huu barcelona ameshamfunga madrid mechi nne mfululizo kutia ndani kipigo cha 5-2 sasa sijui unataka kusemaje, yani mkikutana na simba mnakamia mechi utasema mmeambiwa mkifungwa mnapigwa risasi halafu mnasema mna kikosi bora wakati mkienda kimataifa watu wanajipigia tu
 
Akili zimeanza kurudi. Yule rais wenu anafanya kampeni za ubunge kupitia nyie kulazimisha furaha ili apite na Kura zenu
 
Ndugu yangu katika ile ya Manara wewe haupo, mmekuwa watatu sasa, Mzee Manara, JK na wewe.
 
Ni Utopolo ndio...Tatizo lako bado uko kwenye kundi la wapumbavu aliowataja Manara...Mwenzio anajaribu kuchomoka wewe unamshika miguu muendelee kubaki kundini
Hakuna Uto asiejitambua, ukiona hivyo ujue huyo ni mnafiki, anajifanya Uto mbele za watu moyoni ni Kolo nganda Dunduka lililo kubuhu.
Halafu ukiona wapi mwenye akili akayachukulia serious maneno ya mbumbumbu? Wakati Manara anayasema hayo alikua mbumbumbu mwenzetu baada ya kuhama kambi akapata utimamu akafuta kauli, lakini mambumbumbu kwakua Bado wangali kwenye umbumbumbu Bado wamekomaa tu nauli iliyofutwa.
 
Yanga kafunga timu zote kwenye ligi, Ina maana zote zilijilegeza? Huyo Simba unaemsifia kafungwa na Yanga mara mbili msimu huu, je alikuwa anajilegeza. Hoja dhaifu kwa akili dhaifu.
 
Yanga kafunga timu zote kwenye ligi, Ina maana zote zilijilegeza? Huyo Simba unaemsifia kafungwa na Yanga mara mbili msimu huu, je alikuwa anajilegeza. Hoja dhaifu kwa akili dhaifu.
Mi nimepasua jipu. Pwaaaaaaah
 
Ungeyahifadhi haya maneno mpaka pale Mnyama amalizane na Berkane ili yawe na mantiki Yanga alikuwa anataka kufika fainali Simba anataka kuchukuwa kombe vipaumbele tofauti.
 
Tumia Akili japo tu za mwanao kama zako zimestuck
Hadhi aliyonayo Yanga kimataifa ameipatia Kwenye mashindano ya kombe la Shilikisho baada ya kufika fainali Na hadhi aliyonayo Simba kimataifa ameipatia Cl ya Afrika kwenye zile robo mlizokuwa mnazibeza sasa jiulize baada ya kumalizq fainali Simba atafika wapi?
 
Pumba tupu. Yaani timu inamuogopa Bacca unaiita timu bora. Hivi ni Looser or loser?

Mashabaki pekee wanaobadirisha shirikisho kuwa champions league wanaposhiriki wao.Haya bwana 🤣🤣🤣
 
Ungeyahifadhi haya maneno mpaka pale Mnyama amalizane na Berkane ili yawe na mantiki Yanga alikuwa anataka kufika fainali Simba anataka kuchukuwa kombe vipaumbele tofauti.
Wenye akili timamu hawahifadhi maneno ni tabia za wenye uwezo mdogo wa kufikiri.
 
Akili zimeanza kurudi. Yule rais wenu anafanya kampeni za ubunge kupitia nyie kulazimisha furaha ili apite na Kura zenu
Kuna shida gani akijipambanua kupitia Yanga na akafikia malengo yake maishani? Wivu kwa mwanaume mwenzio ni jambo linalofikirisha kuwa kuna shida sehemu. Chance yoyote unayoipata maishani ni lazima uifanye ikupe nafasi nyingine ya juu katika mafanikio yako. Hersi akifanya hivyo hakuna dhambi.
 
Yanga kafunga timu zote kwenye ligi, Ina maana zote zilijilegeza? Huyo Simba unaemsifia kafungwa na Yanga mara mbili msimu huu, je alikuwa anajilegeza. Hoja dhaifu kwa akili dhaifu.
Ndio timu ya kwanza kujilegeza na kuuza mechi nchini
 
Yaani kuwakamia ndo mara nne? mfano wewe leo upigwe na mtu halafu uone amekubahatisha, ukakutana nae tena awamu ya pili akakupiga, ya tatu, ya nne bado uone anabahatisha tu! mi ni shabiki wa madrid ila kwa sasa nakubali barcelona ni bora zaidi yetu.
 
Ni Utopolo ndio...Tatizo lako bado uko kwenye kundi la wapumbavu aliowataja Manara...Mwenzio anajaribu kuchomoka wewe unamshika miguu muendelee kubaki kundini
"Mwenzio anajaribu kuchomoka wewe unamshika miguu muendelee kubaki kundini"
CRUB MENTALITY
 
Simba mlipigwa 5 na kwa miaka 4 hamjaokota point kwa yanga. Swali huwa mnalegea na kwa mnalegea?? Mfupa mnaofeli nyinyi eti mmtwishe fountain gate?? Shame on you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…