Hili la nauli Serikali iliangalie upya yaani ongezeko la Tsh 15,000/ kweli!? Nauli kutoka 38,000 hadi 53,000 jamani kweli!? Mbona mmekuwa wabinafsi?

Na Bado Maji Tutaita Mmaa
Mchawi Anayetuloga Sisi Ni CCM Tu, Haya Wanayajua Vema
Mzilankende Alisema Mtanikumbuka Lakini Siyo Kwa Mabaya Ila Mazuri




Kama Unabisha Jifanye Kama Unajikuna Vile Uone.....
 
Mtajua wenyewe Sisi wanajeshi tunapanda bure[emoji1][emoji1][emoji1787]
 
Bungeni wamejaa wao tu
 
Reactions: Exy
Serikali ya ccm hawastahili kurudi madarakani 2025, ni bora tuchague vibaka wengine labda watakuwa wezi wabunifu kuliko huu wizi wa waziwazi wa sasa... bila kujali hali za wananchi wake, serikali imeridhia nauli zipande...
 
Chawa punguza ujinga.wewe na chama chako chakavu ndio mnaojielewa miaka 60 toka uhuru nchi bado haieleweki na bado umekalia ujinga tu.Jinga kabisa wewe.
 
Tuikate CCM chama Cha wafanya biashara nchi isonge mbele, na chama kinachoweza kuikomboa nchi kwa Sasa hakuna , labda katiba mpya
 
watanzania ni wavivu sana hizi nauli zilitangazwa wakatoa na maelekezo kama kuna pingamizi liwasilishwe kabla hazijaanza kutumika december 8 mlikaa kimya hadi sasa zimepanda ndio mnakuja lalamika tanzania ina watu wavivu sana na walalamishi sana hamjui haki zenu kama watanzania mpo mpo tu.
 
Shida inaanzia pale kwa huyo unaemuita "mama", kwani unadhani yeye hajui kinacho endelea au unadhani hajui kama hali ya maisha kwa wananchi inazidi kua ngumu na kukatisha tamaa Kila siku, ameridhia hilo ongezeko la nauli licha ya kelele nyingi za maumivu kutoka Kila sehemu usitake kumtakasa kwenye hili, hakuna namna tuendelee tuu kuisoma namba kwa nyuma kwa sababu waliotupangia nauli hawatumii hivyo vyombo vya usafiri hata kwa bahati mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…