Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo Ndiyo Lilipoanzia/KuanzishwaLATRA ni mzigo. Taasisi ambayo haikupaswa kuwapo.
Asilimia 97 Wanasiasa Wakubwa Na Viongozi Waandamizi SerikaliniWanaomiliki vyombo vya usafir wengi ndio hao hao wanasiasa wanaopitisha hizo sheria bungeni.
Hao Wanazaliwa Ndani Tumbo Moja Na CCMNafikiri Latra na Ewura ni ndugu moja.
Tatizo Ndiyo Lilipoanzia/Kuanzishwa
Mtajua wenyewe Sisi wanajeshi tunapanda bure[emoji1][emoji1][emoji1787]Hivi hii ni makusudi au ninini, au kuna mbinu ya kumkomoa Mh Rais kimya kimya baada ya kujua sio mfuatiliaji wa maswala kama hayo?
Hilo ongezeko la kiwango hicho limekuwaje? Yaani sehemu uliyo kuwa unasafiri kwa elfu 10 saihiz ni elfu 15 sehemu uliyo safiri kwa 40,000 sasa hivi ni 55,000, hivi wananchi wanaangaliwa hapa au ni maslahi ya wafanya biashara ndio yanazingatiwa zaidi?
Kwakweli kwa sasa naona wafanya biashara wameishika nchi kweli kweli yaan wanaamua watakalo.
Hii nchi hiii, ndio maana kuna mtu alisema wafanya hiashara wakubwa sasa wanafanya kila wawezalo kuhakikisha mama anabaki madarakani kumbe kuna wanacho nufaika naye.
Mama tafadhari simama na wananchi maana ndio unao waongoza kwa wingi na ndio unao wahitaji kwenye kura hawa wafanya biashara wawe na kiasi usiwakumbatie sana wananchi tuna umizwa sana.
Bungeni wamejaa wao tuViongozi wakuu ndio wafanya biashara wakubwa wa usafirishaji wa abiria unategemea nini?. Afu Latra wanakwambia nauli zimepanda ili kugharamia matengenezo ya magari na malipo ya wafanyakazi!!, Yaani abiria tunapandishiwa nauli kumfanya tajiri wa gari afanye matengenezo au alipe mishahara kwa wafanyakazi wake?. Serikali ya CCM n wasengelema Sana.
Tshs 13,000.Nauli mpya ya Moro kiasi gani kutokea Dsm?
Chawa punguza ujinga.wewe na chama chako chakavu ndio mnaojielewa miaka 60 toka uhuru nchi bado haieleweki na bado umekalia ujinga tu.Jinga kabisa wewe.Machadema nyie ni mapunguani na hamjielewi.
Kwa kichwa chako hicho unachofugia nywe unadhani kuja siku Machadema yatakusaidia wewe uwe na maisha mazuri au?
Kuelewa hutaki hata mifano kwenye Nchi zilizochagua Wapinzani kipi Cha maana wamewaletea zaidi ya kuzidisha ugumu wa Maisha? Pole kukosa akili ni kama ugonjwa.
HAKUNA Bunge pale Kuna vikao vya matahira wa CCM kmmae zao iko siku tutawafata na petrol na viberiti.Bungeni wamejaa wao tu
watanzania ni wavivu sana hizi nauli zilitangazwa wakatoa na maelekezo kama kuna pingamizi liwasilishwe kabla hazijaanza kutumika december 8 mlikaa kimya hadi sasa zimepanda ndio mnakuja lalamika tanzania ina watu wavivu sana na walalamishi sana hamjui haki zenu kama watanzania mpo mpo tu.Viongozi wakuu ndio wafanya biashara wakubwa wa usafirishaji wa abiria unategemea nini?. Afu Latra wanakwambia nauli zimepanda ili kugharamia matengenezo ya magari na malipo ya wafanyakazi!!, Yaani abiria tunapandishiwa nauli kumfanya tajiri wa gari afanye matengenezo au alipe mishahara kwa wafanyakazi wake?. Serikali ya CCM n wasengelema Sana.