Tukisema tuwasikilize WAWEKEZAJI siku watakuja kuomba PASSPORT kwa kisingizio cha kutaka kulinda rasilimali zao.
Nadhani ni kauli tu ameitoa ila sheria ya nchi juu ya wageni lazima izingatiweMimi sipingi kauli
Natamani iwepo clarification..
Je wageni waajiriwe bila kujali idadi?
Au usimamizi uwepo kama enzi za JK..
Mbona alileeleza vizuri kamsikilize tena mkuu!Mimi sipingi kauli
Natamani iwepo clarification..
Je wageni waajiriwe bila kujali idadi?
Au usimamizi uwepo kama enzi za JK..
Wasiwe wachina..[emoji1]
Kabisa mheshimiwa sijui kama wadau huku wana jua nia yako!Kabisa. Kuwepo kwa wageni wengi hakumfanyi mtanzania mwenye sifa kukosa kazi. Wageni waje tu wafanye kazi. Haya mambo ya kusema wageni wanachukua kazi za wazawa ni ufinyu wa mawazo tu.
Hawa wataka waone wachina wakijazana tena mijini wakifanya uchuuzi kama wazawa.Huna akili wewe.
Yani mtu atoke China aje kufanya kazi ya Procurement bongo ? Hivi huwa mnatumia akili za miguuni kufikiri?
Wewe unaweza kwenda kufanya kazi ya HR south Africa au Rwanda ? Muwe mnasoma na miongozo ya ajira ya nchi zingine ikoje sio mnaandika pumba.
Kuna kazi za Wazawa lazima zilindwe kwa namna yoyote. Muwekezaji anakuja na experts tu ila wafagizi na kazi zingine lazima wawe Wazawa.
Tutapoelekea mkuu.Kuna vijana wengi hawana ajira huko mtaani, Watu wasisahau hilo. Mambo ya fundi , store keeper, sijui dereva kutoka nje nchi. Siyo swala la kuchekelewa....
Nenda China watanzania kibao wako kule wanafanya umachinga miji kibao kule wengine wanauza hadi magenge ya vyakula ukiwatimua hapa wachina Ariakoo na wao wanawatimua watanzania wote walioko kule china wanaofanya umachinga
Mkuu tupo utawala mwingine.Mimi sipingi kauli
Natamani iwepo clarification..
Je wageni waajiriwe bila kujali idadi?
Au usimamizi uwepo kama enzi za JK..
Wachina walijaa sehemu zipi? maana wamachinga waliandikishwa na kupewa vitambulisho.Wachina walijaa katika utawala wa jiwe
Unakuta Mchina anakibali cha class B kafungua mradi wa lambalamba. Au anunua chuma chakavu na chupa pale Kurasini.
Wachina walijaa sehemu zipi? maana wamachinga waliandikishwa na kupewa vitambulisho.
Inaelekea huyu jamaa ni mmoja wa wanufaika wa mwendazake! Kwa nn alalamike,UWEZO WA KUWEKEZA HUNA halafu unabana wawekezaji for what purpose?Mtu aliyewahi kuishi nje kauli ya mama ni nzuri sana ila kwa Mtanzania ambaye hajawahi kuishi nje anaweza kupingana na mama.
Muingiliano wa watu kutoka mataifa tofauti huchochea uchumi.
Hatuhitaji wawekezaji uchwara waliopo kuhujumu uchumi.Kuna wachina wako hapa Iringa wanachezesha kamari! Nao ni wawekezaji?
Mama hajasema wasifate sheria, anachosema ni kuondoa urasimu wa kupata vibali, na ametoa mfano wa watu kuombwa rushwa ili kupewa vibaliMimi sipingi kauli
Natamani iwepo clarification..
Je wageni waajiriwe bila kujali idadi?
Au usimamizi uwepo kama enzi za JK..
MImi sijisifu kuwa nina akili au nimesoma sana ila nimekwenda vyuo mbalimbali ndani na nje ya Tanzania na nimeelimika sana kuhusu maeneo mengi na nimetembea nchi nyingi sana duniani.Kuna matanzania huwa hayana akili sijui huwa yanawaza nini
Wawekezaji wanakuja kujitafutia sisi ajira ni mojawapo ya mahitaji yetu. Yafaa rais ashauriwe vizuri sio twende kwa matakwa ya wawekezaji ambao hata tusipopata kitu kama taifa kwenye uwekezaji wao sio kitu kwao. Wale ambao hawataki sheria na taratibu zetu waachwe bila majuto. Ukweli tunahitajiana sio tujifanye mradi mwekezaji tunamkumbatia.Nikimnukuu Rais kasema mtu akiomba vibali vya kazi apewe sababu ndo watu Mwekezaji 'anaowaamini'.
Binafsi sina shida kabisa na hili iwapo tutafuata sheria zinavyotaka.
Sheria inasema muwekezaji anaruhusiwa kuja na wageni hadi watano akija na uwekezaji wake; wengine watatakiwa kuajiri wazawa.
Hii sheria haina shida iwapo inafuatwa.
Na sheria inasema iwapo kutakuwa na nafasi ambayo hakuna mzawa anaiweza anaruhusiwa kuongeza mgeni Kwa nafasi hizo.
Nahofia kauli ya Rais Samia inaweza tafsiri kuwa sasa ni ruksa kuajiri wageni as many as you want, bila idadi.
Ni vizuri Mama akashauriwa kutoa maelekezo Kwa mujibu wa sheria.