Huwa ninammendea Sana huyo mshangazi ila sijawahi ku cross path naye kabisa.... Naomba ins and outs zake mkuuVizuri sana kijana wa kikatoliki
Niliona malalamiko yako nakuombea uwe na aman sana mkuu
Basi piga kazi bro wangu kufanikiwa kwako ndo kufanikiwa kwetu pia
Ila huyo angle nyilon ni mshangazi na anaishi mtaa uliojaa vibaka hapo Zanzibar
Kwaiyo mimi ni ajuza😀
Sasa huu ndo mlolongo ukanifanya kughairi nitumie mtu, Kisha atoe aniambie then uthibitishe yote Kisa unverified ghost K ya JF bora ata ungekua verified najua pa kudai fidia.. usinitanie shwaiiin, muujiza kwa muujiza 🤣🤣Sasa kwanini utumie jina lako😂 ishi kimasta, yani usieleweke na mtu, watajua wenyewe huko!😎
Usinambie unataka kubaki na ushahidi🤭Sasa huu ndo mlolongo ukanifanya kughairi nitumie mtu, Kisha atoe aniambie then uthibitishe yote Kisa unverified ghost K ya JF bora ata ungekua verified najua pa kudai fidia.. usinitanie shwaiiin, muujiza kwa muujiza 🤣🤣
No jokesJokes.
toa lock basii 🥲
GimbiKwa hiyo mm kiazi bwashee 😆😆
That's what am doing read btn the lines, Tombilebhe gete.Usinambie unataka kubaki na ushahidi🤭
Kwani ni digits ngapi mwanetu🙆🏽♀️
Kwahiyo niwe verified ili nini? We here for fun meehnn!! Whats wrong you? Naona unaendeleza miujiza😏
No jokes
Nyoko😏
Huyu leo kaamka mwanamke?Hivi BICHWA KOMWE - hawajakutaja kabisa basi hizi list zao ni batili
Neta khe lulu olenidoka nyandone😢That's what am doing read btn the lines, Tombilebhe gete.
Wiki hii yoteHuyu leo kaamka mwanamke?
Maneno uliyoyaandika "Neta khe lulu olenidoka nyandone" hayapatikani kwenye kamusi ya Kiswahili sanifu, bali yanaonekana kuwa ni maneno yaliyochanganywa kutoka lugha za asili au lugha za nchi jirani (kama vile baadhi ya lahaja za Kiuganda au Kicongo), huku neno "lulu" pekee ndilo linalofahamika kwa KiswahiliNeta khe lulu olenidoka nyandone😢
Hebu wewe tupangieAma kweli kila mtu ana namna yake ya kuona kitu kizuri 😂
Unaanzishaje kitu hiwezi kukimaliza😂Maneno uliyoyaandika "Neta khe lulu olenidoka nyandone" hayapatikani kwenye kamusi ya Kiswahili sanifu, bali yanaonekana kuwa ni maneno yaliyochanganywa kutoka lugha za asili au lugha za nchi jirani (kama vile baadhi ya lahaja za Kiuganda au Kicongo), huku neno "lulu" pekee ndilo linalofahamika kwa Kiswahili
Samahani turudi kiswahili au English madam, kama hutajali nitafsirie ulichosema
BaelezeeHahahahaaaa sawa bwasheee, kama ibrahim alikuwa na mtoto mzuri mimi ni nani nisiweze...
Ni kiherehere tu hilo neno nililotumia nimeku copy we mwenyewe nyuma huko ushawah tumia nikaongeza getu tu, haya Mzee wa lock.. majukumu mema.. tukaitafue Jetour ssUnaanzishaje kitu hiwezi kukimaliza😂
Wasalimie, ukipata mbili nigei mojaNi kiherehere tu hilo neno nililotumia nimeku copy we mwenyewe nyuma huko ushawah tumia nikaongeza getu tu, haya Mzee wa lock.. majukumu mema.. tukaitafue Jetour ss
Bure tuu, we utanigei nn? Choyoo kama nn, Elnino ije isombe wachoyo wotee ituache roho safi tu.Wasalimie, ukipata mbili nigei moja
Ntakupa andazi😂Bure tuu, we utanigei nn? Choyoo kama nn, Elnino ije isombe wachoyo wotee ituache roho safi tu.
Wtf 😬Love u on the low dho shem kiulalo 🤣😘 Bye.
Kwao Kuna mbwa wakali shaul yakoHuwa ninammendea Sana huyo mshangazi ila sijawahi ku cross path naye kabisa.... Naomba ins and outs zake mkuu