Hili ni kosa la kiufundi alilofanya Adolf Hitler

Reader digest kitabu kilielezea vizuri.ina matukio na tarehe kwa picha.ni kweli vita ilikuwa kati ya mrusi na germany nakumbuka pia usa na japan naye ilikuwa mechi kali sana.
 
Tirilika zaidi Mkuu naisubiri hii elimu
 
Ndani ya Battle of Kharkov,
Warussian hawatamsahau huyu mwamba Field Marshal Erich Von Mastein
Alijipatia sifa kedekede mpaka kutoka kwa West na Russians wenyewe
Alikuwa na mbinu za kivita zilizobobea kama "backhand blow,"
Ambapo anaondoa majeshi yake kama kuashiria anarudi nyuma yaani ku retreat, inayowafanya adui kufikiri wanashinda mpambano na kusonga mbele, hapo ndio anawazunguka kwa kutengeneza mduara na kuwaweka katikati na kuwafyekelea mbali.
Huyu baada ya vita badala West allies wamfunge jela, walimpa kazi kama NATO Battle Tactician .....


 
Huyu mwamba alikuwa the best
 
Ni kweli mkuu ndiomana ukiwa ndani ya Germany ukipingana na iyo dhana unafungwa yani wanatumia nguvu kudanganya Watu.

Lengo la uwongo wote ni kuigawanya Palestine

sasa wanaitaka Ardhi yote y Palestine.

History inawakataa wenyewe Wengi wameshangaa Vipi miaka Ile jamii ya kiyahudi iwe imefika million 6.

Wana History wapya walipochachamaa kupinga iyo namba na sasa wanaoji na kupinga kuwepo kabisa tukio lote la mauaji yenyewe..

GERMANY wakakimbilia kupitisha Sheria rasmi kuwa kuoji tu kama ilikuwa kweli au sio kweli wanakufunga., walichobugi zaid idadi yani number kuweka 6m.
 
ila story haihusiani na nchi ya Malawi
 


Mkuu kasome vizuri historia uliyosoma. Uingereza na Ufaransa walitangaza vita dhidi ya Ujerumani Septemba 3, 1939 siku mbili baada ya Ujerumani kuivamia Poland.

Ujerumani aliivamia Ufaransa mwezi Mei, 1940 na Ufaransa ika surrender ndani ya wiki sita kisha akaanza kuishughulikia Uingereza kwa mashambulizi ya anga baada ya majeshi ya Uingereza yaliyokuwepo Ufaransa (BEF) kushindwa vibaya, hiyo air campaign ya wajerumani ilikuwa na lengo la ku achieve air superiority over Uingereza na kusafisha njia kwa ajili ya uvamizi wa Ujerumani dhidi ya Uingereza (Operation Sea Lion) na kuilazimisha Uingereza kuingia kwenye meza ya mazungumzo na kukubali kufanya amani na wajerumani ili wajitoe kwenye vita na Ujerumani isiwe na tishio kwa upande wa west.

Lakini Air Campaign ya Wajerumani dhidi ya Uingereza ikasababisha Battle of Britain kwa sababu Waingereza walikaza.

Italy nae kuona rafiki yake Germany alipokuwa anaibonda Ufaransa vibaya vibaya na Ufaransa inaelekea kushindwa akatangaza vita na Uingereza na Ufaransa na vita ikasambaa Afrika Kaskazini na ukanda wa Mediterania. Italy alipokuwa anaelemewa rafiki yake Mjerumani akam support

Hawajamalizana huko West mara Hitler anaivamia USSR Julai 1941. Akapigana fronts mbili na nyengine ya Afrika Kaskazini akiwa anaji involve nayo. Na kumbuka pia katika kuivamia USSR alitumia resources nyingi sana na majeshi mengi sana.

Desemba 7, 1941 Japan naye akaishambulia Pearl Harbor kwenye territory ya Marekani kesho yake Marekani akatangaza vita na Japan. Siku chache zilizofuata Ujerumani ikatangaza vita na Marekani na Marekani ikajibu mapigo kwa kutangaza vita na Ujerumani.

Hivyo japo USSR ,ambaye alipata madhara makubwa mno katika ile vita, alikuwa na mchango mkubwa katika kuibonda Ujerumani, ila sio kweli kwamba Marekani, Uingereza na Ufaransa walijiunga mwishoni kabisa mwa vita.

Uingereza na Ufaransa walitangaza vita na Ujerumani mwanzoni kabisa mwa vita Septemba mwaka 1939 wakati ambao Stalin alikuwa na Non-Aggression Pact na Ujerumani na akishirikiana na Hitler kuibonda Poland ile Septemba 1939. Ila Hitler akaja kumgeuka na kumvamia takriban miaka miwili baadae (Operation Barbarossa 1941).
 
Nakubaliana nawe kuwa Uingereza na Ufaransa walitangaza vita dhidi ya Ujerumani mwanzoni mwa Vita ya Pili ya Dunia, lakini kwa kweli kiwango na uzito wa mchango wao vilikuwa vidogo sana, na kwa kiasi kikubwa vimekuwa vikipewa uzito wa kupindukia (overrated). Kwa mfano, Ufaransa ilishindwa vibaya ndani ya kipindi cha wiki sita tu.Ukilinganisha hali hiyo na vita vya upande wa Mashariki (Eastern Front) kati ya Wanazi na Wasovieti, ambavyo vilidumu kwa takribani miaka minne, tofauti ni kubwa sana. Vita hivi vya Mashariki ndivyo vilikuwa sehemu ya umwagaji damu mkubwa zaidi wa vita hiyo (deadliest theatre of war), ambako zaidi ya Wasovieti milioni 25 walipoteza maisha. Wanazi walipoteza takribani wanajeshi milioni 8, huku Wachina wakiwa na vifo vya takribani milioni 20.Kwa mantiki hiyo, tunaweza kusema zaidi ya asilimia 75 ya gharama ya vita, kiuhai na kijeshi, ilijikita katika ukanda huo wa vita Mashariki na Asia. Wengine waliobaki, licha ya mchango wao , ni sehemu ya simulizi zilizojaa propaganda za Magharibi ambazo hazilingani na uhalisia wa historia ya vita yenyewe.
 
Niliwahi kusoma mahali Hitler alikuwa mwanaharakati wa haki za Wafanyakazi. Alionekana kuungwa mkono na wajerumani wengi na majirani zake. Alikuwa. A ushawishi Mkubwa.
Hata hivyo tamaa ikamjaa akasababisha Majanga Dunia nzima
na inasemekana alifeli kwenye shule ya uchoraji
 
Cha ajabu Western propaganda wanadai eti turning point ya "WW2 ilikuwa ni Normandy" waongo wakubwa hawa lengo lao nikutaka kupindisha historia ya kweli ya WW2 ndani ya Continental Europe, ukweli utabaki pale pale kwamba Russian "Red Army" ndiyo ili vunja uti wa mgomgo WA jeshi LA Hitler - watasema mengi na kutaka kupindisha historia ya WW2 lakini wakumbuke kwamba ukweli utabaki pale pale kwamba Red Army under Field Marshal Zhukov lilikuwa "forminable"
 
Niliwahi kusoma mahali Hitler alikuwa mwanaharakati wa haki za Wafanyakazi. Alionekana kuungwa mkono na wajerumani wengi na majirani zake. Alikuwa. A ushawishi Mkubwa.
Hata hivyo tamaa ikamjaa akasababisha Majanga Dunia nzima
Ndio maana Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko makini sana na watu aina hiyo wasije wakayasogelea mamlaka!
 
The Fuhrer Adolf Hitler.. ila yule daktari wake Theodore Morrel yale madawa aliyokuwa anampa Hitler yalichangia The Fuhrer kuwa na bad decision sometimes, alikuwa hataki kusikia kitu inaitwa retreat, hii ilisababisha pia wanajeshi wake wengi kufa, na pia kuingilia decision za ma general wake kulimcost pia, all in all uko sahihi kabisa.

It's inner circle ya kina Joseph Goebbels (Minister of Propaganda) Herman Goring (Luftwaffe boss) Heinrich Himmler ( Head of SS) Martin Bormann ( Secretary), Wilhelm keitel ( Military General) Joachim Von Ribbentrop ( Foreign affair Minister) Baldur von Schirach, Rudolf Hess( aliyekimbia kujisalimisha Britain) , Puttkamer, Reinhard heydrich, na wengine wengi angeweza kuchukua ushauri wao lakini aliamua kuwa yeye ndo everything.
 
Hitimisho lako ni nini au ni codes kuwahusu mboga mboga.
 
Hii dhana ya kwamba wayahudi waliuliwa mil6 nilikuwa napingana nayo lakini niliposoma hicho kitabu nimeweka picha yake hapo cha the rise and fall of Third reich , mwandishi kuna mahali ameelezea kwamba hata kama mjerumani alikuwa na origin yoyote ya kiyahudi hata kwa mbali, bado alikuwa akihesabika ni myahudi.. hata kama babu wa babu wa babu yako alikufa zamani lakini kama aligusa tu myahudi tayari the whole generation mnahesabika nyie sio Aryan bali ni myahudi. Na hiyo idadi ya wayahudi hadi wakafika 6 milion haikuwa ni Ujerumani peke yake bali wayahudi wote waliokuwa maeneo ambayo mjerumani alikita kambi . Kuanzia poland ,czech,kaskazini mwa italia ,Russia finland n.k. ndio maana hiyo idadi ilifikia hapo
 

Hitler aliwaambia waingereza kuwa yeye hana shida na wao.
Kama angeamua serious kuwanyoosha waingereza angeweza.
Nguvu ya Uingereza na Ufaransa ilisaidiwa sana na Marekani kujiunga na hivyo vita.
 
Sio kweli mkuu. Wayahudi kivyovyote number y 6million ni ndoto kwa miaka Ile. Unajua Leo iyo Israel baada ya kukusanyana kila kona na kuongeza 0 bado wapo wangapi???
 
Hitler aliwaambia waingereza kuwa yeye hana shida na wao.
Kama angeamua serious kuwanyoosha waingereza angeweza.
Nguvu ya Uingereza na Ufaransa ilisaidiwa sana na Marekani kujiunga na hivyo vita.
Ni kweli....
Kwa kifupi Germany kwa Europe ukimtoa USSR ambae tayari alikuwa na mkataba nae wa amani hakuna yeyote alikuwa na uwezo wa kusimama na Germany.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…