Hili ni kosa la kiufundi alilofanya Adolf Hitler

Sio kweli mkuu. Wayahudi kivyovyote number y 6million ni ndoto kwa miaka Ile. Unajua Leo iyo Israel baada ya kukusanyana kila kona na kuongeza 0 bado wapo wangapi???
Bado napingana na wewe jaribu kufuatilia tena vizuri mdau
 
Na bado alipofungua front ya pili kwa kuivamia USSR, pia alilazimika kupigana front nyengine kwenye ukanda wa Afrika Kaskazini kumsaidia rafiki yake Italy ambaye hali yake ilikuwa mbaya huko
Yeah .. nilisahau na hiii . Nadhani iliitwa operation Torch kama sikosei.. na ilikuwa inasimamiwa na Erwin Rommel.
 
Hitler aliwaambia waingereza kuwa yeye hana shida na wao.
Kama angeamua serious kuwanyoosha waingereza angeweza.
Nguvu ya Uingereza na Ufaransa ilisaidiwa sana na Marekani kujiunga na hivyo vita.
Yeap.. hitler personally hakuwa na shida yoyote na uingereza. Kosa la uingereza mpaka akapigwa na hitler ni kumpa back up mfaransa kwa kutuma vikosi vyake vya BEF(British expeditiary Force) ili visaidiane na vikosi vya ufaransa.. Na nchi ya uingereza kati ya miji iliyopokea kichapo kitakatifu kutoka kwen vikosi vya Hitler ni jiji la Liverpool uliopo pwani ya magharibi ya uingereza.
 
Jamaa balaa walifika mpaka ndani ya urusi mamaeeee
 
Kwa wakati ule ni sawa maana German walikuwa tishio. Sema tu strategies zilifeli. Lakini ilileta madhala makubwa sana ulaya na Asia nzima. Japo Germany alishindwa lakini ulaya na Asia hawatasahau hasala walizopata. Hata hivyo Germany alikua kundi moja na Italy na Japan, Hungary, Bulgaria, Romania. Hakupigana peke yake
 
Yeap jamaa alisumbua sana pale ulaya
 
Mwanzoni kabisa mwa vita USSR alikuwa kitu kimoja na Hitler, Hitler akamgeuka baada ya kumuona kama hamuhitaji tena, hapo alishapigana na France, Poland, yupo na Britain
 
Ni kweli....
Kwa kifupi Germany kwa Europe ukimtoa USSR ambae tayari alikuwa na mkataba nae wa amani hakuna yeyote alikuwa na uwezo wa kusimama na Germany.....
Hii ni mpaka leo mdau
 
Kwa upande wa hali ya hewa ya baridi iliwasumbua sana Askari wa ujerumani ukilinganisha na red army waliokuwa trained kupigana kwenye barafu
 
Mwenzio alikuwa anajua ni nini anafanya ila wewe naona uumepotezwa kabisa
 
Hapa umeelezea vizuri, sio kama jamaa wanakuja na story za kuokoteza au kuweka ushabiki tu kwa ajili ya drama.

Halafu pia hakuna sehemu ambayo nchi za Magharibi zimedai kuwa Urusi haikuwa na mchango mkubwa, Urusi ndio alipoteza wanajejeshi wengi zaidi na hilo halijawa hata downplayed. Labda hii vita ya Ukraine na Urusi NATO inafanya watu kuleta ushabiki na kupotosha history
 
We we ndio unafanya inakuwa propaganda kwa ushabiki tu.
 
Hayo mambo yanakusaidia nini hata kama yakiwa ya kweli au uongo..... Think outside of box
 
Hayo mambo yanakusaidia nini hata kama yakiwa ya kweli au uongo..... Think outside of box
Kwani nataka msaada? Au kitu chochote ninachokifanya au kusema huwa nategemea kinipe msaada? We we yanakusaidia nini had I umefungua uzi na kunijibu?
 
Jamaa balaa walifika mpaka ndani ya urusi mamaeeee
Historically Germans were not bled for a long war. Their prime military strategy was Blitzkrieg (Lightning War), of overwhelming an enemy with enormous forces using combined arms (Air and Land).

This strategy worked in France, which was defeated for just one month and ten days. It never worked in Russia, a vast country with formidable industrial power.

One of the main reasons for the invasion of the Soviet Union, was to capture oil fields in the Caucasuses and other resources like Steel and Rubber which Germany till this day is dependent on Russia.

At the time of the invasion, Soviet Union had already evacuated almost 1500 heavy industries from Ukraine, Leningrad and Stalingrad into Siberia where the Germans could not reach them.

So the Soviets forced the Germans to fight a brutal war of attrition, in an area that had little significance. Germans had 10 Panzer divisions whose tanks failed to operate well in the Russian winter. Germans soldiers were starved to death, and even incidents of cannibalism were reported.

What I have come to learn about war is this, Superior Technology is critical in war, but Industrial Potential is decisive. Germans had superior technology, but Soviets had a fully functioning industrial potential which enabled them to out-produce the Nazis and replenish the Red Army during critical moments.​
 
Kwani nataka msaada? Au kitu chochote ninachokifanya au kusema huwa nategemea kinipe msaada? We we yanakusaidia nini had I umefungua uzi na kunijibu?
☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️
 
Lkn
Lakini mwanzoni mwa vita Russia supported German,ns ndo maana Russioa iliingia vitani badaye sana ,1941 baada ya Hitler kushambulia Russia`,ndege iliyoshambulia Russia inasemekana ilikuwa si ya German,ila iikuwa ya Englad ila ilipakwa rangi za German.Ilikuwaje?,inasemekana England waliomna ushauri kwa Myahudi mmoja (alikuwa Pro.of Military Science) akawapa wazo kwamba hawawezi kushinda vita kama German na Russia wakiwa pamoja,lazima wawagombanishe, na wakigombana,kwa kuwa Hitleralikuwa hajajiandaa kuoigana na Russia itabidi agawe jeshi na hivio kupunza nguvu,na hilo wazo aliwapa kwa sharti kuwa baada ya vita liundwe Taifa la Kiyahudi la Israel,mind you kipind hicho Uingereza ndo ilikuwa inatawala eneo hilo,na ndo maana mara baada ya vita takribani miaka mitatu,1948,Israel ilitangaza uhuru wake,na Russia ilichangia pa kubwa kwa Hitler kushindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…