Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Upendo kwetu ni sifuri.Hiki ndicho kinachotugharimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upendo kwetu ni sifuri.Hiki ndicho kinachotugharimu
ficha ujinga wako japo kidogo.Vyombo hivi vya usalama vilivopo ilhali wazungu wanachukua madini kwa mgao wa 97% kwa 3%,vyombo hivi vya usalama vilivoshindwa kuwakamata wauaji wa Tundu Lissu,vyombo hivi vya usalama vilivyosimamia uchaguzi mkuu wa 2020?
Usije ukakuta hawa "waheshimiwa" ndiyo huomba kuonana na huyo Bongo zozo ili awarushe kwenye page yake..Swala sio gaharama, nani connection wake kuweza kupenya hadi jikoni.
Tumechezewa Sana Ndugu ZanguHaya mambo yapo Tanzania tu, idara ya shughuli za kisiri imelala fofofo nchi inachezewa kiboya
Unaweza kuwa na ushahid kidogo ukihitajika?Anatia shaka. Hata mababu zake walitumia mbinu hizihizi
Mzungu Mzalendo anayethaminiwa kuliko weweHebu tueleze huyo ni nani, mimi ndio namsikia leo
Ogopa sana huyu mtu!Huyu jamaa huenda ni shushushu VIP , lakini sisi tunamchukulia poa huku tukijidanganya kuwa msemo usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO umepitwa na wakati
View attachment 2129177
Aman ipi unayoizungumzia?aisee we ni kilaza sijapata ona...kwahiyo unadhan kutosikia mlio wa baruti ndio Kuna amani?aisee mnalishwa Nini Huko LUMUMBA?hatuna AMAN ILA TUNA WAJINGAHii amani unayoiona unadhani ni nani wanaitengeneza!?
usikute una miaka ishirini hata mlio wa baruti hujawahi sikia
Unajua hebu tujiulize huyo bongo zozo kama ni spy anakuja tz kufanta nini?Huyu jamaa huenda ni shushushu VIP , lakini sisi tunamchukulia poa huku tukijidanganya kuwa msemo usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO umepitwa na wakati
View attachment 2129177
Inafikirisha sana, muhimu wahusika waliangalie kwa jicho la taiHuyu jamaa huenda ni shushushu VIP , lakini sisi tunamchukulia poa huku tukijidanganya kuwa msemo usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO umepitwa na wakati
View attachment 2129177
Huyu jamaa kipindi cha nyuma alikuwa anaishi iringa eneo la wilokesi kazi yake kubwa ilikuwa kununua fedha za zamani.wengi walijua ni fbiHuyu jamaa huenda ni shushushu VIP , lakini sisi tunamchukulia poa huku tukijidanganya kuwa msemo usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO umepitwa na wakati
View attachment 2129177
Don't be fooled.Hata sie pia tulikuwa na mawazo kama yako lakini baadae tukafahamu kwamba jamaa amejitolea tu na kuipenda nchi yetu kwa sababu anaye mwanamke wa kibongo alafu mwenyewe umesikia amesema anatamani ampe mkono kwanza lakini kwa sababu za kiusalama harusiwi kumpa mkono raisi mpaka raisi atoe yeye kwanza naami kwa intelligence ya nchi yetu huyu jamaa kama angelikuwa mtu wa hivyo unavyomchukuria asingefikia hapo halipo.labda nahisi utofauti wa rangi yake nasi ndio inayochangia jamaa kumfikiria kwamba ni jasusi fulani kumbe ujasusi ,ubaya hauna rangi wala ukabila
Wewe unajua amani tu ndio swala la vyombo vya usalama!?Hii amani unayoiona unadhani ni nani wanaitengeneza!?
usikute una miaka ishirini hata mlio wa baruti hujawahi sikia
Hivi pembe za ndovu zinavyoibiwa,madini yanavyoibiwa mbele ya hivyo vyombo vya usalama!!??Hili ni janga jipya la nchi yetu kuwa na ujuaji wa hovyo daraja la kwanza. Unafikili vyombo vya usalama havisomi motive za watu ambao wanatishia usalama wa nchi yetu ndio maana tuko salama mpaka sasa.