Hili suala la Bongo Zozo kujipenyeza kila mahali hadi chumbani kwa baba limekaaje?

Hili suala la Bongo Zozo kujipenyeza kila mahali hadi chumbani kwa baba limekaaje?

unauhakika kwa ulichokiandika??? ni kweli 3%??? ivi LISSU Ashakufa eee???
Vyombo hivi vya usalama vilivopo ilhali wazungu wanachukua madini kwa mgao wa 97% kwa 3%,vyombo hivi vya usalama vilivoshindwa kuwakamata wauaji wa Tundu Lissu,vyombo hivi vya usalama vilivyosimamia uchaguzi mkuu wa 2020?
ficha ujinga wako japo kidogo.
 
Swala sio gaharama, nani connection wake kuweza kupenya hadi jikoni.
Usije ukakuta hawa "waheshimiwa" ndiyo huomba kuonana na huyo Bongo zozo ili awarushe kwenye page yake..
 
Huyu jamaa nadhani atakua Agent na ajenda yake kuu itakua;

1. Uraia pacha.

Ili wazitumie vyema rasilimali zetu.

Jamaa huwa wana mipango na wanaanzia mbali sana.
 
Hata sie pia tulikuwa na mawazo kama yako lakini baadae tukafahamu kwamba jamaa amejitolea tu na kuipenda nchi yetu kwa sababu anaye mwanamke wa kibongo alafu mwenyewe umesikia amesema anatamani ampe mkono kwanza lakini kwa sababu za kiusalama harusiwi kumpa mkono raisi mpaka raisi atoe yeye kwanza naami kwa intelligence ya nchi yetu huyu jamaa kama angelikuwa mtu wa hivyo unavyomchukuria asingefikia hapo halipo.labda nahisi utofauti wa rangi yake nasi ndio inayochangia jamaa kumfikiria kwamba ni jasusi fulani kumbe ujasusi ,ubaya hauna rangi wala ukabila
 
Tanzania suala la usalama halitiliwi maanani kabisa. Mfano, kuna mzungu mmoja anaitwa Gerret Rene, huyu jamaa kwa mwaka anaingia Tz kama mara mbili au tatu. Huingia Tz kwa kigezo cha kufanya miradi ya afya, hupewa vibali bila shida. Miradi yake anaifanyia Rufiji, Kibiti, Zanzibar na Amani huko Muheza. Sidhani kama serikali huwa wanam track ili kuona kama kweli anafanya hiyo miradi ya afya. Kwani akifika huko hufanya mambo mengine kabisa, wajaribu kumfatilia watabaini.
 
Hii amani unayoiona unadhani ni nani wanaitengeneza!?
usikute una miaka ishirini hata mlio wa baruti hujawahi sikia
Aman ipi unayoizungumzia?aisee we ni kilaza sijapata ona...kwahiyo unadhan kutosikia mlio wa baruti ndio Kuna amani?aisee mnalishwa Nini Huko LUMUMBA?hatuna AMAN ILA TUNA WAJINGA
 
Hata sie pia tulikuwa na mawazo kama yako lakini baadae tukafahamu kwamba jamaa amejitolea tu na kuipenda nchi yetu kwa sababu anaye mwanamke wa kibongo alafu mwenyewe umesikia amesema anatamani ampe mkono kwanza lakini kwa sababu za kiusalama harusiwi kumpa mkono raisi mpaka raisi atoe yeye kwanza naami kwa intelligence ya nchi yetu huyu jamaa kama angelikuwa mtu wa hivyo unavyomchukuria asingefikia hapo halipo.labda nahisi utofauti wa rangi yake nasi ndio inayochangia jamaa kumfikiria kwamba ni jasusi fulani kumbe ujasusi ,ubaya hauna rangi wala ukabila
Don't be fooled.

Hata wakoloni walipokuja walikuja kama wamisionari na watafiti.

Huyu Agenda yake ni Uraia pacha
 
Hii amani unayoiona unadhani ni nani wanaitengeneza!?
usikute una miaka ishirini hata mlio wa baruti hujawahi sikia
Wewe unajua amani tu ndio swala la vyombo vya usalama!?
Ukiambiwa vyombo vya usalama vipo na wachina wanavuna mawe yetu ya thamani kwa kujifanya ni wawekezaji wa "crushers" utaelewa!!?
Unajua wachina sehemu zote "potential" za vito vya thamani huweka "investments" zao za kipuuzi huko na sisi plus hao vyombo vya usalama tunawaita wawekezaji!!???
Kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama si tu kutufanya tuwe na amani,bali ni jukumu lao la msingi kuhakikisha rasilimali zetu zipo salama.
 
Kisha jua watanzania wanapenda kusikia nini, kwa hiyo anatumia fursa hiyo. Na wewe nenda UK tafuta watu wake wanapenda kusikia nini, mara pap! Umeitwa na malkia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hili ni janga jipya la nchi yetu kuwa na ujuaji wa hovyo daraja la kwanza. Unafikili vyombo vya usalama havisomi motive za watu ambao wanatishia usalama wa nchi yetu ndio maana tuko salama mpaka sasa.
Hivi pembe za ndovu zinavyoibiwa,madini yanavyoibiwa mbele ya hivyo vyombo vya usalama!!??
Umeshawahi jiuliza mchina amepanga apartment anayolipia 700 US$ kwa mwezi na huku anatumia Toyota Prado TX kuwa ni kweli amewekeza kwenye crusher ya kokoto ambayo kwa mwezi anauza "mende" zisizozidi kumi anapataje hizo hela!!!???
 
Back
Top Bottom