christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Likizo ni muhimu mkuu hawa watoto wanayakujifunza mengi huko nyumbani ikiwemo utu.Sijakataa likizo wasiende bali vidato vya mitihani wabaki.
Wakati unasoma wewe ulienda likizo kwa vidato vya mitihani?? Kma ni ndio basi tunaanza kujenga taifa la vilaza
Embu fikiria wakati mtoto yupo shule alifiwa na ndugu huko mkoani let say baba mdogo, bibi, shangazi nk. na hakupata wasaa wakuhururia, kipindi cha likizo ndio hukitumia kwenda kuona hata mahali walipolala wapendwa wao. Tusiharibu tamaduni zetu jamani tukitumia ratiba na usimamizi mzuri watoto watafaulu tu. Pia tukae tukijua kuwa elimu ni pyramid in shape sasa hofu ya nini?