Tupo Dunia ya utandawazi. Wakati mkenda anasoma studio za kuharibu watoto hazikuwepo, vibanda vya movie havikuwepo, bodaboda hazikuwepo, ushoga na usagaji havikuwepo, simu za kucheza game na kuangalia ngono hazikuwepo, mkenda akirudi likizo anakutana kazi za shambani zinamsubiri na kukatia mifugo ili shule ikifunguliwa iuzwe apate ada ya kurudi shuleni. Unajua ninyi wanasiiasa watoto wenu hawasomi Tanzania, wanasoma mataifa ya nje na likizo kama hizi mnawapeleka tour za kujifunza hivyo hawapumzishi hizo akili mnazotaka watoto wa masikini wapumzishe ili hao watoto wenu waje wawatawale kirahisi kama akina ridhiwani na January makamba