Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Vijana wangesimamia wapi wakati serikali ndiyo kila kitu?Hili taifa Vijana wangejitambua wakasimamia Rasilimali Tulizonazo ingewezekana kabisa mkuu!
Mkuu wewe enzi za ujana wako uliacha legacy gani mtaani ulipoishi?
Tatizo lipo kwenye kumjua mjinga ni nani na mwerevu ni nani..
All in all, hii nchi haina generation ya kuicheka generation nyingine kwenye masuala ya kitaifa. Wote kuna namna imeonesha failure
Wazee wameirithisha nchi kwa vijana ikiwa imegawanyika bila system yoyote hivyo, sidhani kama walitegemea kupata matokeo tofauti na mfumo walioulea na kuukuza wenyewe.
Vijana wangesimamia wapi wakati serikali ndiyo kila kitu?
Paypal vijana wamepiga kelele lkn yule bibi kaziba masikio. Vijana wafanyaje?
Nchi yoyote duniani imeendelea kwa uwepo wa ushirikiano mzuri kati ya serikali na vijana
Fanya kama hujaona comments zangu, I'm out 🙏🏽Mkuu ulipata Divesheni ngapi Form 4 kwa Combination gani,nadhani hili ni muhimu sana!
Wanasema kua uyaone mwanangu. Hii ndio mbinu inayowaeka CCM madarakaniUkiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili
Ndio mkuu nimeogopa kuaibishwa na wewe "genius". Level yako ya intelligence ni kubwa sana kunizidi kwa hiyo haina maana kuendelea na discussion yoyote ilhali kuna great thinkers wengi unaoweza jadili nao humu.Kijana umeamua kukimbia aibu!
Ndio mkuu nimeogopa kuaibishwa na wewe "genius". Level yako ya intelligence ni kubwa sana kunizidi kwa hiyo haina maana kuendelea na discussion yoyote ilhali kuna great thinkers wengi unaoweza jadili nao humu.
Anza wewe kuonyesha mfanowakaandamana kuihoji serikali kuhusu ripoti ya CAG?
Andamana wewe na Bango la CAG ukimponda rais uone utavyoshughulikiwaForm 4 nilipata division 2 ,combination ya PCB that's why najiamini sana mkuu!
Usipoteze muda wala nguvu zako ktk kufuatilia maisha ya vijana wa Tz, unaweza kufa kwa presha ya moyo au msongo wa mawazo. Achana nao, akili zao wanazijua wao wenyewe.Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Ukiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili,Vijana wengi waliopewa nafasi ili waonyeshe uwezo wao wamekuwa wapumbavu kuliko hata wazee waliochokaa!.
Nenda JKNIA beba Bango tembea mpaka Kawe kuponda kwamba wale waliotajwa kwenye report ya CAG hawajafanywa kitu rais hakuna anachofanya zaidi ya kuwachekea, alafu subiri km utafika hata Vingunguti yaan Kipawa tu huimaliziNionyeshe mfano mara ngapi?
Mkuu tuliza hasira tulia jibu swali uliloulizwaKama huna nauli niambie nikutumie uende hadi Tarime ukajionee mambo niliyo yafanya!
Nakutumia nauli ya Ndege (Air Tanzania au Precision ) unatua Mwanza then unapanda Zakaria au Kisire hadi Tarime kisha unaelekea Rebu ukajionee nilichofanya!
Mkuu ni vyema ungeambatanisha picha au link ya hayo matangazo mawili( la kazi na la wema sepetu) isije ikawa habari yako ya kupikwa tuUsipoteze muda wala nguvu zako ktk kufuatilia maisha ya vijana wa Tz, unaweza kufa kwa presha ya moyo au msongo wa mawazo. Achana nao, akili zao wanazijua wao wenyewe.
Jaribu kufikiria, kampuni moja inatoa tangazo la kazi kwa vijana mtandaoni, tangaxo hilo Lina muda wa miezi mitatu, lakini tangazo hilo limetazamwa na viewers wapatao 35 tu kwa muda wote huo wa miezi mitatu, walati huo huo kuna habari ya udaku kwamba "Wema Sepetu Apata Bwana Mwingine Mpya", na habari hii imewekwa mtandaoni yapata masaa matatu yaliyopita, lakini ukiangalia idadi ya watazaji wa hanari unaona wapo viewers laki tatu ambao wamesoma hanari hiyo. Hii ni ajabu sana, hizi ndio akili walizonazo vijana wa Tz.