Hili Taifa Vijana wangetumia ⅓ ya Akili zao leo hii tungekuwa Taifa kubwa kiuchumi zaidi ya Taifa la Marekani!

Mimi nimeshaoa lakini. Akisoma huu uzi mke wangu namjua alivyo na wivu. Mtagombana. Ingawa mimi nimeshazoea kuona watu wakitaka kuolewa nami. Ni ngumu watu flani kupitisha siku bila kutaja jina la mwanaume wanayempenda. Ukiachwa achika. Au huu upemba wangu unawapa sana shida nyie watu? Sisi wapemba ni kweli tunajua kutunza wake... Tunawaingiza watu mjini na kuwapa maisha. Ingawa baadaye mnatusema tunafuga majini n.k lakini mnajua si kweli. Ni wivu tu tunapoamua kuwaacha
 
Wewe kwenu kama wazazi walizaliwa na kukulia kwenye umasikini ina maana na wewe ni lazima uwe masikini? Wewe huwezi kuvunja hiyo cycle ya umasikini kwenye familia yenu?
Umeelewa nlichokiuliza au umelipuka tu? Mtoa mada kabeza vijana na kuona uelewa wao ni mdogo wanashabikia mambo yasiyo na tija🤔nkamuuliza kwa nyakati zao walifanya nini ambacho wanajivunia...jibu swali acha kuleta porojo
 
Acha wivu wa kichawi wewe makota
 


Umeandika kwa uchungu sana mkuu!🤔

Sijajua ni nani atakuja kuwaamsha vijana wapumbavu wa hili Taifa!
 
Nafikiri huu sio wakati wa kulaumu bila kuja na suluhisho kwa jamii yetu na vijana wenzetu,,,
Kwa kweli,vijana hawapaswi kulaumiwa.
Hoja iliyopo inaonekana kuegemea kwenye tukio moja na hivyo si mtizamo sahihi na si uwakilishi wa haki wa vijana wa Taifa hili.

Si haki kukiita kizazi kizima kwa ujumla, kuwa wajinga kutokana na matendo ya watu wachache.

Hakuna tija, and it is counter productive, baala yake waelimishwe na wawezeshwe
[✓]

Ujumla jumla kama huo unaweza kuwa na madhara na kudekeza dhana potofu.




NB:Hawa magaidi watakuwa wamesurutishwa pahali kwani imekuwa kawaida yao, kila wakisurutishwa wanatukana Jamii nzima.
 
Nenda JKNIA beba Bango tembea mpaka Kawe kuponda kwamba wale waliotajwa kwenye report ya CAG hawajafanywa kitu rais hakuna anachofanya zaidi ya kuwachekea, alafu subiri km utafika hata Vingunguti yaan Kipawa tu huimalizi

Hivi kwa akili yako unadhani na mimi nina akili kama yako?,Kama ukiwa na umri huo unaogopa kuhoji mambo ya msingi ya Taifa lako unadhani utahoji nini?

Mimi ni habari nyingine mkuu,vituo kadhaa vya polisi hapa Dar es salaam vinanifahamu na wanaelewa kabisa hustle zangu!

Nimepambana sana kulipigania Taifa kuhusu wezi wa Rasilimali,kama ni kufa wangekuwa wameniua zamani lakini pia wanaangalia na watu wa kuwaua!

Mimi ni habari nyingine!

Wewe shukuru leo hapa JF Umughaka anakuandikia Simulizi alizopitia unasoma,Usije kudhani mimi na wewe ni sawa!

Ok,tunaweza kuwa sawa kama wanadamu lakini Uthubutu na roho ya Ujasiri nimekuacha zaidi ya Km 100,000
 

Mkuu hivi umeandika ukiwa na akili timamu au unatania?

Hao vijana waliotunga sheria mbovu ni kina nani?,Sheria mbovu zinatungwa na bunge ambalo majority ya wabunge ni kutoka ccm ambako wewe na wanawake wenzio kila siku mna-praise kuwa inaupiga mwingi!

Matokeo ya sheria mbovu leo ni chanzo cha ccm mbovu inayoongozwa na mwanamke!
 
Ni shida, tatizo la afya ya akili ni janga kubwa ktk Nchi yetu.
 


Mkosoe mwenye akili atakuelewa ukimkosoa mjinga atakuwa adui yako!
 
Wewe kwenu kama wazazi walizaliwa na kukulia kwenye umasikini ina maana na wewe ni lazima uwe masikini? Wewe huwezi kuvunja hiyo cycle ya umasikini kwenye familia yenu?

Safi sana!
 
Na wewe ulikuwa miongoni mwa wakimbiza gari la msanii au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…