Hili Taifa Vijana wangetumia ⅓ ya Akili zao leo hii tungekuwa Taifa kubwa kiuchumi zaidi ya Taifa la Marekani!

Hata wazee pia walikuwa vijana. Ni kitu gani wamekifanya hao wazee ili wakumbukwe?
 
Na wewe ulikuwa miongoni mwa wakimbiza gari la msanii au
Ndio kwanza nimejua kupitia huu uzi kama kuna watu walikimbiza gari la harmonize ila nachukizwa sana na lawama zinazorushwa kwa vijana wakati ukiangalia wao wamekutana na matokeo ambayo hao wazee/wababa walishindwa kuzuia chanzo chake. Hii nchi hakuna kizazi cha kulaumu kizazi kingine, kila generation kuna sehemu imefeli.
 
If we abuse our time, it's us, not you, so you have to learn to respect limits.
 
Wewe mpumbavu umeelewa hata nilichoandika? Tunaongelea vijana halafu unaleta ishu za wabunge na blahblah zingine. Usiwe kama mgese.
 
Amejichora zake baadaye anapata hela anapelekea familia yake ikale.


Wewe umeshikilia mabango ukamtukane Rais unavunjwa miguu
Familia yako inapata hasara.

Kama kijana ,utachagua mwenyewe;
Ukavunjwe miguu au ukamkimbize kondeboy.

Hao wazee wanaosifiwa ndio machawa pro max na vijana wamejifunza uchawa kwao.
 
Wewe mpumbavu umeelewa hata nilichoandika? Tunaongelea vijana halafu unaleta ishu za wabunge na blahblah zingine. Usiwe kama mgese.


Hivi uko timamu kweli?

Any way

Njoo nikuonyeshe namna navyobeba Tofali (Blocks) kwa kutumia Mkuyenge!
 


Mwanamke wa Kikurya amekuacha mbali sana kiakili,kifiziki na hata kimentaliti!
 


Mzee wako kama alikuwa shoga na wewe utakuwa shoga?
 
Jamaa wanaboa, kutwa vijana vijana vijana utafikiri wao enzi zao za ujana waliacha legacy ya maana.
Yan wanajionaje sijui 😂
Wakati hakuna cha maana walicholiachia taifa dadeq, sio mali au pride as nation,

Na ndo hawa hawa walikuwa wazee wa ndio mzee,

Btw kuna kijana kaja kukuomba buku ?
 
Hili taifa Vijana wangejitambua wakasimamia Rasilimali Tulizonazo ingewezekana kabisa mkuu!
Hizo rasilimali zimekuja leo ?
Niny vijana wa zamani mlikuwa wapi kulinda migodi ya dhahabu ?
Mmeharibu nch wenyewe leo mnatupa mzigo vijana
 
Peleka ujinga...!! Haya wewe sio sehemu ya wajinga umeifanyia nini Nchi hii?.

Go ask u'r mother,she knows everything I have done in this nation!
 
Hizo rasilimali zimekuja leo ?
Niny vijana wa zamani mlikuwa wapi kulinda migodi ya dhahabu ?
Mmeharibu nch wenyewe leo mnatupa mzigo vijana

Baba yako akiwa shoga na wewe utakuwa shoga pamoja na watoto wako?
 
Vijana hawa waliotekwa na Hayawani wa chama kile kizee chenye ahadi chakavu?

Vijana wanaoamini kuwa bila kuwa na kadi ya chama hicho hata u mgambo hupati?
Vijana hawahawa ambao kwenye form za kuomba mkopo wa elimu ya juu wanaambatanisha nakala za kadi za chama kile ilihali siyo miongoni mwa viambatanisho?
 
Tupitie habari kidogo aisee, siunajua marekani kwasasa ni nchi ya ulimwengu wa tatu au bado tunakariri yazamani. Nchi imeporomoka vibaya sana na inamadeni vibaya mno.
Ni nchi gani duniani unayoijua wewe ambayo ina uwezo wa kumuwekea vikwazo Marekani?
- Urusi ameshawekewa vikwazo
Iran ameshawekewa vikwazo
  • China ameshawekewa vikwazo, tena aliambiwa usithubutu kuigusa Taiwan. Akatulia
  • North Korea ameshawekea vikwazo
*Urusi alipovamia Ukraine Marekani alienda Ukraine, Vita ilithitishwa. Akatoa msaada wa silaha
*Israel anaichapa Gaza, Marekani kapeleka meli, wanajeshi na ndege. Hakuna nchi yoyote iliyotia pua Gaza au Israel. Iran, Uturuki, Misri, Saudia Arabia na wengine wanaongelea chini ya kitanda
Nchi inayotoa misaada kuliko nchi yoyote duniani ni Marekani. Urusi, Iran, Uturuki, Saudia Arabia na China hawatoi misaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…