Kwa kishua huko ππndio maana nasema ukiwa pro max ongezea na tramadol, usipo lala njoo tupigane golden fork keshoππ
Amen π mkuuna ukifanikiwa au vinginevyo sifa na utukufu viwe ni kwa Mungu π
Kwa mlo ninao kula kwa Sasa ni lazima nilale, hapa napiga tikiti maji, parachichi, ndizi, karanga mbichi na karanga zilizo chemshwa.Kwa kishua huko ππ
Pa kupigania sharti kuwe na benchi na mama muuza kavaa dera..
Ila seriously, kama una shida ya usingizi na ukashika simu ndio hautolala...
Kama una kitu kinachoupa moyo na akili uzito. Bila kudeal nacho, utafika asubuhi bilabila
Kwa hiyo lazma ujue source ya tatizo halafu upambane nalo
Mimi simu ikiwa haina bando hapa ningekuwa nishasinzia kitamboKwa kishua huko ππ
Pa kupigania sharti kuwe na benchi na mama muuza kavaa dera..
Ila seriously, kama una shida ya usingizi na ukashika simu ndio hautolala...
Kama una kitu kinachoupa moyo na akili uzito. Bila kudeal nacho, utafika asubuhi bilabila
Kwa hiyo lazma ujue source ya tatizo halafu upambane nalo
relax and calm down gentleman,gentleman whacker
ππππnipo kuhakikisha tabia za malaya, kiufupi umekwarifai, tafuta mpenzi, acha mawazo, na ukiweza, Jitoe kwenye mawazo ya utoto. Utalala , ila kila siku unawaza wepesi, mara unaitwa, unamyita rafiki yako, ulipoitwa, unatongozwa, unakataa lakini bado unaliweka lile hata ukikutana na mtu bado unamuwazia wakati ulishampa majibu. Yaani thinking past on your present na molding your future with your past.over my dead body, hutolala mapema either utakua mraibu wa porno au maskini milele. Kiufupi hata story flani za kusadikika achana nazo. Hizo ndizo zitakufanya ukeshe.Umefika hadi hukuππ
Mimi na maduka wapi na wapi, mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro maxUna duka la dawa chief mbona unaongelea sana pharmacology
Kwa mlo ninao kula kwa Sasa ni lazima nilale, hapa napiga tikiti maji, parachichi, ndizi, karanga mbichi na karanga zilizo chemshwa.
baada ya hapo namalizia kusoma kitabu kidogo, ratiba nyingine iendelee.
Mwenye hela anadai Hana hela asiye na hela anajifanya anazo,Mimi na maduka wapi na wapi, mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max
HeheheheheheheheheheheheheheheheHili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?
Bhasi ni rahisi, weka simu pembeni na ujitahidi kwa muda flani kuizuia ile kiu ya kutaka kuitumia. Najua sio rahisi kama upo addicted Ila kama ukiweza hata kwa wiki kadhaa tu utaanza kujenga mazoeaMimi simu ikiwa haina bando hapa ningekuwa nishasinzia kitambo
Tangu nimeingia 2025 Yan sipendi muzki mkubwa na ninapenda live music sipendi mabishanoUkiniuliza sababu specific za kukesha sina Ila napenda tu huu utulivu na Peacefulness ya usiku...
Nina kitabia Cha kwenda Barabarani usiku, pame tulia nikiwa na wi-fi router ni ku stream na kupungwa upepo mzuri.Ukiniuliza sababu specific za kukesha sina Ila napenda tu huu utulivu na Peacefulness ya usiku...
Mbona hadi citizen zipo tuNime mrahishia kwenye matamshi ili isi msumbue, najua sana ni cetirizene
huu mfano ni irrelevant hapa, nani ana hizo hela Sasa?.Mwenye hela anadai Hana hela asiye na hela anajifanya anazo,
Ni shift imetokea kawaida au kuna influences mkuuTangu nimeingia 2025 Yan sipendi muzki mkubwa na ninapenda live music sipendi mabishano
Moja kati dalili za awali za depressionHili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?
Nazijua Sana, zile za kaganda Kama ka gold?Mbona hadi citizen zipo tu
Hapo fresh Ila mimi hata nikiwa kitandani tu. Kukosekana kwa movements ya vitu lakini pia kuwa na ule muda wa kukaa peke yako. Kwangu huwa ni nzuriNina kitabia Cha kwenda Barabarani usiku, pame tulia nikiwa na wi-fi router ni ku stream na kupungwa upepo mzuri.
yaani hapo niki fikiria chap, utulivu huo
Life situation pia, shilingi imelalaNi shift imetokea kawaida au kuna influences mkuu