Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
🤣🤣Kuzaliwa 1968 na kuanza darasa la kwanza 1979.
Kidume kilianza darasa la kwanza kikiwa kishaota mavuz.i naona...
Angalia mpangilio wake utagundua hakuna kitu, kazi za vimemo 🤣🤣🤣...aibu ije uzeeni wajukuu wamtanieSasa mavyeo yote haya inakuwaje amkimbie Tundu Lissu?
Kuna elimu ya KIJESHI na KIRAIAUshanichanganya, elimu imeenda mbele imeanza kurudi nyuma...miaka imeenda mbele imerudi nyuma mara ipo katikati 😄😄😄...Bado ufafanuzi wa elimu haujanyooka
Ndicho ambacho mimi nawaeleza hawa huko kuna mfumo wa shule zake huyo kapiga sana ma kozi ya mizinga saaana sasa hadi kufikia hatua ya kuanza Officer's Basic Gunnery Course hadi Regimental Officer's Gunnery Course siyo mchezo bado uende Command and staff college bado Kuna National Defense College watu wanawaza PhD za uraiani pekee japo watu kweli wanazitandika mfano Major Gen. W Ibuge hao kwao shule ni jambo la kufikia tu.Hao Wana mfumo wao wa elimu,huko siyo kwa kwenda udsm,saut,mzumbe kupata vyeti vya masters PhD
Hapo 1992-2014 itakua kapiga sana shule ya jeshi,jeshini huhitaji masters ya artillery na fighter jets
Duh! Aiseeh. CDF anamaswali ya kujibu.Kilikuwa kimekodi flow 2 tu pale jengo la Ttcl Arusha Clock tower
Niliwahi kwenda kumsabahi baba yangu mdogo nikabaki nimeduwaa
Chuo kilikuwa na wazee ndo wateja wakuu nadhani walikuwa wanatakatisha elimu😂
Angalia shule ya kiraia miaka aliyosoma namna ilivyokaaKuna elimu ya KIJESHI na KIRAIA
Kweli kabisaMauaji ya Oct 29 yanaenda kufukua makaburi yaliyosahaulika..
Sasa kama ni hivyo alifata Nini Mount Meru University?Ndicho ambacho mimi nawaeleza hawa huko kuna mfumo wa shule zake huyo kapiga sana ma kozi ya mizinga saaana sasa hadi kufikia hatua ya kuanza Officer's Basic Gunnery Course hadi Regimental Officer's Gunnery Course siyo mchezo bado uende Command and staff college bado Kuna National Defense College watu wanawaza PhD za uraiani pekee japo watu kweli wanazitandika mfano Major Gen. W Ibuge hao kwao shule ni jambo la kufikia tu.
Mzee wa kazi unajua kuna mitihani kabla hujaingia CSC ambayo wewe unadharau unasema vi elimu gani?Iko hivi hata uwe na Degree ya Elimu unaweza kuwa Luten vizuri tu hivyo vikozi vyao vya kijeshi ni vya kawaida tu sasa mtu kasoma Mzinga Bangladesh Miezi 6 ni elimu ya maana sasa hiyo!? Kiufupi ni vikozi maalumu tu kwa utendaji wa kazi zao na sio hivyo ndio vibakupa Cheo!! Angalau hii BMS ya sasa ndio inamaana ila sijui ike ila Kunduchi NDC sijui hizo za Mizinga mara ukamanda na unadhimu ni sababu ya utendaji wako tu na uzuri karibia maafisa wote wanasoma hivyo vikozi
Sahihi MkuuKwa kawaida ukisha panda kuwa COS, hunda muda mrefu.
🙏🙏Sawa mkuu
😂😂😂😂😂Kuzaliwa 1968 na kuanza darasa la kwanza 1979.
Kidume kilianza darasa la kwanza kikiwa kishaota mavuz.i naona...
Vyovyote vile lazima kobaz mwenzetu awe CDF, tumejipangaNONE TO BE WORSHIPPED EXCEPT JESUS CHRIST AND PAUL IS HIS MESSENGER.
Malaria 2 Ertugrul Bey Ritz mdogoee Tanganian Kraang Makebo adriz de mbusii
Nini kilimpeleka Mount Meru University?Hao Wana mfumo wao wa elimu,huko siyo kwa kwenda udsm,saut,mzumbe kupata vyeti vya masters PhD
Hapo 1992-2014 itakua kapiga sana shule ya jeshi,jeshini huhitaji masters ya artillery na fighter jets
Zilizo baki ni mihemko na propaganda ila Taifa lipo salama na majeshi yetu yapo salama sana.
Ipo hivi hiyo ni kawaida sana na si tu Tanzania naweza nikakupa mifano mingi sana ya ma General wa nchi tofauti ambao walipitia huko majeshi yana taratibu zake sana hata huko Uingereza, Marekani, na kwingine ambako tunaamini wapo mbali kielimu mbona General's wao wengi unakuta sanaa ni Masters kwa elimu ya kiraia na ambazo kazisoma baada ya muda mwingi wa utumishi jeshini?Sasa kama ni hivyo alifata Nini Mount Meru University?
Hujazuiwa kuiongeza wewe unayeijuwa.Mbona hii Sifa yake Kuu ya kwamba ni Komandoo na hata Makomandoo wa Tanzania wanamkubali sana haujaiweka?