Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Kwa kweriiiii posho Ina mtosha mtu pekee maanaKuna Jama aliniambia kama Take home yako ina koma moja tu hiyo sio salary ni Posho uache kunywa bia wala kuhonga kabisa ikiwezekana hata Ndugu wafungie Vioo kabisa
Haaahaa 😂 🤣 🤣Elimu mbalimbali zinazoungana na kutengeneza degree na baadae zinatumika kama elimu. Shida ya hizi elimu ni kuwa, zikipata "heat and pressure" huwa zina tabia ya kukimbia kila elimu kivyake
Sawa mkuuSina uhakika kuhusu hilo, nitafatilia
Ili kumpa mtu maarifa mengi nakua na uwezo mkubwa wa kiakili ni muhimu wakuu wa majeshi atleast awe na masters degree walau pamoja na izo courses za hapa na pale..Nakwambia Wana mfumo wao wa elimu tena unakustress vibaya mno,hao wanaokuja kusoma uraiani huwa ni cases chache sana,tulikua nae mmoja,na huenda huambiwa waje kusoma vyuo uraiani
Tukianza kutajiana izo special school wengi humu ndani wamepitia Mimi sikuwai kuyapenda Yale maisha ya uboyzinHao Wana mfumo wao wa elimu,huko siyo kwa kwenda udsm,saut,mzumbe kupata vyeti vya masters PhD
Hapo 1992-2014 itakua kapiga sana shule ya jeshi,jeshini huhitaji mas
Huyo alifaulu form four ndiyo maana akaenda ndanda,ndanda ya serikali na kipindi hicho sekondari chache
Kumbe amebakiza miaka 2 astaafu kazi
Tunamkaribisha sana mtaani
Wastaafu wenzake, tumekutana na kikokotoo cha 33%, mwambie ajiandae nacho pia
Mwenye cv ya Boss wake atusaidie pia...nione kama ndege wafananao uruka pamoja, maana Vice President tena kijana kabisa imejaa upupu tu.Amesomea nchi za ajabu ajabu
Tena chuo chenyewe ulikuwa ukipita ndani salamu ni shikamooDegree kasoma 2014- 2017
Yaani tuseme kamaliza na watoto waliozaliwa kati ya mwaka 1994 na 1995
Zilizo baki ni mihemko na propaganda ila Taifa lipo salama na majeshi yetu yapo salama sana.Umekariri unapoenda hapo kwa Mangi basi kila mtu ndio yupo au anaenda ?
Na unaweza kunitajia kipimo cha amani ni kipi ?
Kuzaliwa 1968 na kuanza darasa la kwanza 1979.Kumaliza sekondari 1992 kujiunga chuo kikuu 2014
Lakini huyu mtu tukubali,hana intellectual ability to present a point mbele ya wasomi.Hao Wana mfumo wao wa elimu,huko siyo kwa kwenda udsm,saut,mzumbe kupata vyeti vya masters PhD
Hapo 1992-2014 itakua kapiga sana shule ya jeshi,jeshini huhitaji mas
Huyo alifaulu form four ndiyo maana akaenda ndanda,ndanda ya serikali na kipindi hicho sekondari chache
Yalkuwa ya MtumbaTena chuo chenyewe ulikuwa ukipita ndani salamu ni shikamoo
Magu akakipga chini kilikuwa kimekaa kimemkwa flan wazee na makoti yao ya suli yamepaukaa
Una uhakika lakini kuna vitu tofautisha hapo kuna military course na civilian course ambazo zinaweza kukufanya kupanda vyeo inategemea zaidi na misingi na taratibu za jeshi husika mfano mdogo naweza kukuuliza swali naomba nitajie CDF wa nchi yetu aliyekuwa na elimu ya kiraia kiwango cha PhD?CV yake sidhani kama inatosheleza kuwa Mkuu wa Majeshi, yawezekana ndo mkuu wa majeshi mwenye CV mbovu toka uhuru
Sasa Ile tashwishwi Alivyo kuwa nayo ya kutoa ushahidi itaongezeka au itapunguaNdo maana huwa nasema huyo jamaa ni kilaza.
Yaani kuanzia mwaka 1992 mpaka 2014 hakuwa na shahada ya chuo kikuu?
Kumbe kasoma elimu ya watu wazima ya chuo kikuu…..
Ningependa kuona transcripts zake kutoka hicho chuo alichosomea.
Yawezekana hicho chuo ni diploma mill.
Lakini naimani una ufahamu mzuri tu angle hiyo kwani wa nyuma yake tu nae si military course tupu kimsingi kwa upande huo wengi mno huwa wanajikita sana huko miaka ya sasa ndiyo naona wengi walau wanadeal sasa na civilian course.Mwamba na elimu za Kijeshi tuu...duuuh
Yeah... Mtu kamaliza sekondari 1992 afu kuja kuanza digrii 2014 ni wazi kaenda chuo akiwa kashakuwa mkubwa na mabulungutu yake ya manoti mfukoni. Kwa mfumo wa elimu yetu hii... ukiwa na mahela yako, chuo unajiokotea digrii kirahisi tu..Lakini huyu mtu tukubali hana intellectual ability to present a point mbele ya wasomi.
Yeah... Mtu kamaliza sekondari 1992 afu kuja kuanza digrii 2014 ni wazi kaenda chuo akiwa kashakuwa mkubwa na mabulungutu yake ya manoti mfukoni. Kwa mfumo wa elimu yetu hii... ukiwa na mahela yako, chuo unajiokotea digrii kirahisi tu..
Fuatilia wanasiasa wanavyojiokotea Ma-PhD wakati muda wote wako maofisini na kwenye mabaa....