PostGE2025 Hit the Jugular: Je, waandamanaji waliipata wapi hii mbinu ya kijeshi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna tatizo kwa idara ya usalama taifa,muajiri vijana wenye weledi,haiwezekani uharibufu mkubwa wa mali na maisha ya watu yatokee bila kuwa na habari au taarifa ya kiintelenjisia. Zuieni tatizo kabla ya kutokea sio kupambana na tatizo liloshatokea
Kwa kweli, kwa tukio kubwa lenye intensity kama ile ilikuwaje usalama wa taifa wakashindwa kulitabiri? Kwa sisi observers wa comments mtandaoni tayar probability ya kukinukisha ilikuwa above 65%
 
Unaona uchungu wa miundombinu na sio uhai watu
Ukikosa akili ni mzigo mzito sana Kwa taifa
Yaani uharibu miundombinu na mali za watu uangaliwe tu kisa uhai wako una thamani kuliko miundombinu,so tuwe tunajenga kila siku mkijisikia kuharibu miundombinu!?..nyi akina nani?.. wacenge kweli!
 
KWa hiyo maelfu waliondamana ni wakenya sio

Yaani ccm kuanzia top huko ni mnachangamoto kubwa ya akili
Changamoto ya akili unayo wewe usiyeweza kuchanganua sentensi ya lugha yako mama.. miongoni mwa waandamanaji ni raia wa nje, unajua maana ya miongoni?..unajua tofauti ya sentensi hiyo na 'waandamanaji wote siyo watanzania'?..
 
Maandamano hayawi vile
 
Umeongea hoja yenye facts nyingi. Kwa constant analysis hata humu kuna members wengi walipandisha nyuzi za tahadhari, ila dola wakafunga macho.

Dola walitumia jicho la kihistoria ku conclude kwamba: kwakuwa watanganyika hawajahi kuandamana kwa ukubwa kwa miaka 60 basi hawawezi kuandamana hata sasa; ndo sababu ya wao kujisahau, pragmatism ilikosekana.
 
Wewe ni mpuuzi mkubwa. Mbwa wewe. Hapo unapewa viposho uchwara huku wenzio kina Abdul wanaingiza mabilioni.
Ndiyo akili zenu,mnajazana chuki tu,kuchukia wenye nacho hakukusaidii zaidi ya kukupa msongo wa mawazo na vidonda vya tumbo
 
Upo sahihi mkuu, pragmatic analysis ilokosekana.
 
Nchi ianguke mara ngapi?
 
Gen Z sio wajinga kama viongozi wa mchongo waliopo serikalini ni wasted brains in the streets.
 
Yaani uharibu miundombinu na mali za watu uangaliwe tu kisa uhai wako una thamani kuliko miundombinu,so tuwe tunajenga kila siku mkijisikia kuharibu miundombinu!?..nyi akina nani?.. wacenge kweli!
Uchawa na akili haviendani
Mnajenga nyie akinani
Nchi inajengwa Kwa pesa za wananchi sio huu huo ujinga wa kusema mama kajenga

Narudia ni mwendawazimu PEKEE anaweza kuona miundombinu Ina thamani kuliko uhai wa watu

Basi ikapata ajali Kwa watu wenye akili wanaokolewa kwanza raia ndipo mengine yaendelee

Lakini ulivyo mpuuzi unaangalia miundombinu

HIyo miundombinu unamjengea nani kama sio watu

Au damu za watu zimeanza kuwafanya wendawazimu
 
Changamoto ya akili unayo wewe usiyeweza kuchanganua sentensi ya lugha yako mama.. miongoni mwa waandamanaji ni raia wa nje, unajua maana ya miongoni?..unajua tofauti ya sentensi hiyo na 'waandamanaji wote siyo watanzania'?..
Changamoto ya akili ndo namba Moja uliyonayo maana huwezi kushabikia mauji ya wanachi wenzako ukiwa timamu kichwani
Changamoto ya pili ni hiyo ya uwongo na kukanusha baada ya kumbuka, ulisikiliza hutuba ya mama yako vizuri akikana watanzania hawahusiki na maandamano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…