gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Unajua maana ya uasiWaasi ambao hawana bunduki Wala Risasi
Au Hizi damu za watu zimeanza kuwafanya wehu
Kula vyakula vyenye Omega 3 na vitamini A ubongo wako ufanye kazi vizuri japo ushabalegheChangamoto ya akili ndo namba Moja uliyonayo maana huwezi kushabikia mauji ya wanachi wenzako ukiwa timamu kichwani
Changamoto ya pili ni hiyo ya uwongo na kukanusha baada ya kumbuka, ulisikiliza hutuba ya mama yako vizuri akikana watanzania hawahusiki na maandamano?
Au siyo,siyo nyinyi mliohamasishana kabla kuchoma mali na miundombinu mitandaoniUlitaka yaweje wewe chawa
Mapolisi wangetekeleza wajibu wa kulinda raia na mali zao badala ya kuwashambulia yasingetokea hayo
Mali zilizopatikana kiharamu au Kwa kuwaibia watanzaniaAu siyo,siyo nyinyi mliohamasishana kabla kuchoma mali na miundombinu mitandaoni
Hata kichaa huamini yeye ndo Yuko sahihi na huwezi kubadilisha labda apone ukichaa wakeKula vyakula vyenye Omega 3 na vitamini A ubongo wako ufanye kazi vizuri japo ushabaleghe
Watawala waovu Kila saa huhisi kupinduliwa au uasiUnajua maana ya uasi
Ujinga huo Samuya hawezi kuurudia!Kwa andiko hili Utasababisha deployment ya vikosi vya kigaidi vingi kutoka nje huku vikipewa leseni ya kuwamaliza watanganyika
Ni sisi wenyewe, ninyi mnapumbazwa na Samia na CCM yake kuwa ni maagizo ya nje, eti wivu wa miundombinu, hiyo miundombinu yenu ni ya ovyo sana. Wala haipo kwenye standard, tembea nchi zingine uone miundombinu, siyo hiyo yenu. Ina maana watanzania hatuwezi kufikiri, kuona Samia anaiba kura? Mmedanganywa sana na propaganda za CCM. Kimsingi wananchi tumeshaichoka CCM na sisi tuna akili za kufikiri, nani asiyechukizwa na utekaji, ubakaji, ufiraji, utesaji, mauaji, ufichaji na maziko ya kimbari ya wananchi wasio na hatia, unadhani hatuoni, subiri mama yako akamatwe abakwe ndiyo utajua hao siyo wenzio. Abdul hana huruma na watanganyika, mama yake vile vile, wote wapumbavu wasio na akili kama polisi wao (Form III &IV failures)Yalikua mapinduzi na probably yaliongozwa na raia wa nje wanaoionea wivu miundombinu ya tz,shaba zilizotembea ni halali
Sisi twauita UJINGA na uhaini yeye anasema ni kitendo Cha kulinda amani.Ujinga huo Samuya hawezi kuurudia!
Kila mali imepatikana kiharam au mmeibiwa watz!!..tumieni akiliMali zilizopatikana kiharamu au Kwa kuwaibia watanzania
Mali haramu na za kifisadi mwisho wake ni mbaya tuKila mali imepatikana kiharam au mmeibiwa watz!!..tumieni akili
Hata mimi naamini kama wewe kwamba wale walioitwa kukaa mezani kabla ya uchaguzi kujadiri masuala muhimu na badala yake wakaamua kuziba masikio pia walioshauriwa na watu wa nje na ndo maana wameipindua katiba.Yalikua mapinduzi na probably yaliongozwa na raia wa nje wanaoionea wivu miundombinu ya tz,shaba zilizotembea ni halali
Kwa hivyo unathibitisha walikuwa ilikuwa ni haki Yao, mkiamdamana TENA mtakufa kama nzige... Na mtafanga tarehe nyengine April 26Jugular ni kaeneo kwenye shingo kwenye koromeo. Ukipigana na mtu akakutusua vizuri hiyo sehemu, lazima usalimu amri, kama sio, urudi kwa Mungu baba.
Falsafa ya kupiga Jugular huwa inatumiwa pia vitani, kwa kushambulia maeneo muhimu kama: uwanja wa ndege, depot za mafuta, madaraja ya viunganishi, bandari, na vituo vya mawasiliano ambavyo ni proganda machines za dola.
Mara nyingi Jugular ikishapigwa vizuri, uwezekano wa nchi kushindwa vita unakuwa ni mkubwa.
Kilichotokea MO29 nakifananisha kwa mbali ni hii approach ya hit the jugular. Baada ya masaa machache ya maandamano, waandamanaji walishaingia uwanja wa ndege wa JKNIA (ni suala la kushukuru hakukuwa na akili butu ya kuchoma uwanja au ndege, vituo vya mafuta vilikuwa under attack, jengo la mamlaka ya mawasiliano (napo ni kuombea kwamba hakukuwa na akili butu ya kuchoma).
Hichi ndo kitu nafikiri kiliwaogopesha dola kwamba hapa, hali ikiendelea hivi kwa masaa 72 zaidi, nchi ingeanguka.
Bado najiuliza kuna mengi sana ya kuandika na kuchambua kuhusu MO29.
Wenu,
MC
Na kuteka watu sio ukichaa??Kuchoma miundombinu na mali za watu ni ukichaa tosha
Yeah mimi kazi yangu itakua kukusaka weweNasikia Tarehe 9 December waandamanaji wanaelekea kwenye maeneo muhimu zaidi.
ππππYeah mimi kazi yangu itakua kukusaka wewe
ππ tusalimianeππππ
Halafu?