Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

Kaka nafikiri tunaweza tukawa na mengi ya kuzungumza,πŸ˜‚
 
Inaonekana una uchungu sana kaka! Pole sana Mtumishi.
Msamehe mkeo ili mpate kupona wote, punguza hasira.
Ujue mimi najionaga niko fine nimesamehe na ninaendelea na maisha yangu (na ofcourse naendelea vizuri kuliko before niwe mkweli) ila kuna mtu mmoja nilishawahi kuzungumza nae, alinitengenezea mazingira verry friendly ile kuongea bila kuficha. Baada ya mazungumzo ya siku kadhaa akanambia "wewe umemchukia sana huyu ex wako na inawezekana chuki imekua deep kiasi kwamba unashindwa kujua. Na chuki yako ni mbaya maana sio rahis mtu kujua maana unapopata fursa unaongea nae vizuri na masuala ya watoto una deal nayo perfectly kutimiza wajibu, na anapokuomba msaada kuhsu kuwaweka watoto unafanya bila shida, ila umemchukia sana, ndio kitu nimekigundua kwako".
Ni mwanamke huyu aliyeniambia haya maneno.

I DONT KNOW KWAKWEL. ILA MIMI NAJIONA NIKO FINE TU πŸ˜‚
 
Kila kitu kitakaa sawa, omba sana kaka adui/mtesi yoyote yule sio poa kabisa na hana huruma. Anaweza hata kuua usipokuwa makini.
Tafakari:
"Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu;" Yohana 10:10
 
Kwamba usiwashusha watoto karibu na kwao na wakt umesema kwao hupajui!!!
kwenye 60% ya ex- wife lbda tuandike watoto nao watapewa baada ya kukua 18
Kamwe siwezi kugawana mali kifala ivo na nimetafuta kwa jasho langu labd km ni zake
Mwisho, Pole sana kosea kujenga nyumba kuliko kuoa
 
Yah, niliwaliza wapi niwashushe karibu na nyumban, wakanielekeza kwakua nilikua nao
 
Amesema Mungu hakupanga waingie kwenye hiyo ndoa
 
Wewe upo sawa achana na watu wanajiona wanakujua kuliko unavyojijua wewe
 
Kuingia mahusiano mengine sio suluhisho.
Muda hauponyi majeraha ya nafsi, labda kidonda.
Muhimu ni kuomba toba, rehema na msamaha kwa MUNGU, then kutamka msamaha kwa mke wake kwa kutumia maombi.
 
wueeh was "kutawanywa" necessary mkuu πŸ˜€πŸ˜€
 
Umesema kweli sielewi kwanini ampe gari?

Lipo kwenye orodha ya mgao?

Halafu eti anadandia daladala!

Hapo unakuwa umemkabidhi bucha fisj yaani sielewi ana motive gani kuhusu hili ,

Mtoa mada bado hupindui kwa huyo mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…