Atakuwa anatumia muda wake na wanawake, tena unaweza kukuta bora ya huyu wa ss kuliko huyo mwingine…!!Kabisa na hii wanaume wengi hawai elewi laiti kama wangejua hilo wasinge hangaika kuvunja ndoa !¡!!! na baada ya muda unavuta shetani mpya kwa jina la new angel lakini baada ya muda vilio vinarudi palepale
Huyo atakuwa mchepuko wa mleta uzi mana kakomalia amuache mke wake 😹😹😹Mimi usifananishe na ndoa ya mtoa mada...
Halafu mivurugano na kesi za ndoa zinatofautiana ujue???!!!!humu tukisema tufunguke mtabaki kusema oooh! Na bado upo tu hujaachika???
Kwani mleta mada kapHuyo atakuwa mchepuko wa mleta uzi mana kakomalia amuache mke wake 😹😹😹
Yani yeye kaumia km ndo mkereketwa au muhanga wa hiyo ndoa 🤣
Inashangaza sana . Mtoa mada yeye kaleta mrejesho kwamba mkewe kaomba talaka na amekubali sasa mimi nitaingilia maamuzi ya watu?Atakuwa anatumia muda wake na wanawake, tena unaweza kukuta bora ya huyu wa ss kuliko huyo mwingine…!!
We muache akajionee uzuri sisi tupo hapa kupokea mirejesho..!!
Sijawahi kuoa wala kuishi na mwanamke kama mke na sina mpango huo! Ila wanawake nawajua vema sanaUsipende kusikiliza upande mmoja wa story, acheni watu wajenge familia zao..!!
Wewe nawe umejeruhiwa mana una kisirani 😹😹
Kumbe huna experience na ndoa sasa huoni hata ushauri wako hauna vigezo? 🤔😹Sijawahi kuoa wala kuishi na mwanamke kama mke na sina mpango huo! Ila wanawake nawajua vema sana
😀😀😀Wanawake nawajua vizuri Sana mkuuKumbe huna experience na ndoa sasa huoni hata ushauri wako hauna vigezo? 🤔😹
Yes,kwa madai yake hakuhitaji tu kuwa na watoto wa baba tofauti.What? yaani waliachana wakiwa tayari na mabinti watatu, then wakarudiana ili tu apate mtoto wa kiume, wakazaa mtoto wa kume? halafu wakaachana tena?
my Wii mm siishi ushuani naishi mtaani ni a experience na hivo vitu kuliko unavoniona na naandika na umri wangu huuWifi hata ndoa huna unashauri watu waachane, uje kwa bro akupige matukio kwanza halafu uje useme km hivi 😹😹😹
Wewe unajua baba yako kavumilia mangapi kwa mama yako ili ukue ukiwaona wote wako pamoja??
Yaani wewe ni mdhaifu sana
You are too nice for this Motherfucker broken X wifeMbona sijaona udhaifu hapo tofauti na ustaarabu tu. Sasa was i supposed kua mshari shari mkuu??
Ujue kuna suala hili..
For the sake of me meeting my kids, mama yao ameshika makali, na aki report any aort of abuse inakula kwangu. Ndio maana hata kuwaona watoto, nilitaka ajulishwe nisije na nilifanya hivyo kwa makusudi ambayo yeye hakujua. Ila nilikua natengeneza defence yenye ushahid kwangu incase atapata idea ya kutumia mwanya huu ku twist mambo jui ya mimi kuwaona watoto..
Wife material 😹😹my Wii mm siishi ushuani naishi mtaani ni a experience na hivo vitu kuliko unavoniona na naandika na umri wangu huu
Nikichoka nitaonfea na mwenzangu tubunje hiyo ndoa bila kelele Wala vurugu Wala kuharibiana kiuvlchumi Wala kihisia tutalea watoto
Kuingia kwenye ndoa na hekima havihusiani unaweza kuolewa na usiwe na akili ya kutunza ndoa sijasema Niko sawa lakin alhamdulillah nimejifunza mengi sana kwenye haya maisha
😹😹😹 Yeye hatokusaliti? Au na yeye akikusaliti utamuacha?Soon tu my Wii ndoa ninayo mama na uzuri wa mumewangu mtarajiwa kashasema kabisa makosa yote anasamehe ila sio usaliti hat km tutakuwa na watoto 12
So discipline muhimu nkichoka nasepa sio kumpa aibu mtu na fedheha kias hiko
Huyo mtu aliyekupa namba ,Kuna codes hujazifungua vizuri mkuu,kama unaweza mwita mahali ,then atakueleza Kila kitu kuhusu ni nani aliyechukua file,ni wazi kuwa ex wife alienda kuvuruga mchakato wa talaka usiendelee,kwa kifupi anajifanya mtoto wa mjini.kwa lugha nyepesi hapo utazungushwa mpaka akili zikukae sawa,yaani utapoteza sana muda wako.Huyo anataka tuu ki vyepesi vyepesi umwambie kuwa mrudiane.
😃😃😃Mapenz huisha wifi lakini yakiisha kilamtu ale Kona yake aisee sio mambo ya kutafutiana visukari na presha mm mweupe sana ukichoka baba piga filimbi mpira uwekwe kati😹😹😹 Yeye hatokusaliti? Au na yeye akikusaliti utamuacha?
Tatizo kubwa lilikuwa nini alikueleza huyo bi dada? mpaka kumfanyia hivyo mumewe?Yes,kwa madai yake hakuhitaji tu kuwa na watoto wa baba tofauti.
Huwajui oa kwanza ndio utuambie tukusikie.. 😹😀😀😀Wanawake nawajua vizuri Sana mkuu