Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

Hongera, Kila la heri na ukawe mke mwema
 
Na huyo mtoto mzuri naye akizingua? Halafu atakua na familia ngapi?
Wewe unampoteza mwenzio, anaweza kuruka majivu akakanyaga moto..!!

Unafikiri huyo mkewe mwanzo hakuwa mtoto mzuri??
Mpaka anadai talaka unadhani hakukua na mtu anaemkoleza?

Ukimrudia mwanamke anaechepuka ndoani kuna siku atarudia tu tabia yake.
 
Yah uko sahihi mkuu. Na ndio maana hata dat day anafanya yoote hayo, my mind was playing zile shit na matukio alionipiga. I really was feeling cold hearted
 
nakuona tena unarudiana nae? ok ulisema ulienda na gari la mshikaji wako je ungeenda na gari yenu ya siku zote angekuchangamkia?.. usirudi ulipotoka
Haipo hiyo kaka.. na umeonhea ishubya msingi.. what if ningeenda tu na bodaboda, unafikiri ange react namna ile?? So hapa pia nikajifunza kitu. Shida anayopata ni kwamba anaona matarajio aliokua nayo jui yangu labda nitaenda choka mbaya imekua kinyume.

kwakifupi tofaut sana na alivyonitegemea may ne hii ndio imemshtua.

Na ikumbukwe kuwa sikua nimepanga kukutana naye. Plan yangu ilikua nikuonana na watoto. Hivyo hata kuonana nae ni yeye ndio alijeleta nafikiri ili ku prove how failute have i become
 
Usipokaa sawa.

1. Utapigqa HAT TRICK matata sana, mahakamani kuna mchezo

2. Kwa haya maelezo hapa, UNLESS unataka reconciliation, basi endelea kukutana nae. Iwapo sivyo.
HII NGOMA MBICHI HII.

Mbichiiiiiiiii.
No reconsilliation plan boss
 
Hongera, Kila la heri na ukawe mke mwema
Amiina mkuu
Mtoa mada vitu anavopitia sio vizuri

Kunamtu alipelekwa polis na mkew kisa alichelewa kurudi akamkanda 😃akamsamehe wanalea Hao watoto navokwambia yule dada ni ana mahusiano utasema hajaolewa na kasema havunji ndoa ila ni anawapnga kuliko kawaida mume hajui kidogo avae HIV alidate na mtu tukasikia huyo baba ameathirika siwez toanushauri wa kijinga namna hiyo kuwafurahisha waungwana wa jf big no
 
Kwa tafsiri yangu ya ki layman tu, mtu mpaka akulaze ndani, wakaja kukutoa shost zake, hakuishia hapo akafungua kesi, sidhan kama lengo lilikua kuni frustrate pekee.
Aka attempt kunifungulia kesi ya jinai, nikachomoka.
Akanifungulia kesi ya makosa ya kimtandao kwamba natishia kusambaza picha zake nilizokamata ili kumharibia ajira yake utumishi wa umma. Simu yangu ikawa detained.

Huyu mtu hakuna kingine alikua amawaza zaidi ya kunipoteza.

SIJAELEZA MENGI SANAA KUHUSU YEYE KWASABABU HII HABARI NILIIWEKA ZAID IWE KUHUSU MIMI.
 
Unatamani kusikia maneno ya faraja tu, yanayomcriticise opponent wako, ila hauko tayari kuupokea ukweli kwamba wewe ni mwanaume dhaifu unaezidiwa akili na mkeo kiasi cha kukuburuza kama gari bovu.
Wala sio hivyo. We nipoge spana tu. Kwa hatua niliofika sasa wala sihitaji faraja. Huu sio uzi wa kuomba ushauri wala kutaka sympathy. Ni typivally informative
 
Amsamehe wakati hata huyo mwnamke hajaomba msamaha.?

Hebu kama ni wewe, mwanamke kakufanyia kama jamaa alivyofanyiwa, utasamehe.?

kwa mjibu wa jamaa huyu mwanmke kamtukana hadi Baba wa jamaa.
Sio baba tu.
Kamtukana sana dada angu.

Baada ya kuona niko kimya akaanza kupiga simu kwa wake wa kaka zangu akitengeneza maneno ya uchonganishi ili kusambaratisha ndoa zao . Na akawa anawachochea kabisa kuwa na wao watoke kwenye ndoa maana famililia yetu (nyumba ya bana na mama) haiwapendi wakwe wao na wanasema sisi(watoto wa kiume) tulioa wanawake mashangingi 😂.

Hizi habari akisema mimi ndio huwa namueleza na zikaleta mtikisiko mkubwa sana ndani ya familia yetu.

Lakini yote yakapita salama

Huyu unafikiri kuna kitu gan ambacho ataomba msamaha ukamuelewa??
Sijaeleza mambo mengi sana kuhusi aliyofanya against me.
 
Hakusema nataka kumlawiti.
Alisema huwa namlawiti
 
Duuhhh...hatari kabisa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…