LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
- Thread starter
-
- #381
Yah mkuu, unakumbuka vyema kabisaaAlisema kabisa jamaa anamlawiti sio alitaka kumlawiti. kiufupi alikuwa anamtengenezea jinai ingine ambayo ingemgharimu Mwana kwa namna ya hatari.
Nyuzi ziko nyuma huko mkuuAtueleze kisa ni nini mpaka wakafikia hatua ya kuomba talaka.
Ila my Wii 😂😂Sasa wewe kataa ndoa au mzinzi? Ndiomana huoni faida ya familia unashauri mwenzio atekeleze watoto wake awe km wewe 😥
Mu all eyes on mkuu, ni vile yeye ananiona kama fala, lakin ujue ni mbaya sana kufikiri huyu mtu bado fala kama alivyokua na wakat mtu anakujua kila unachofanyaMwenzio anatumia delay teknik.
Anakuvutia maji marefu, ukikaa vibaya tu utaendeleza hizi thread mpk mwisho wa JF, enyewe JF ipo tu siku zote!
Sasa nifanye kichwa kigumu siis waja tunakuombea tu yote ni kheri ukimsamehe ni sawa tu 😂Hakusema nataka kumlawiti.
Alisema huwa namlawiti
Hakika hiyo itakua ticket ya kaburini directAlafu et amrudie yaan ale ujinga wake ili kesho awe na adabu
Amrudie Ili amuue kabisa 😃
Ahsanten kwa maombi maana naona yanafanya . Simuwaz kabisaa. Na nimeendelea zangu tu kupiga kimya toka tumeonana. Na kesho narud zangu mkoaSasa nifanye kichwa kigumu siis waja tunakuombea tu yote ni kheri ukimsamehe ni sawa tu 😂
MrudianeeeeeèeeeeAhahahahqhq....mkuu unataka kumaanisha nini???
Na mali nikaamua kumuachiaNyie mnaomtetea huyo mwanamke kisa watoto, sio sawa huyo mwanamke ni shetani, Polisi kaenda mwenyewe akijua ana watoto, Mahakamani ni yeye kaenda akijua kuna watoto na hiyo talaka yeye ndio anaidai ili apate mgao wa mali, mnamuonea huruma ya nini? Mungu hadhihakiwi unachokipanda ndio unacho kuvuna.
Huwez amini, sijatamkanchochote kwa watoto kuwa mama yenu kaniweka ndani wala mama yenu mbaya wala anataka talaka. Ninachofanya pekee ni kutunza tu kumbukumbu doe future use wakikua na wakawa wamemezeshwa sumu au kama mama yao atakuja pindisha maneno.Hao watoto wameyaona yote Baba yao akiwekwa lockup na mama yao
Ahahahahah..dah mkuu, mbona una nguvu ya ushawish namna hii.?? 😂😂Hamna wife wake alionyesha kummiss mumewe kabla hajaiona navara, kumbuka kule alipoanza kuongea naye kwenye simu kuhusu kumchukua mtoto shuleni… angekua hataki angemjibu mwalimu asimchukue.
Halafu hana makuu mbona kuna gari yao alikuwa anadrive rafiki wa mumewe anamuona nayo lakini hakumind kuiulizia wala kulalamika?? Na yeye kusema wasimuache yote kuwafanya watoto wao wafurahi wakiwa pamoja..!!
Jirani uoe na wewe uone mziki wa ndoa ulivyo 😹😹
Ukiwa nje kutoa ushauri ni simple sana ujue..!!
Ahahahahahahahahahahah.Mimi kasongo wangu anasema, kubishana na wewe siwezi, wanawake mpo km watoto 😹😹
Ila akikasirika sikai karibu naye anaweza kuninyonga, na mie nna maudhi sometimes huwa natafuta ugomvi kilazima 🤣
Mtuvumilie tu wababa wetu tutafika tunakokwenda..!!
Yangoswe muachie ngosweMke na mume wakigombana shika jembe ukalime....
Sawa na ndugu wakigombana.
😂😂😂Mimi kasongo wangu anasema, kubishana na wewe siwezi, wanawake mpo km watoto 😹😹
Ila akikasirika sikai karibu naye anaweza kuninyonga, na mie nna maudhi sometimes huwa natafuta ugomvi kilazima 🤣
Mtuvumilie tu wababa wetu tutafika tunakokwenda..!!
Nimekusoma chief na ninalizingatia hilo sanaPole sana kwa hiyo changamoto mkuu. Yatakwisha tu. Lakini mimi nakuwa na wasiwasi na huyo ex wife kwa namna mbili ambazo unapaswa kuckukua tahadhari ya kutosha:
1. Kama mwanzo hakuwa mwema kwako hadi amefikia hatua ya kuomba talaka na leo hii anajifanya kukukumbatia, kuwa naye makini. Huenda anataka kukuleta karibu akudhuru.
2. Kwa jinsi mambo yanavyoendelea huko kwa makarani, inawezekana ex wife alikuwa tu anatest mitambo (hakuwa serio8s na talaka) na inawezekana ameishabadili gea angani.
Anyway, endelea kusikilizia kwanza mkuu.
I miss u dadaakeMrudianeeeeeèeeee
Haya bwana.Hapa wanamjaza sifa ila siku watoto wakianza kuhangaika hawatajitokeza kumsaidia.
Na sio kwamba yeye ni msafi sana, na wala hata huyo anayemtuhumu hana ushahidi wa usaliti.
Muda mwingine wivu tu ndo uliompelekesha.
Huyo mwanamke ni shetaniNa mali nikaamua kumuachia
Huwez amini, sijatamkanchochote kwa watoto kuwa mama yenu kaniweka ndani wala mama yenu mbaya wala anataka talaka. Ninachofanya pekee ni kutunza tu kumbukumbu doe future use wakikua na wakawa wamemezeshwa sumu au kama mama yao atakuja pindisha maneno.
Nina samansi zote ,za polisi, baraza la kata, ya mahakaman. Nilifuatilia hukumu na muongozo wa kesi ili nitumze tu kwenye archive yangu. Uzuri document zimaonyesha nani mdai (mshtaki) na nani mdaiwa (mshtakiwa)
Ahahahahahahahah
Uko sahihi. Kumpenda mtu, ni pamoja na kuwa tayar kumpa anachotaka, ikiwemo uhuru wake anaouhitaji. Hutaliw kumbana bana abaki na wwwe na wakat unaona kabisa hatakiKwa muono wangu nyie bado mnapendanaa....hata wewe unampenda mwezako,ndoo.maana sisi waislamu uki mpa mwanamke talaka,yakupasa kukaa nae nyumba mojaa,na umuhudumie mpaka amalize eda,ikitokea uka mgongaa talaka imevunjika,na kuna uwezo kano mka kaa hicho.kipindi mkajikuta mnasamehana