Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

Na uwezo wa kumzuia Hana.
Mtalaka kajipanga kuanzia Safu ya Washauri wa kumwombea Msamaha, walokole wale wa vita ya kuvunja madhabahu wapo mzigoni
Wamama makeup na fashen wapo makini
Ahahahahahajjahah.
Dah mkuu umenichekesha sana. Hapo nilipo bold
 
Sasa wewe kataa ndoa au mzinzi? Ndiomana huoni faida ya familia unashauri mwenzio atekeleze watoto wake awe km wewe 😥
Watoto wangu ninawalea mwenyewe mkuu hakuna ambae Yuko kwa mama yake, movement ya kukataa NDOA sijaianza Leo hivyo niliset plan zangu vizuri Sana.
Jambo jema ni kwamba baby mama walinizalia watoto wakiwa aware kabisa kwamba Mimi sioi, kasoro baby mama wa first born wangu na yeye nilifanya jitihada Sana awe mtu Bora kwasababu nilikuwa napata hatia juu Yake na namshukuru Mungu nimetimiza hilo.
 
Hapa sasa nimekusoma
 
We itakua huijui nissan navara 😂

Kuoa bado nipo nipo kwanza nisijekufa mapema bure.
 
Ni navara, ingekuwa n ukuni asingeupeleka mahakaman
Ukuni ulipelekwa kortini sababu uliacha kufanya majukumu yake ya msingi..!! 😹😹
Navara kitu gani bwana we hata ingekuwa Ford bado ukuni upo pale pale..!! 🤣
 
Ukuni ulipelekwa kortini sababu uliacha kufanya majukumu yake ya msingi..!! 😹😹
Navara kitu gani bwana we hata ingekuwa Ford bado ukuni upo pale pale..!! 🤣
Jirani umegusa pabaya, ford ranger? Navara? Mi sikubali huu udhalilishaji.
 
ok hapo sawa songa mbele mkuu
 
Kwa mtazamo mnaweza kuona ni sawa lakini sio sawa.

Kumbuka alikwenda kuwachukua watoto, wale watoto washakuwa na ufahamu na utambuzi. Anataka awatengenezee picha gani watoto?

Katika malezi ya watoto kuna vitu tunatakiwa kutokuviendekeza.
We nawe huoni kama tunafanya matani, afu kwani lazima awe demu wake si ata rafiki yake au ndugu yake kwani kuna ubaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…