Shikilia hapo hapo huyo akili imeanza kumkaa sawaSure mkuu, ujue ndio maana hata picha zoote alizochukua jana, siku attempt hata kumuomba anitumie. Na licha ya maigizo tuliofanyiana jana, NIMEKAA KIMYAAA LEO and i am sure she was expecting something from me leo. She hizo zoote ni ways tu ku invoke something out of me
πππ Muda utaongeaAchana na uchi weweπππ
Uliamini kuna siku watakumbatiana kwa bashasha na kula pamoja?
Nyuchi sio poaπ
Wapeane tuπππ Muda utaongea
Hawa ni watakulana kimasihara na mwisho wa siku watarudiana...... Ila wanawake π π
So you were expecting ni act rude mbele ya mwanangu? That was provocation ani prove namna flan kwa watoto so she meant nothing related to loiobe or missing me aliponifanyia hivyo mkuu. I was smart to understand the tricksNa mimi nimegundua hilo, halafu huyu jamaa hachomoi nakwambia. Asingekubali hizo hugs
UKo Sahihi 100%Kwa visa alivyotuhadithia kuhusu mke wake kiukweli hatakiwi kurudiana nae. Atakuja kufanyiwa mabaya ya kutisha zaidi. But mwisho wa siku ni maisha yake ataamua mwenyewe
Mkuu uwe muwazi, ikijatokea mkarudiana tunaomba sana utupe mrejesho. Wengi wana la kujifunza. Nnachokushauri tu katu USIJIAPIZE kuwa hutarudiana naye. Wewe tumia maneno ya kawaida tu ila siyo kuapa.Itawezekanaje kaka hili??..
Ndg yangu mimi nimetafiti sana, wanawake wanafanana, tofauti yao ni muda na mahali pa kuangukia.Ni kweli brother na ninakubaliana na wewe. Japo kwa mimi sio ubinafsi, ila kwa yeye ni kweli, nilijitahid sana ku make things work out but she decided to sacrifice her family for her own happyness. This is the highest level of ego she proved
Mbona sijaona udhaifu hapo tofauti na ustaarabu tu. Sasa was i supposed kua mshari shari mkuu??Yaani wewe ni mdhaifu sana
Mkuu ,kumbuka this whole arrangement ya jana, ilikua ni for the sake of the kids. She had to be there kwaajil ya usalama wangu maana yeye ni mtaalam sana wa hila. Unaweza ondoka huku nyuma ukawaambia uliwalisha watoto chakula toxic. I did all those nikiwa na akil rimamu kabisa. Kumbuka huyu ni mwanamke ambaye alini accuse mbele ya baraza kuwa nina mlawiti!. She is capable of turning anything into harmfulAchana na uchi weweπππ
Uliamini kuna siku watakumbatiana kwa bashasha na kula pamoja?
Nyuchi sio poaπ
Hakuna binadamu mwaminifu. Utabana weee mwisho wa siku utabanwa sehemu utaachia.Ndg yangu mimi nimetafiti sana, wanawake wanafanana, tofauti yao ni muda na mahali pa kuangukia.
Kuna atadondozhwa na yeyote, kuna yupo atachagua pa kudondokea, huyu wa ku hagua huchukua muda kiasi kwamba watu wanajiridhizha ni mwaminifu kumbe ni suala la muda tu
π― Kabisa. Na ndio sababu leo hii yan muda hii nimetoka kupakia furniture zangu za ofisi na kuhamishia mkoan ambako nilihamia baada ya huu mgogoro.Wanaweza wakafurahiana wakirudiana lakini trust me baada ya muda mfupi yatajirudia yale yale na makubwa zaidi jamaa atajuta sana.
Ukiamua kuachana na mtu kaa nae mbali. Wanawake sisi tuna plan za ajabu wewe hutujui vizuri.
Kila la kheri mkuu.π― Kabisa. Na ndio sababu leo hii yan muda hii nimetoka kupakia furniture zangu za ofisi na kuhamishia mkoan ambako nilihamia baada ya huu mgogoro.
π€£π€£π€£π€£π€£Devil?
Wewe sindio unasemaga no devil no God !
Acha tuone mkuu. Ila am so better than that chiefπππ Muda utaongea
Hawa ni watakulana kimasihara na mwisho wa siku watarudiana...... Ila wanawake π π
Hili ni kweliHakuna binadamu mwaminifu. Utabana weee mwisho wa siku utabanwa sehemu utaachia.
Uko sahihi, sijaapa mahala mkuu. Labda ni msisitizo.Mkuu uwe muwazi, ikijatokea mkarudiana tunaomba sana utupe mrejesho. Wengi wana la kujifunza. Nnachokushauri tu katu USIJIAPIZE kuwa hutarudiana naye. Wewe tumia maneno ya kawaida tu ila siyo kuapa.