Hivi Aggrey ana kazi gani ya kumuingizia kipato mpaka anataka kuoa?

Mashoga wana hormones za kike hata wewe unazo kama ni me Ila kwa percent ndogo!

Pili hao mabasha wanavutiwa na nn kwa mwanaume mwenzie ? maake Hana Tako, sura au hulka za kike kama unasemea ishu ni hormones?
 
Mada Imepamba πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Watu jadilini vyedii, leo nakaa na 🍿 nisome ufahamu na uelewa wa Waja.

Mie nikiwa nawaambia, wananikatalia, Leo wanavaana wao kwa wao.
DJ waleteeeeee, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hoja sio njia ya haja Kubwa.

Hoja ni kuwa kuna watu wanazaliwa na hormones inbalance.

Yaan anazaliwa mwanaume ila ndan yake anajisikia yeye ni mwanamke.

Mashoga weng wana level ndogo ya testerone na level kubwa ya estrogen

Hilo sio la kubisha
Taratibu mkuu, tutafika huko.

Kwanza tumekubaliana kuwa njia ya aja kubwa kibiolojia haijaumbwa kuingiza bali kutoa?
 
Mashoga wana hormones za kike hata wewe unazo kama ni me Ila kwa percent ndogo!

Pili hao mabasha wanavutiwa na nn kwa mwanaume mwenzie ? maake Hana Tako, sura au hulka za kike kama unasemea ishu ni hormones?

Sawa ila zangu zimebalance ndio maana ni mwanaume kamili.
Za mashoga (lesbian na gay) hazijabalance.
Ndio maana nikasema ni hormones inbalance.

Ubasha ni tabia. Na inawezekana hormones za Kiume zimezidi sana wakawa na high sex Libido
 
wewe kuwa nao karibu ndo wachaga wanaongoza kuwa gays ? au unaowafahamu ?
Ninao wafahamu wengi ni wachaga, na majority yao iko hivyo
Najua unaumia, ila ukweli ndo huo, MEKU wengi ni marindaless.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nacheka had Co poaaa.
 
Taratibu mkuu, tutafika huko.

Kwanza tumekubaliana kuwa njia ya aja kubwa kibiolojia haijaumbwa kuingiza bali kutoa?
N Haina uhusiano wowote wa hormanal issue

Hata mwanamke akiwa anajifungua au kupata joto lile kinachopata effect ni uke, na sio backside
 
Sawa ila zangu zimebalance ndio maana ni mwanaume kamili.
Za mashoga (lesbian na gay) hazijabalance.
Ndio maana nikasema ni hormones inbalance.

Ubasha ni tabia. Na inawezekana hormones za Kiume zimezidi sana wakawa na high sex Libido
Hakuna ushoga na hiyo ubasha ni tabia kama tabia zingine only that hakuna hormones wala nn!
 
Inamaana hao wahuni hawawaoni wanawake wengine hadi wamchape wa Agrey?
 
Ninao wafahamu wengi ni wachaga, na majority yao iko hivyo
Najua unaumia, ila ukweli ndo huo, MEKU wengi ni marindaless.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nacheka had Co poaaa.
Hauna uthibitisho wowote umebaki kusikia ama kuambiwa, hivyo tuseme mengine
 

Wanakataaje bro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…