Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc

Upande wangu, i dont think so.
 
Kuna Wapinzani ila Vyama Vyao siyo Vya Upinzani.. ndo maana ukiwa Mpinzani ndani ya hao wanaoitwa wapinzani watu wana-deal na wewe perpendicularly..
 
Ndio naamini kama kutakua na usawa,akizingua anawekwa mwingine ndio mfumo wa maisha haukwepeki otherwise tuwe nchi ya kifamle/kimalkia au dictatorship kuondoa kelele za kupambania kombe.
 
Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc

Upande wangu, i dont think so.
Hamna chama cha upinzani kitachoweza kuongoza wote ni wapigaji Africa tumerogwa mi bora tu niipigie kura CCM
 
Kwanza ulipaswa utambue kwamba vyama ni mfumo, lqkini mageuzi yanayo letwa na watu.
 
Back
Top Bottom