Kuna wakati Moyo huwa unapenda sehemu ambazo hazistahili kupendwa ila sio kigezo kwamba unganganie hapo huyo Mwanamke kama utakubali huo uwongo wake kuwa tayari kuwa wewe mchepuko ina maana ana njia kuu yake na dunia iliyojaa maradhi ya kila namna maamuzi ni yakoAmenitext this morn anasema alichelewa sn kufika akaona aende kulala tu kwake na cm ilizima wakat cm ilikuwa inapatikana na alikuwa ameniblock jaman
Afadhali umemuuliza hili swali 😀How old are you, son?
😀😀😀Utakubali muwe wawiliAngekusaidia zaidi kama angechukua nafasi ya huyo bebi wako mzinzi...
Mtu amekublock unasubiri nini
Silaha pesa mjini tafuta pesa ukojoe pazuri.
Mwambie siku hizi watu hawatumii tena moyo kwenye mahusiano. ... wanatumia akili...Kuna wakati Moyo huwa unapenda sehemu ambazo hazistahili kupendwa ila sio kigezo kwamba unganganie hapo huyo Mwanamke kama utakubali huo uwongo wake kuwa tayari kuwa wewe mchepuko ina maana ana njia kuu yake na dunia iliyojaa maradhi ya kila namna maamuzi ni yako
💯✅Mwambie siku hizi watu hawatumii tena moyo kwenye mahusiano. ... wanatumia akili...
Moyo hata mbuzi anao.... ebo
How old are you, son?
Tumia akili basi. Alikublock ili akampe uroda shujaa aliyekutana naye kwenye basi. Asubuhi mwamba alipopiga mashine kuchuja protini kwa mara ya mwisho, wameachana lila mtu aendelee ma maisha yake... hapo ndipo bebi wako mzinzi akaondoa block...Nadhani ilikuwa kwa jana tu ili apate space ya kufanya yake this morn itakuwa amenitoa nadhan japo sijamtafuta te a
Afu alivyo na kiburi atagoma kujibu...Afadhali umemuuliza hili swali 😀
Mwambie siku hizi watu hawatumii tena moyo kwenye mahusiano. ... wanatumia akili...
Moyo hata mbuzi anao.... ebo
Mwambie siku hizi watu hawatumii tena moyo kwenye mahusiano. ... wanatumia akili...
Moyo hata mbuzi anao.... ebo
Kwani ulimtumia nauli?Kama alitumia nauli yake mwenyewe achana naye wadangaji kama hao wapo kila kona hakuna haja ya kutumiwa kutoka mkoaniKweli japo inauma nachojiuliza why aliniambia sasa anakuja wakat hata angekuja kimya nisingejua
Tumia akili basi. Alikublock ili akampe uroda shujaa aliyekutana naye kwenye basi. Asubuhi mwamba alipopiga mashine kuchuja protini kwa mara ya mwisho, wameachana lila mtu aendelee ma maisha yake... hapo ndipo bebi wako mzinzi akaondoa block...
Haya mambo mbona hayahitaji diploma kuyajua?
Stuka.... think!
Moyo wangu ni wa kijilipua. Akinipiga block nami nampiga block.... afu nafanya kila niwezalo nambandua shosti yake, na nahakikisha kabisa anajua.Ingekuwa moyo unaazimwa ningekuazima moyo wako mkuuu nitambe nao
Mtafute rafiki yake umpelekee moto mpaka akamsimulie shughuli yako. Atapata wivu, atakunywa sumu, atakufa, tunamzika.Yah najua na sipingani na hayo yaan nachowaza hapa nimuacheje ili nimpe nae jeraha la moyo aiseee
Kwani ulimtumia nauli?Kama alitumia nauli yake mwenyewe achana naye wadangaji kama hao wapo kila kona hakuna haja ya kutumiwa kutoka mkoani
Wadangaji wanaposafiri kwenda mkoa mwingine huwa wanaandaa watu kama watatu hivi wa kuwapanga akishaanza safari anachat nao wote kisha anapima,kwenye maslahi zaidi ndipo ataanza kwenda kulala akishamalizana naye ndio ataanza kuwasaka wengine waliobaki.Mkuu hiyo mara mbili mliyowasiliana nae ujue alikosea namba. Target yake haikuwa wewe ndo maana kablock namba zako baada ya kugundua.
Achana nae, jambo dogo hilo linakupa wenge.
Huo ni ushauri wa kumpa mdogo wetu kumbe babu hufai😀😀Moyo wangu ni wa kijilipua. Akinipiga block nami nampiga block.... afu nafanya kila niwezalo nambandua shosti yake, na nahakikisha kabisa anajua.
Afu maisha yanasonga mbele...
Sio mpenzi wako huyo sema uliwahi kusex naye tu.Yaan ni mpenzi wangu kabisa but amenibadilishia gear angan wakat ananifata huku nilipo mkuu