Mimi ni huyo
Senior Member
- Jun 15, 2020
- 103
- 84
- Thread starter
-
- #121
Moyo wangu ni wa kijilipua. Akinipiga block nami nampiga block.... afu nafanya kila niwezalo nambandua shosti yake, na nahakikisha kabisa anajua.
Afu maisha yanasonga mbele...
Sasa hapo anaomba ushauri wakati ashajua kablokiwaIfike wakati watu muombe ushauri kwa mambo mazito
Usiache kwa kulipa kisasi huwa kinarudi nawe utakuja kufanyiwa kama hivyo huyo ukimuacha kwa kitendo alichofanya ataumia maisha yake yote niamini mimi mkuuYah najua na sipingani na hayo yaan nachowaza hapa nimuacheje ili nimpe nae jeraha la moyo aiseee
Sasa naona kila ushauri wa kijamii na kiroho ameshindwa kuupokea. Acha tumpe ushauri wa kibandidu.Huo ni ushauri wa kumpa mdogo wetu kumbe babu hufai😀😀
Wadangaji wanaposafiri kwenda mkoa mwingine huwa wanaandaa watu kama watatu hivi wa kuwapanga akishaanza safari anachat nao wote kisha anapima,kwenye maslahi zaidi ndipo ataanza kwenda kulala akishamalizana naye ndio ataanza kuwasaka wengine waliobaki.
Kisha baadae ukimuuliza mbona ulikuwa hupatikani atakwambia simu yangu ilianguka ikazima nilipofika stendi ikanibidi nipitilize kwa shangazi.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Huu ushauri wa kibandindu naona anaupokea kwa mikono miwiliSasa naona kila ushauri wa kijamii na kiroho ameshindwa kuupokea. Acha tumpe ushauri wa kibandidu.
Ibilisi hatamuangusha, atampa ushirikiano wa kutosha.... duniani na motoni
Sio mpenzi wako huyo sema uliwahi kusex naye tu.
Huwezi kuwa na mpenzi anayeishi mkoa mwingine
Siku hizi ukiwa ukimpata mpenzi usimuweke akilini hiyo ndio dawa ya kujiokoa. mdogo wangu.Yaan kumbe ndio maana watu wanachoma moto hivi viumbe kwa kweli
Usiache kwa kulipa kisasi huwa kinarudi nawe utakuja kufanyiwa kama hivyo huyo ukimuacha kwa kitendo alichofanya ataumia maisha yake yote niamini mimi mkuu
Sio wote mkuu usitusagie kunguniSiku hizi ukiwa ukimpata mpenzi usimuweke akilini hiyo ndio dawa ya kujiokoa. mdogo wangu.
Nimedili na kila aina ya wanawake nawajua vizuri tabia zao.
Ukimuamini kwa sababu ya muonekano wake siku utakuja kushangazwa hautaamini na utaomba ardhi ipasuke uingie
Dawa ya moto ni motoHuu ushauri wa kibandindu naona anaupokea kwa mikono miwili
Wewe ukoje? Hebu twenzetu PM tukayajenge basiSio wote mkuu usitusagie kunguni
Nakwambia nimedili na aina zote za wanawake na wengine ni wake za watu na waume zao wana maisha ya juu huwezi kunidanganya kitu kuhusu wanawakeSio wote mkuu usitusagie kunguni
Siku hizi ukiwa ukimpata mpenzi usimuweke akilini hiyo ndio dawa ya kujiokoa. mdogo wangu.
Nimedili na kila aina ya wanawake nawajua vizuri tabia zao.
Ukimuamini kwa sababu ya muonekano wake siku utakuja kushangazwa hautaamini na utaomba ardhi ipasuke uingie
😀😀😀😀Tuyajenge mara ngapi jamaniiiWewe ukoje? Hebu twenzetu PM tukayajenge basi
Sio wote mkuu usitusagie kunguni
We una amini wanawake wote wako hivyo kumiliki wanaume wawili kwa wakati mmoja nacho ni kipajiHahhaha wewe sio miongoni mwao eeeh
Kila siku unanichomesha mahindi tu. Au unataka kunifanya bwege kama huyu dogo?😀😀😀😀Tuyajenge mara ngapi jamaniii
Wawili? Ah huyo mbona mtakatifu? Watu wanaunganisha wanaume kama saba hivi... lila mtu anapangiwa siku ya kupewa urodaWe una amini wanawake wote wako hivyo kumiliki wanaume wawili kwa wakati mmoja nacho ni kipaji
Nilishasema nimekukubali kwa Moyo na akili ni wewe tuKila siku unanichomesha mahindi tu. Au unataka kunifanya bwege kama huyu dogo?