Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

Mkuu unaogopa kesi hahahhahhaha toa madini
Sio kuogopa kesi mkuu.
Nikikufundisha bila kuzingatia umri wako nitakuwa nimekurukisha stage ambayo mbeleni itakuletea madhara tena,utarudishwa steji ya nyuma.
Hata mimi nilikuwa hivyo kama wewe miaka ya nyuma niliumizwa sana hadi sasa hivi nikaja kujigeuza
 

Yaan hata mm ni kankara ila ndo bas tu nimewahiwa ngumi ya puani
 
Ifike wakati watu muombe ushauri kwa mambo mazito
Kwakweli maana huu ni utoto sasa tunaleteana
 
Namaanisha asikupotezee muda kwani hayupo nawewe2 ndomaana ameweza hata kuku block ili aendelee naupande wapili.

Asubuh kanitafuta anasema eti cm ilizima na alifika usiku wakat mm nilifika stend gar liliwahi tu na nikampigia kwa number nyingine ikawa inapatikana
 
Asubuh kanitafuta anasema eti cm ilizima na alifika usiku wakat mm nilifika stend gar liliwahi tu na nikampigia kwa number nyingine ikawa inapatikana
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Unakumbuka nilikwambia kitu kama hiki kijana,nawajua vizuri hao viumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…