Hivi hata huko kwenu watu wenye tamaa kama Jonasi wa “the Polygamist” 🙃 wapo?

Acha mara moja! Wekeza nguvu zako katika mambo mengine kwa sasa! Make urself useful and be productive!

Jitafakari kesho yako, halafu jikite kwenye issue za kukuingizia zaidi! Sex inaweza kukuvulisha kila kitakachokupa nguvu! Sex inaweza kukubadilishia muelekeo mpaka ukabaki unashangaa kitu gani kilichotokea! Acha kabisa wala sio sifa hii, nakuona mara kibao unajisifia kulala na wanawake kadhaa, looks like u never settled even once in ur life! Ujana wako ni golden age lakini unauhangaisha si mchezo! Tutaniane tu humu.. lakini hiyo trend sio nzuri!

Sex inaogopwa mpaka na waganga na wachungaji wanapotaka kuingia kwenye vilinge na madhabahu zao! Hebu jipe hata mwaka bila kukutana na kiumbe chochote uone utakavyokuwa na uwezo wa ajabu!
 
Mwanangu, hebu punguza hizi mambo aiseeeh 😔.
Kupita pita na wanawake tofauti itakuletea matatizo, tafuta girlfriend mmoja unayemwelewa utulie naye.

Kwa huyo hukupata ugonjwa kwa sababu alikua anatumia dawa, mtu anayetumia ARV hawezi kukuambukiza, wenye madhara ni wale wana ugonjwa ila hata wao hawajijui au wale ambao wamegoma kutumia dawa.
Kiufupi wanasayansi nawakaribisha waje kuchunguza blood yangu deep wajue nina H.Cell za namna gani maana sio kwa kuwafaidi huku hawa watu kavu kavu
Inawezekana immunity yako iko juu, ila kadri unavyoendelea unaichosha kupambana na magonjwa tofauti tofauti, kuna wakati utafika na utapata tu hayo magonjwa.

Na pia kuna magonjwa mengine kama HPV ambayo unaweza kuishi nayo hata miaka 20 bila dalili ukaja kuugua uzeeni.

Hebu acha hizo mambo kijana wangu!
 
Mimi ni dada ake Jonas ila kwa mtu mmoja tu mmoja kama dawa 🤣🤣🤣🤣
Mtu mmoja kama ana hamu ya kugegedana kama Jonasi, atakuua.
Mtu anatoka kwa mchepuko kuipiga kwa siri, anapitia kwa mkewe wa pili anamkula na bado akifika kwa mke mkubwa anaiomba tena. Aiseeeh, mtu gani ambaye dyudyu lake halichoki 😵
 
Mimi ni mbongo, hulka za watanzania wengi si unazijua mzee mwenzangu!!
Ndiyo maana mimi kila nikiona wanaume wanalalamika humu kwenye nyuzi, nacheka napita zangu vile maana huko kwa ground mambo ni tofauti kabisa!

Hawa wakina Jonasi wenye nyumba ndogo za kudumu, michepuko, watoto wa nje ya ndoa - ndiyo tunaishi nao kwenye jamii zetu na ni kawaida tu.
 
😢😢😢😢😢🙌🙌🙌🙏🙏
Daaah wee ndgu leo ume change mood yangu kabisa aiseeee an sina raha hapa aiseee sina raha kabisa an umenifanya nikae kwa kuwaza tu an mood yote imekata aiseeee...

Umeongea vitu ambavyo sikuambiwa kabla an nastuka mwishoni huku kabisa an dooh nilikua nawaza sana shida nini mbna mambo yameanza kua hovyo na haya yalianza baada ya kuingia tu kwenye mahusiano ya ajabu ajabu..

Nilijaribu kuongea na ma aunt zangu upande wa baba wakawa wanasema ni mambo ya tambiko sijui. Ila sasa naona kabisa shida ipo wapi..

Hi mikosi sijui nirudi kwa mama tuu nikaoshwe kwanza maana miaka mitatu tangu nimalize chuo sielewi sielwi aiseee
 
Daah naacha kabisa..
Unajua nimepoa gafla naskia mpaka bard an seran kuna maneno kaniambia hapa daaah nafsi mpaka inauma kwa ndani kabisa aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…