Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Morning,
Natumai tuko salama wote wanajamvi. Nina kitu naomba kueleweshwa hivi, hizi pete za uchumba na ndoa ukishavalishwa ndio unatakiwa kuvaa kila siku? Yaani unalala nazo? Unaenda nazo kuoga? Unaenda nazo kupika, kufua, kuosha vyombo? Mpaka chooni?
Mfano mtu unajisikia wiki hii kupumzika, unaweza kujipumzisha kidogo? Au ndio zinapotea kwa njia ya kutatanisha kama wananzengo wanavyodai? Hebu wazoefu niambieni maana kuna jambo linanitatiza.
Have lovely weekend guys