Hivi hizi Pete za Ndoa, hazivuliwagi?

Hivi hizi Pete za Ndoa, hazivuliwagi?

Joannah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2020
Posts
20,921
Reaction score
49,014
Morning,

Natumai tuko salama wote wanajamvi. Nina kitu naomba kueleweshwa hivi, hizi pete za uchumba na ndoa ukishavalishwa ndio unatakiwa kuvaa kila siku? Yaani unalala nazo? Unaenda nazo kuoga? Unaenda nazo kupika, kufua, kuosha vyombo? Mpaka chooni?

Mfano mtu unajisikia wiki hii kupumzika, unaweza kujipumzisha kidogo? Au ndio zinapotea kwa njia ya kutatanisha kama wananzengo wanavyodai? Hebu wazoefu niambieni maana kuna jambo linanitatiza.

Have lovely weekend guys
 
Morning,
Natumai tuko salama wote wanajamvi
Nina kitu naomba kueleweshwa hivi hizi Pete za uchumba na ndoa ukishavalishwa ndio unatakiwa kuvaa kila siku?yaani unalala nazo?unaenda nazo kuoga?unaenda nazo kupika,kufua,kuosha vyombo?mpaka chooni ?Mfano mtu unajisikia wiki hii kupumzika unaweza jipumzisha kidogo?au ndio zinapotea kwa njia ya kutatanisha kama wananzengo wanavyodai..??Hebu wazoefu niambieni maana kuna jambo linanitatiza
Have lovely weekend guys
Shangazi umekuja na kimbwenga chako usubuhi usubuhi
 
Pete ya Ndoa haitakiwi kuvuliwa Kwa mujibu wa mafundisho ya Ndoa.

Kwasababu wakati tunavalishana kuliambatana na Dua maalumu kuziombea.

Watu hufanya makosa Kuvua waendapo kukutana na michepuko yao.
Mwanaume anayevua pete akienda kwa mcheps huyo ni fala wakutupwa🤣🤣🤣🤣
Wanawake wenyewe hawa ata ukiwa na mke ndalama ikiwepo wanakupa tuu mbususu sasa unavua pete ili iweje?
Wee mcheps unamchana live mie nina mke na nina mpenda na sitamuwacha. Wee tuenjoy tuu hapa ukipata kidume wakukuoa wee olewa
 
Morning,
Natumai tuko salama wote wanajamvi
Nina kitu naomba kueleweshwa hivi hizi Pete za uchumba na ndoa ukishavalishwa ndio unatakiwa kuvaa kila siku?yaani unalala nazo?unaenda nazo kuoga?unaenda nazo kupika,kufua,kuosha vyombo?mpaka chooni ?Mfano mtu unajisikia wiki hii kupumzika unaweza jipumzisha kidogo?au ndio zinapotea kwa njia ya kutatanisha kama wananzengo wanavyodai..??Hebu wazoefu niambieni maana kuna jambo linanitatiza
Have lovely weekend guys
Mimi katika mafundisho ya ndoa, sikupata kufundishwa matumizi sahihi ya pete hiyo baada ya tukio la kuvalishana wakati wa kufunga ndoa.

Na ni kweli baada ya hapo, sijawahi kusikia hata siku moja baada ya tukio hilo pete hiyo ikitajwa ama kuhitajika popote katika tukio lolote, sasa yapata takribani miaka 40 na sikumbuki ilipotea poteaje.
 
Habari wadau Mimi naomba kufahamu kwa Dar ni wapi ninaweza kupata Pete nzuri za uchumba kwa bei nafuu.

Asante
Nenda Kko ule mtaa wa Tandamti kuna masonry wengi,ila ingratiate hii Gold current 18 gram ni sh 250,000 na gold current 21 ni 265,000....na hakuna pete ya uchumba yenye gram 1....nyingi zinaanzia 1 na point kadhaa labda uwe na pesa kuanzia laki 3
 
Mimi katika mafundisho ya ndoa, sikupata kufundishwa matumizi sahihi ya pete hiyo ya ndoa baada ya tukio la kuvalisha wakati wa kufunga ndoa.

Na ni kweli baada ya hapo, sijawahi kusikia hata siku moja baada ya tukio hilo pete hiyo ikihitajika popote ama katika tukio lolote, sasa yapata takribani miaka 40 na sikumbuki ilipotea poteaje.
Na bado upo na mke wako?
 
Mwanaume anayevua pete akienda kwa mcheps huyo ni fala wakutupwa🤣🤣🤣🤣
Wanawake wenyewe hawa ata ukiwa na mke ndalama ikiwepo wanakupa tuu mbususu sasa unavua pete ili iweje?
Wee mcheps unamchana live mie nina mke na nina mpenda na sitamuwacha. Wee tuenjoy tuu hapa ukipata kidume wakukuoa wee olewa
Acha kuchezea wadada wa watu😂
 
Back
Top Bottom